katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. "Uswahili-Uswahili" ndio umeshakuwa msingi wa maisha ya Mtanzania na kibaya zaidi hata katika issue zinazohitaji professionalism

  2. E

    Kuna uwezekano kilichomtoa Gamondi pale Yanga ni kutoamini katika Uchawi na Majini, Inahuzunisha sana

    Wazungu huamini sana katika uwezo wa wachezaji, lakini huku africa hasa Pale ambapo inasemekana wenye akili ni wachache sana wanaamini katika Uchawi. Inasikitisha sana unafukuza kocha huku mbeleni una mechi za CAF.
  3. Kuna mambo ya ovyo katika Soka letu

    Kwanini kuifunga Simba Tabora wapewe Milioni 50 wakati wameifunga Yanga wakapewa Milioni 20? - Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ameweka wazi kwamba utaratibu wake kwa Timu ya Tabora United huwa anawapa motisha ya Tsh Milioni 10 kila mchezo wanaoshinda..ila walipoifunga Yanga aliongeza mara...
  4. CHADEMA yajibu hoja za Tundu Lissu: "Hakuna Serikali ya Nusu Mkate, Sio Sera Yetu"

    Wakuu CHADEMA wamemjibu Makamu Mwenyekiti wa chama chao, Tundu Lissu ===== Hivi karibuni kumeibuka tena wimbi la hoja mbalimbali ambazo zilishawahi kuibuka siku za nyuma na ambazo zimesababisha wanachama, wapenzi wa Chadema na Wananchi kwa ujumla kutaka ufafanuzi rasmi wa Chama; 1. Chadema...
  5. Watani wangeruhusiwa katika Msiba wa Marehemu Mafuru ungenoga, lakini Msiba unaoendeshwa 'Kiprotokali' muda wote hadi Unaboa sasa

    Njooni huku Uswahili kwetu mkute Misiba ya Watani zangu Washamba tupu akina Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakara na Wanyamwezi ikitokea halafu mtuone Watu wa Mara (Musoma) tunavyoinogesha kiasi kwamba hata Marehemu mwenyewe sometimes huwa anatabasamu Jenezani alipolala. Misiba...
  6. M

    Wasioamini uwepo wa Mungu walivyobanwa katika mjadala

    Kuna wasiaminini , walisema Mungu haonekani, hasikilikani, hupati hisia ya harufu yake, wala hisia ya aina yoyote ya uwepo waje . Kwa hivyo hakuna Mungu. Jibu alilojibiwa Jee hayupo au humjui kutokana na upeo wenu mdogo? Wakaulizwa twambieni, ndani ya chumba kinachofuata mnajua mnanini...
  7. Kizuri na kibaya, Heshima na mitazamo katika jamii

    Kipindi namaliza college nimerudi home kwa wazazi, nikaanza harakati safi. Tulikua tunaishi kota za Police, baba yangu ni Policeman, kipindi hicho baba yangu alikuwa anamiliki pikipiki, pamoja na kwamba nilikuwa kijana mkubwa home, lakini sikuwa na access ya kuendesha pikipiki ya mshua...
  8. Japan ni kama wamesahaulika katika Ulimwengu wa Vita na Silaha?

    Hawa jamaa huwaoni wakionesha onesha silaha zao. Huwasikii wakitishiana na mtu au kupiga mkwara. Lakini rudi miaka ya nyuma katika vita utawasikia kwa uzuri. Nenda kawaulize wachina. Watakuambia. Jamaa kwenye technology ni wazuri sana. Na hawana ubabaishaji. Wanatengeneza vitu vya ukweli na...
  9. Kama Unaona Dalili hizi 7 katika Mahusiano yako anza Kufikiria Kuondoka

    Kama mahusiano yako yanakufanya ujisikie kuchoka na hauna raha,basi si wakati muafaka kwako kuendelea nayo Kama unajikuta kila unachofanya ni kwa ajili ya kuhakikisha mahusiano yako yanaendelea basi jua unapoteza namna ya kufanya mambo yako mengine,kwa maana nyingine umepoteza uhuru wa kufanya...
  10. Barafu katika jangwa la saud Arabia!

    Through my study! it’s a polar shift, geomagnetic reversals where the earths north and south poles change place .. occurs every 200,000 years or so . Which will disrupt many weather patterns, some considerably with freak storms , tornados , droughts ect #Ps and who’s history ? Our small time in...
  11. C

    Uganda kumshtaki Elon Musk baada ya mabaki ya satelaiti ya SpaceX kuanguka katika vijiji vya magharibi

    Wataalamu wa uchunguzi wa kitaalamu wa Uganda wametoa ripoti ya kina kuhusu asili na athari za uchafu wa anga ulioanguka katika maeneo ya magharibi mwa Uganda mnamo Mei 2023. Uchafu huo, ulitokana na kurushwa kwa setilaiti ya SpaceX yenye makao yake nchini Marekani, iliyotawanyika katika wilaya...
  12. Wafanyabiashara wa Zimbabwe watafuta fursa katika maonesho ya CIIE Shanghai

    Mdau wa biashara wa Zimbabwe amesema Maonesho ya kimataifa ya uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya China CIIE yametoa jukwaa kwa kufungua fursa za kibiashara kwa sekta ya bidhaa za sanaa ya Zimbabwe. Maonesho hayo yaliyofanyika huko Shanghai, mashariki mwa China kuanzia Novemba 5 hadi 10, ni moja...
  13. LGE2024 ACT Wazalendo: Wagombea wetu 51,423 wameenguliwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Chama cha ACT Wazalendo kinatoa Taarifa kwa Umma kuwa wagombea wake 51423 katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji wameenguliwa kwa sababu ya udhamini wa chama ngazi ya Kata. Wagombea wetu waliogongewa mihuri ya Kata ambayo ndio ngazi ya udhamini ya ACT Wazalendo wameenguliwa...
  14. Je, Maamuzi yangu mabaya yanaweza kutumika kumwemka mwingine katika hali nzuri?

    Nasema tu huu mwaka uishe tu maana umekuwa na mambo mengi magumu hasa mimi na wife wangu Katika kipindi Cha nyuma nilikubali kunyanyasika hasa katika tendo hata kutoheshimika kwani nilipotishia kuchepuka niliambiwa niende tu ingawa mimi kwa wakati huo sikutaka kabisa kufanya hivo nilikaa nae...
  15. Kilimanjaro: Maji yawafikia Wananchi wa Kata ya Mabogini iliyopo katika Wilaya ya Moshi Vijijini

    Huduma ya maji yawafikia Wananchi wa Kata ya Mabogini iliyopo katika Wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoa wa Kilimanjaro. Maji Mwaa Mwaa Mwaaaaaa Huu ni mwendelezo wa kazi ya uchimbaji wa visima 900, Hii ni Leo Jumapili Nov 10, 2024 na huu ni mtambo wa kuchimba kisima kirefu kwenye Kata ya Mabogini...
  16. Nahisi hisia tofauti tofauti kama mwanadamu, nimekaa nafikiria hapa maisha ambayo natamani kuyaishi,

    Habari zenu members, mnaweza fikiria chochote kile na mkaandika katika uzi huu. Nahisi hisia tofauti tofauti kama mwanadamu, nimekaa nafikiria hapa maisha ambayo natamani kuyaishi, napenda sana kuwa na mwanamke mmoja tu maishani mwangu ambaye nitaishi naye na kupata naye watoto na kulea naye...
  17. E

    Kwa ridhaa yenu wanaJF naomba timuongeze huyu kijana katika wale watu wawili

    Nimemfuatilia sana na kujiridhisha huyu ni Uto anaejielewa
  18. Kuna ukweli katika kauli hizi kisaikolojia

    Mosi,Kukaa kimya kuna nguvu zaidi kuliko pale unapotaka kudhibitisha ukweli au kujitetea. Na hii kweli kabisa wakati mwengine unaweza kupata kashfa ambayo jinsi kadri unavyotaka kujitetea unajikuta unazidi kuharibu,kwahiyo wakati mwingine kunyamaza ni jibu zuri sana,watu wanabaki njia panda...
  19. Fahamu falsafa ya Order out of chaos inayotumika kuleta utaratibu mpya baada ya machafuko

    Habari zenu waungwana..... Order Out of Chaos (au Ordo ab Chao ) kama ilivyosemwa kwa Kilatini, ni moja ya kauli maarufu na Kauli hii ina maana kwamba mgogoro au machafuko yanaweza kutumika kama njia ya kuleta "utaratibu" au "mabadiliko" ambayo ni yenye manufaa kwa wale walio katika madaraka...
  20. S

    Uzushi, majungu na uongo, havina nafasi katika soka, soka ni sayansi, uwekezaji na mipango. Alie bora ataonekana tu na swala la muda

    Huu ndio ujumbe wangu kwa hawa waliowekeza kwenye majungu, uongo na uzushi wakiamini watafanikiwa kuwaaungusha miamba wa soka la Bongo kwa sasa(Dar Young African). Wajiulize tu maneno haya katika misimu iliopita yaliwasaidia nini na Yanga ilikwamisha kwa haya? 1.Yanga anacheza kombe jepesi la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…