katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Hali ya Huduma za Afya: Aga Khan Hospital kuhudumia wageni wa mkutano wa Nishati Afria badala ya Muhimbili Hospital

    Aga Khan Hospital, iliyopo Dar es Salaam, imekuwa katika habari kutokana na kuvunjwa kwa mkataba wake na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) wa kuwahudumia Watanzania maskini. Hali hii inatia wasiwasi, hasa pale ambapo hospitali hiyo imekuwa ikihudumia wageni katika mkutano wa Nishati Afrika...
  2. JamiiForums Tanzania Tafakuri juu ya Hawa(EVA) kusingiziwa kuwa alimshawishi Adam Kula tunda na msimamo katika maandishi ya dini kwa mwanamke.(Part 1)

    Dini zote mashuhuri duniani hasa Ukristo ,Uyahudi na Uislam zinakubaliana ya kuwa binaadam ameumbwa na Mungu,ambaye ni muumba wa ulimwengu mzima.Licha ya hivyo utofauti unakuja mara baada ya kuumbwa mwanaume wa Kwanza(Adam).zipo tafakuri na dhana za kiitikadi mbalimbali katika dini tofauti juu...
  3. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Afrika Mashariki imzuie Kagame kunywa damu ya wakongo, na kula nyama zao katika vita ya Mashariki mwa Kongo

    Sijaisikia jumuiya hii ikitoa kauli au kuitisha kikao cha dharura dhidi ya huyu mla nyama za watu na mnywa damu za binadamu. Wote ni wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki. N. B: for the first time simjui Mwenyekiti wa jumuiya hii wala katibu
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Wanaosema No Reform No Election hawana fedha za kufanya Uchaguzi

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho kinaendelea kujipanga kwa uchaguzi ujao, huku akibeza kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inayosema hawatoingia kwenye uchaguzi pasipo kuwa na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Kero: Madarasa katika Shule Teule ya Sekondari Kigoma Ujiji yanavuja, ni kero kubwa kwa Walimu na Wanafunzi

    Naomba kuwasilisha kero kwa Mamlaka zinazohusika kwani madarasa ya Shule ya Sekondari Teule ya Kigoma Ujiji katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji yanavuja jambo linalowapa shida Wanafunzi. Wakati mvua zinaponyesha kunakosekana utulivu wa kusoma kwakuwa kila mahali panakuwa panavuja...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la kuchoma gari ni muda wa kurudi tena katika chati ya injili

    Dunia ina mengi sana tunaposema kuna watu wamevaa vilemba vya utumishi wa Mungu, kumbe ni njia ya shetani kuchukua nyota za watu. na asingechoma moto na kutubu, basi tusingemsikia tena yule mwimbaji aliyekamata kila kona ya Tanzania kwa nyimbo za kumtukuza Mungu. Bila shaka tutakusikia tena...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Trump hakuwaalika marais waafrika katika hafla ya kusimikwa kwake Urais

    Anasema kweli At a press conference held in Washington, at the White House, Trump made profound statements against African leaders. *Donald Trump explains his statements against Africans: 1. If after 50 years of independence you have not built the necessary infrastructure for your people...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali imeweka mazingira mazuri kuiwezesha sekta ya misitu kuzalisha ajira kwani katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024 Serikali imevijengea uwezo

    Serikali imeweka mazingira mazuri kuiwezesha sekta ya misitu kuzalisha ajira kwani katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024 Serikali imevijengea uwezo wa uzalishaji na kuongeza thamani viwanda 53 vya kuchakata mazao ya nyuki. Aidha mashamba ya Silayo hekta 69,756 yameanzishwa yaliyopo Mpepo...
  9. JamiiForums Tanzania Zoezi la kusitisha uvuvi kwa muda katika ziwa Tanganyika limeongeza uzalishaji wa samaki kutoka tani 4,700 mwaka 2023 hadi zaidi ya tani 15,000 mwaka

    Zoezi la kusitisha uvuvi kwa muda katika ziwa Tanganyika limeongeza uzalishaji wa samaki kutoka tani 4,700 mwaka 2023 hadi zaidi ya tani 15,000 mwaka 2024, likitoa fursa za ajira na viwanda vya kuchakata samaki kuongeza uzalishaji. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  10. JamiiForums Tanzania Ningekuwa CCM ili kuleta maendeleo kwa Watanzania basi ningeanza na hili

     Wanabodi Hamjambo... Ni Wazi Kila Serikali Duniani Nia Na Lengo Lake Ni Kuleta Maisha Bora Kwa Wananchi Wake. NA ndio Maana Moja Ya Slogan Katika Kupindi Cha JK ni MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA. Katika Muktadha Huo, Kama Ningepata Nafasi Ya Kua Na Ushawishi Katika Chama, Bunge Na Serikali...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lissu aonyeshe Uongozi katika suala la akina Halima Mdee na Wenzake,aachane na hayo mambo yake

    Nimemuona Lissu anawashambulia sana akina Halima Mdee na wenzake badala ya kutengeneza Mazingira rafiki ya kurudisha wale Viongozi ambao CHADEMA imetumia muda wake mwingi kuwaandaa, na hasa ukichukulia toka wameisaliti hawajawahi kuisema vibaya Taasisi wala Viongozi wao. Uongozi siyo Sheria tu...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa nini Josephine Mushumbusi na mwenzake Lissu hawaonekani mahakamani katika kesi ya Dk Slaa?

    Najiuliza tu, huyu mzee hana familia? Maana mahakamani yuko peke yake tu, hana ndugu, wala mtoto au mke anayeonekana kuja kuntembelea au kufuatilia kesi yake. Dk Slaa alikuwa anatuna mitandaoni kumpigia debe Lissu, lakini Lissu hajajihusisha naye hata kidogo.. May be kiapo cha useja ndio...
  13. JamiiForums Tanzania Je Kuna Usahihi Wowote Wa Kisayansi Katika Hiki Anachokisema Huyu Malaika Kupitia Nabii?

    Wakuu niko najifunza kwa kusoma makala za hadithi za Sunnah za waislamu. Haya ni masimulizi ya mtume wao kwa watu wake wa karibu. Lakini nimesoma Sahih Bukhari 3366 Book 60 Hadithi ya 4 (Link:- Hadithi hii hapa) nakutana na hiki kisa kama kinavyoonekana kwenye hii picha. Hapa ni tafsiri...
  14. JamiiForums Tanzania Maadui sita(6) hatari katika maisha yako.

    Kwenye maisha unayoishi huwezi kuepuka maadui ambao wanakuchukia, wasiopenda kukuona umefanikiwa bila kujali upo sehemu gani na unafanya nini, Joel Nanauka kawaongelea "Maadui 4 hatari katika maisha yako" ambao ni Kaini, Delila, Penina, na Hamani. (Una mengi ya kujifunza kupitia JN). Kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ni katika harakati za kuhuisha, kuchanga upya kama sio kubadilisha kabisa mfumo

    Tulikua watu makini kama wa 4-5 ama 6 sikumbuki vizuri... (waandamizi wa jambo flani, sijui ni jambo gani ila ni kama jambo la maana sana) Tulikua tunakatiza mitaa fulani usiku huko kijijini, tukiwa katika njia ya vumbi inayotosha kupita gari, gafra ukaona kikosi/kikundi cha watu Sita...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Je ni Nani ni mtenda dhambi ? katika hawa vijana watatu

    -kijana wa kwanza Ameiba biblia kanisani kwa ajili ya kwenda kujisomea nyumbani -Kijana wa pili Ameiba pesa nyumbani na kwenda kuitoa yote kanisani kwa njia ya Sadaka -Kijana wa tatu Ameiba Sadaka kanisani na kwenda kuwapa maskini na yatima Je ni nani mtenda dhambi ?
  17. JamiiForums Tanzania Noam Chomsky na Demokrasia katika nchi za dunia ya tatu

    Noam Chomsky ana mtazamo wa kina na wa kukosoa kuhusu demokrasia, hasa jinsi inavyotekelezwa na kuathiri nchi zinazoendelea. Kwa Chomsky, demokrasia mara nyingi haina maana halisi ya kuwa sauti ya watu, lakini badala yake inakuwa chombo cha kudhibiti tabaka la chini kwa masilahi ya tabaka...
  18. JamiiForums Tanzania Polisi wa Hamas katika rangi ya bluu warudi mitaa yenye vifusi kote Gaza kulinda amani

    Wananchi wa Palestina eneo la Gaza wameendelea kupata nafuu ya amani wakati wakirudi kwenye maeneo waliyokuwa wakiishi kote Gaza kufuatia usitishwaji wa vita kati yao na Israel vilivyodumu kwa zaidi ya mwaka mmoja. Hali hiyo inatokana na kurudi kwa polisi wa Hamas wakiwa wamevalia sare zao...
  19. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Dkt. Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza urais wa CCM uchaguzi mkuu wa OCT.2025, ni wa kisayansi katika siasa za kisasa.

    Kwanza umefanyika kimkakati, lakini pia umefanyika kwa muda muafaka kama surprise, lakini kwa kuzingatia sheria na katiba ya CCM, bila kuathiri kwa namna yoyote ile sheria na katiba ya nchi kuhusiana na masuala ya uteuzi wa wagombea uongozi na uchaguzi wenyewe. Azimio la kumuidhinisha Dr...
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni katika mawazo

    Wakuu kuna sehemu boss kahitaji watu wa finance na account kwa ajiri ya auditing, sasa tunafanya nahitaji kuuliza wenye experience unapomaloza auditing kuna uwezekano wa kupata ajira hapohapo katika kampuni hio? (Internal audit) Umuhimu wake ni upi??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…