katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Inawezekana Vipi ukatoa ushahidi Mahakamani kama katika hali hii?

    Salaam , somo hapo juu lahusika case study Mahakama za Tanzania , let say uko zako Japan na unatakiwa uwe shahidi kesi iko TZ , inawezekana vipi? Wewe ni shahidi muhimu, kesi ya Madai. Please advice
  2. M

    Napata changamoto katika kuconfirm chuo

    Naomba msaada, Nimechaguliwa multiple selection ila napo confirm naambiwa kwa kutumia code niliyotumiwa na TCU naambiwa invalid confirmation code
  3. Mr & Mrs Zimbwe Jr katika pozi la Familia

    Zimbwe Jr anasema huwa anatumia muda wake wa mapumziko mara nyingi kuwa na familia yake kama ilivyo pichani. Pichani ni Mr & Mrs Zimbwe Jr wakiwa katika pozi la familia.
  4. Katika Dunia kila kitu ni biashara

    Juzi Juma mamosi nilikua Sehemu nakula akapita Binti nikamsemesha, Direct Bint, anataka 50k kwa Bao Moja. Kwamba apendi kutongozana, ni mrembo kwa mtazamo wangu,nikawaza faster. Kama huyu Binti angekua anapata 50K kwa Bao Moja, toka siku alioanza kufanya mapenzi/ Ngono Hadi Leo maana yake...
  5. Mercedes Benz C Class (W205) hii chuma Wajerumani walituliza vichwa. Hadi sasa naamini ndio the best katika segment yake

    Wakuu. Katika segment ya compact executive cars tunakutana na wakali wengi sana, mfano BMW 3 series, Mercedes Benz C Class, Audi A4, Volvo S60, Genesis G70, Lexus IS nk. Yote tisa, hii generation ya nne ya Mercedes Benz C Class, W205, iliyoanza mwaka 2014 hadi 2021 ni namba nyingine kabisa...
  6. Kenya: Naibu Rais Rigathi Gachagua Aomba Rais Ruto Amsamehe

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amemuomba Rais William Ruto amsamehe iwapo amemkosea kwa namna yoyote. Akihutubia kwenye ibada ya maombi ofisini kwake Karen, Gachagua pia aliwaomba radhi wabunge wote, siku moja kabla ya kuanza kwa mchakato wa kumtimua kwenye Bunge la Taifa la Kenya.
  7. Wakazi wa Dar es Salaam, ni wakati muafaka kuitokomeza CCM katika uchaguzi wa serikali ya mitaa kutokana na kero ya maji.

    Kutokana na hujuma inayofanywa na DAWASA katika suala zima la kupatikana kwa maji, ni vyema kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ni vyema kuikataa CCM kusimamia utawala wa mitaa yetu.
  8. Makonda anazungumzia Yesu kufa msalabani na damu yake kumtakasa katika mkutano wa Mchengerwa!

    Nimeona clip ya Mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa anahutubia katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa akisema hajali kusemwa vyovyote na wanasiasa wengine kwa sababu pale msalabani Yesu alikufa akamwaga damu yake na akamtakasa, kwamba akisemwa anaitazama damu ya Yesu...
  9. Mimi ni shabiki wa Yanga katika vitu sitamani vitokee ni Mgunda kurudi 5imba

    Huyu kocha ni mtu wa hatari sana, katika vitu nafurahishwa navyo ni pale ninapoona 5imba hawana mpango naye, Ila katika makocha wajuzi na hatari hususan kwa Ligi yetu ni Juma Mgunda a.k.a Mzee wa acha boli litembee, mzee wa pira biriani. Huyu jamaa akiachiwaga timu mfano pale alipofukuzwa Tinyo...
  10. Morogoro: RC Malima awasisitiza Wananchi kutunza miundombinu baada ya REA kuanza kusambaza umeme katika Vitongoji 166

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kusambaza Umeme kwenye Vitongoji 166 vilivyopo Mkoa wa Morogoro baada ya kukamilisha nishati hiyo kwenye Vijiji 652 kati ya 669 sawa na Asilimia 97.5. Mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni 17.9 unatarajiwa kutekelezwa katika...
  11. Je, kutofanikiwa kimaisha ni dalili ya Laana? Watu wa fungu la kumi wanasemaje katika hili?

    Huenda mwenzangu hapo ulipo unapitia misoto, yani dili zako hazitiki kwa wakati na hata zikatiki zinakutana na changamoto lukuki kias kwamba hata pesa uliyoipata inafikia madeni, magonjwa, ajali nk. Wenywe vipawa vya masuala ya imani yaani rohoni waje hapa kutufumbua macho. Asanteni.
  12. Waziri Chana amezindua nembo ya asali ya Tanzania itakayotumika kuitambulisha bidhaa hiyo katika soko la dunia

    WAZIRI CHANA AZINDUA NEMBO YA ASALI YA TANZANIA Na Happiness Shayo-TABORA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua nembo ya asali ya Tanzania itakayotumika kuitambulisha bidhaa hiyo katika soko la dunia huku akitoa rai kwa Wafanyabiashara kuchangamkia fursa...
  13. Jua namna bora ya kujibu maswali ya usaili wa mazungumzo katika sekretariate ya ajira any professional recruitment panel

    MASTERING INTERVIEW RESPONSES NATURALLY: A GUIDE FOR SECRETARIATE JOB INTERVIEWS OR ANY PROFFESSIONAL. +255656480968 👉In a professional interview, questions should be clear, measurable, and able to be scored. The answers should also be measurable and follow specific criteria. For example, if a...
  14. Mbunge Hamis Taletale Atimiza Ahadi: Aondoa Changamoto ya Maji Chumvi Katika Vijiji vya Mgude na Ngerengere

    Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale ametimiza ahadi yake kwa Wananchi wa kata ya Ngerengare baada ya kufanikisha kupatiwa huduma ya maji baridi ambapo jumla ya matanki matatu yametolewa na Serikali kusambaza maji katika Vijiji viwili vya Mgude na Ngerengere. Kwanzia sasa Vijiji...
  15. Kwanini sex inaondoa chuki katika ndoa?

    Yani nimekuja kucheki ukifarakna na wife mkakutana tu na mwenzio yani baada ya mchezo tu chuki zinayeyuka hivi kuna siri gani hapa katikati?
  16. Tunawaacha watoto wetu katika mikono ya day care ila katika guarantee ya usalama bora kiasi gani?

    Wakina diddy wamevamia sekta ya day care Ni mwendo wa kutengeneza mashoga wengi maana mtoto wa kiume atajua kufirw ni kawaida maana alikuwa molested tangu utotoni Yale ya dereva na mwenzake wa school bus kubaka kaanafunzi ka kike ka-kindergarten. Kesi za kujirudia rudia za Waalimu wa...
  17. Gharama ya Gesi Vs Umeme katika Kupikia kwa Bei za Sasa za Tanzania

    Katika muendelezo wa Makala zangu za Nishati safi ya kupikia; kumekuwa na sintofahamu kuhusu gharama za umeme kwamba ni kubwa sana hivyo kwa kumuwezesha mwananchi ni bora kumpa gesi. Nimeona bora tuangalie ukweli huo kwa kutumia mahesabu yasiyo rasmi.... 1kg ya Gesi = 13.6kwh (units) Kwenye...
  18. Aliyewahi kupitia Changamoto za Nguvu za Giza katika harakati za ufugaji pitia hapa

    Habari za wakati huu Wapendwa. Binafsi nipende kuwashukuru wadau wote jamiiforum hakika nimejifunza mengi katika baadhi ya machapisho ya wadau nimekuwa motivated Sana kuingia kwa mara nyingine katika ufugaji. Pamoja na kujifunza mengi Kuna baazi ya mambo Hadi hivi sasa yananitatiza ningependa...
  19. Je, na wale Ndugu zetu Watanzania Wawili Watatu 'aliowapitia' na Wao pia wamo katika hii Idadi au Wameuchuna?

    Watu 120 zaidi wamemtuhumu mwanamuziki wa rap Sean ‘Diddy’ Combs kwa unyanyasaji wa kingono, ubakaji na kutumiwa vibaya kingono. - Wakili wa Texas Tony Buzbee amesema kuwa 25 miongoni mwa wateja wake walidhulumiwa wakiwa wangali watoto wenye umri wa miaka 9 -15. - Nusu ya idadi hiyo ni wanaume...
  20. M

    Kwa wale ambao hawakuona "vimondo" vya Iran vikikung'uta Israel basi ushahidi mzuri uko katika video hizi.

    https://www.youtube.com/watch?v=O1isnJKJtVQ&ab_channel=Bobby%27sPerspective
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…