katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania “Klabu ya Uzalendo: Daraja la Kuimarisha Maadili, Mshikamano, na Uongozi wa Kesho”

    Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya Taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii. Kutokana na hali hii...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Mbolea katika kilimo cha karanga

    Naomba kupata uzoefu wa matumizi ya Mbolea za kukuzia katika kilimo cha mbegu zinazozalia chini...mfano karanga. Nimejaribu ku google lakini maelezo hayajitoshelezi Aidha nimeongea na wa kulima wengi wanadai karanga hazifai kuwekwa mbolea. Nimeamua nifanye majaribio ya kulima nusu heka...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna dawa/spell ya kienyeji ya kukuza uteja katika business yako ili uongeze kipato au ni myth tu?

    Karibuni.
  4. JamiiForums Tanzania RPC Tabora: Tunafuatilia taarifa za Wahalifu kuvamia Watu, kuwajeruhi na kupora katika Mitaa ya Chuo cha Polytechnic College

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya uhalifu maeneo ya karibu na Chuo Polytechnic College Mkoani Tabora, ambapo waathirika wakubwa ni Wanafunzi wa Chuo hicho, Jeshi la Polisi limesema linafuatilia. Awali Mdau alieleza kuwa taarifa ya matukio ya Wanafunzi na raia...
  5. JamiiForums Tanzania Baye Fall; Waislamu wanaoamini katika kufanya kazi zaidi kama ibada muhimu

    Huko Sengal na Gambia kuna tawi la imani ya Kiisalmu lenye umaarafu na ushawaishi mkubwa maeneo hayo linaloitwa "Baye Fall" ambalo lilianza zaidi ya Karne moja iliyopita. Hawa Waislamu wa Baye Fall walichipukia kutoka kwa sheikh mmoja aitwaye Ibrahima Fall wa mrengo wa Kisufi miaka ya 1880's...
  6. JamiiForums Tanzania Hii picha katika ulimwengu wa kiroho ina maana gani?

  7. JamiiForums Tanzania RC Daniel Chongolo ashiriki katika mazishi ya aliyekuwa DC wa Mbozi, Ester Mahawe

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda, pamoja na Viongozi mbalimbali wa ngazi ya Mkoa na Wilaya, wakiongozana na Wananchi wa Mkoa wa Songwe, wamewasili Mkoani Arusha, tarehe 19 Januari 2025 kwa ajili ya kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mkuu...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Marefarii kutoka TZ katika Shirikisho muda huu!

    Waamuzi wa Tanzania ndio wanachezesha mechi ya shirikisho ambayo imeanza saa nne kamili kati ya RS Belkane vs Stellenbosch. Mwamuzi wa kati-Ahmed Arajiga Wasaidizi: Salimu Mkono Mohamed Seif Mpanga Kasimu Nasir Salum Siyah NB; Wengine hao wasaidizi wametoka Zanzibar sehemu ya Tanzania. My...
  9. JamiiForums Tanzania Lionel Messi katika miaka 21

    Lionel Messi amefunga goli kuanzia mwaka: 2005 2006 2007 2008 2009 2010 2011 2012 2013 2014 2015 2016 2017 2018 2019 2020 2021 2022 2023 2024 2025 MBUZI 🐐 🇦🇷
  10. B

    JamiiForums Tanzania Serikali imsaidie binti huyu alie katika hatihati ya kuacha masomo ya Chuo kikuu Kwa sababu ya kuponzwa na Shule za private

    Kazaliwa 2003. Chekechea na Primary: Shule ya English Medium... O- level : Private Advance : Private. Kafika chuo kanyimwa bumu( boom) Hajawa allocated. Heslb wana mzungusha tu . Wanasema kanyimwa mkopo Kwa sababu Heslb wali estimate kwamba mzazi wake ana uwezo WA kumlipia ada ya Chuo...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Usuluhishi wa Migogoro ya Ardhi Katika Mabaraza ya Kata, 2021

    Wadau, Kuna huu mwongozo ulitolewa na Katibu Mkuu TAMISEMI mwaka 2021. Bati mbaya haupo kwenye tovuti ya wizara. Nitaupata wapi? Kama mtu ana nakala yake tafadhali nitumie. Shukrani sana.
  12. JamiiForums Tanzania Vipigo vikubwa vya Mbwa Mwizi katika hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika tangu 1998-2025

    Katika historia ya Hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika, kumekuwa na matokeo ya kushangaza yaliyoweka rekodi za ushindi wa mabao mengi. Hapa ni baadhi ya ushindi wa tofauti kubwa zaidi katika historia ya mashindano haya: Mwaka 2019: • TP Mazembe 8-0 Club Africain Mwaka 2023: •...
  13. JamiiForums Tanzania Masahihisho: Historia ya African Association Kama Ilivyoelezwa Katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma

    https://youtu.be/X8aFsrqOgUQ?si=_R7PLruw4fYbQTWK Historia ya African Association imekosewa kidogo. African Association inachanganywa na Tanganyika African Association (TAA). African Association ilibadili jina na kuwa Tanganyika African Association (TAA) mwaka wa 1948 kujitofautisha na African...
  14. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA katika Uchaguzi wao huu wa ndani hasa ktk ngazi ya Taifa kimedhihirisha hakifundi Viongozi!

    Katika kinachoitwa uchaguzi wa CHADEMA kwa watu wenye akili zinasikika zaidi kelele kuliko hoja makini na zenye kufikirisha. Viongozi wa CHADEMA wamedhihirisha kuwa wengi ni watu wanaookotana tu kutokana na kuwa " victims of circumstances" na hawana maono, maadili na sifa za kupewa dhamana za...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Karibu Tukuhudumie katika Duka Letu la Uwakala Lililopo Tandika

    Karibu katika duka letu la Uwakala, Digital Financial Bridge (DFB), lililopo Tandika Sokoni. Tunatoa huduma za miamala ya simu kwa mitandao yote ikiwemo: Tigo Pesa Airtel Money M-Pesa Halo Pesa T-Pesa Azam Pesa Pia, tunatoa huduma za miamala ya benki mbalimbali kama vile: Absa Access Bank...
  16. JamiiForums Tanzania Nishati Safi: Kwanini Tunahimiza / Hamasisha kutumia Fedha za Kigeni katika Mapishi wakati tuna Mbadala

    Usinielewe vibaya mimi sio Mercantilist, na ninakubaliana na Bwana Smith aliposema, "It is the maxim of every prudent master of a family never to attempt to make at home what it will cost him more to make than to buy". Kwahio cha kujiuliza je ? Kuhamasisha matumizi ya LPG badala ya kuhakikisha...
  17. JamiiForums Tanzania Kukosa Kura na Kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba: Pigo Kubwa kwa Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA

    Kukosa Kura na Kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba: Pigo Kubwa kwa Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA Katika uchaguzi mkuu wa hivi karibuni wa CHADEMA, matokeo ya kukosa kura na kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba, mwenyekiti wa chama hicho, yamekuwa pigo kubwa kwa Tundu Lissu na...
  18. JamiiForums Tanzania Nani aliwaleta polisi katika uchaguzi wa BAWACHA

    Miaka yote tumwona na kusikia CHADEMA ikipiga kelele dhidi ya serikali kutumia polisi kwenye chaguzi mbalimbali za Taifa letu. Fafanuzi mbalimbali kutoka kwa viongozi waandamizi wa CHADEMA namna chaguzi za kitaifa zinavyovurugwa na jeshi hili lililojaa makamanda wasio na utu yaani wajaa laana...
  19. JamiiForums Tanzania Pamoja na kuhangaika kuimbia CHADEMA, Ney wa Mitego hajawahi kualikwa katika mkutano mkuu wa CHADEMA

    Fadhila mfadhili mbuzi. Huyu jamaa angekuwa moja kati ya wasanii mabilionea, kaingizwa chaka akaingia CHADEMA. Yuko karibu kufilisika, na CHADEMA hawamualiki katika mikutano yao walau apate chochote
  20. JamiiForums Tanzania Ni makosa ya kiufundi kuandaa mdahalo katika jengo la TLS ambalo Mwabukusi ni Rais wake, na anamunga mkono Lissu hadharani, haki isingetendeka

    Viongozi wakuu wote wa TLS ni kambi ya Lissu, halafu mdahalo unaandaliwa katika jengo la kambi moja, na wanatarajia haki itendeke. Ni wazi kuna njama, fitna na hata Janja janja ya kumdhuru Mbowe. Hongera Mbowe kwa kukwepa mtego wa mahasidi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…