katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    PostGE2025 Ulinzi wa Dola uliotumika Desemba 9, 2025 kwanini usitumike katika kulinda Rasilimali za Nchi na ufisadi usitokee?

    Nilikuwa najiuliza tu huu ufisadi wa kununua Rolls Royce na Mercedes Benz G Wagon kwa vigogo wetu nchini pamoja na hizi Rasimali za nchi tulizonacho zinavyotumika ndiyo sivyo. Kwanini ulinzi wa kuilinda Dola, usitumike kulinda Rasilimali za Nchi na kuzuia ufisadi na mafisadi. Nafikiri Kuna haja...
  2. CHADEMA ya Jana na CCM ya Leo katika picha!!

    Kwenye maktaba ya picha zinazohusu siasa za nchi yetu nimeipata picha hii... Naomba tuitafakari kwa pamoja. Hii picha Ina wanachama wa CHADEMA na CCM ambao wote Kwa wakati huo walikuwa ni viongozi wakuu na waandamizi Kwa vyama vyao. Kutoka kushoto mstari wa Mbele ni Stephen Wassira, William...
  3. Nafurahi Watanzania wameanza kuamka JF na mitandao mengine katika kuwakataa wanaharakati na kuhubiri Amani

    Kwanza kabisa nashukuru Mwenyewezi Mungu kwa kujalia hali ya usalama na kuepusha jambo baya lilipangwa dhidi ya nchi yetu 09 December. Pia natoa pongezi kwa Makamanda wa kuhubiri amani Jf stakehigh Victoire GENTAMYCINE Robert Heriel Mtibeli Ertugrul Bey iamwangdamin na wengineo hapa Jf na...
  4. PostGE2025 Mtu Mwerevu Haumwi na Nyoka Katika Shimo Moja Mara Mbili

    My people, Natambua tumeumizwa sana kwa kupotelewa na vipenzi vyetu,tumepoteza mali zetu na mitaji yetu,tumetezwa utu wetu na heshima yetu Lakini kutumia njia ambayo hapo awali ilifeli na kutaka kuitumia katika namna ile ile tusitarajie matokeo tofauti,tena kibaya zaidi watesi wetu wanajua...
  5. PostGE2025 Katika imani za kihindi, wale marehemu wa MO29, hawawezi kupumzika kwa amani ilihali mmewasaliti, Nafasi zao zitawahunt miaka yote

    Nimebahatika kusoma dini ya kihindi kidogo, Kuna sehemu inasema kwamba! Kama ulikufa ukiwa mwema basi huwa unazaliwa sehemu nyingine kama mtu mpya, kama ulikufa ukiwa na kinyongo ama ulikuwa haujamaliza kazi fulani basi huwa wanazaliwa kama wanyama na nafsi zao kuhaunt wale waliokuwa wameungana...
  6. R

    PostGE2025 Video: Vyombo vya ulinzi vikiendelea kufanya ukaguzi wa usalama kwa nyia ya anga

    Ukaguzi wa Usalama kwa Njia ya Anga, Helkopta ya Kijeshi Ikizunguka Maeneo mbalimbali ya Dar Es Salaam wakiangalia Usalama. Vipi hali huko mitaani wakuu?
  7. PostGE2025 Video: Hali ilivyo leo katika mkoa wa Ruvuma leo Desemba 9

    Hivi ndivyo hali ilivyo siku ya leo Disemba 9 mkoani Ruvuma katika maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika.
  8. N

    PostGE2025 Political Tension: Video, hali ilivyo asubuhi hii toka katika jiji la Dar es salaam shukrani kwa DW

    Raia bado wanasoma mchezo wa hali halisi ila mpaka mida hii mitaa inaonekana kuwa ni myeupe kabisa. Tupe update za ulipo.
  9. Wafanyabiashara wakubwa katika mikoa hufuata Nini CCM ,kama sio kichaka Cha kufichia maovu Yao?

    Najiuliza au nauliza ? Hivi wafanya biashara wakubwa ufata Nini ccm? Au utumia kichaka hicho kama sehemu ya kufichia maovu Yao? Ccm ni chama au genge la wahalifu wanaojiunga Ili kufichaovu Yao? Ni nani aloyeccm ambae ni mzarendo wa kweli? 😭 Ccm ni lama au chama Cha majambaziiii
  10. Waislam kubalini Wakristo wamewazidi katika maeneo mengi nyeti. Kama haya kisha mjifunze

    Hamjambo! 1. Waislam ni kama Kaini kwa ndugu yake Habil. Wanaona wivu na kuwa na hasira na maendeleo ya Wakristo. 2. Mimi kwa upande wa Baba ni Waislam. Mara yangu ya Kwanza kuingia msikitini nilishangaa Sana. Waislam wengi hawajaujenga uislam kama taasisi. 3. Unaweza kuingia msikitini Siku...
  11. Unaweza usiamini ila hawa ni viongozi wakubwa Afrika katika benchi wakiwa Marekani

  12. Ni nani anawajibu wa kuingilia kati katika nchi pindi mambo yanapokwenda mlama?

    wa sasa ni kama tuko na taifa lililoshindwa " Failed state", 1. kimataifa tumechafua image, ndani hakueleweki, 2. vyombo vya ulizi vina fanya vinavyotaka, 3. Viongozi wanakula kwa urefu kwa kamba zao, 4. Chaguzi zinafanyiwa figisu na uhuni waziwazi huku bado wakijisifu wameshinda. 5. Watu...
  13. PostGE2025 THRDC: Maridhiano yafanyike katika njia za ukweli, haki na uwajibikaji

    Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, ametoa wito kwa taifa kuanzisha mapema mchakato wa maridhiano na uponyaji baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu yaliyotokea kuanzia Oktoba 29 na siku zilizofuatia. Kwa mujibu wa Wakili...
  14. Picha kubwa kwa kinachoendelea Tanzania

    Kinachoendelea Tanzania ni mgogoro wa kikanda(East Africa) sababu kubwa ikiwa ni rasilimali zilizopo katika nchi hizo hasa pale DRC. Kwa yanayoendelea Tanzania kutekwa mauwaji etc ni mbinu au mikakati ya ki-intellijensia ku- counterattack mipango ya ki-intellijensia. Diplomasia ya awamu ya nne...
  15. PostGE2025 Niffer: Sina chama chochote na sijihusishi na siasa. Yaliyotokea ni 'Misunderstanding'

    "Mimi sina chama chochote cha siasa na wala sijihusishi na siasa kwa namna yoyote ile ni mwananchi wa Tanzania" Alisema mfanyabiashara Niffer Jovin baada ya kuachiwa huru dhidi ya kesi yake ya uhaini ilivyokuwa inamkabili.
  16. M

    Nayaona Maandamano katika ulimwengu wa kiroho

    Mimi hupenda kuongea kiroho zaidi,nayaona maandamano tarehe 9,nakushauri ndugu yangu nunua mahitaji yako muhimu weka ndani,kuanzia vyakula maji dawa,hakikisha una Cash mkononi ya kukutosha ingalau kwa wiki 2
  17. PostGE2025 Samia to Western Countries: Who are You? They think they are still our masters?

    Rais Samia amesema katika visingizio vya upinzani kuepuka kushindwa na uchaguzi wanaweka visingizio, ambavyo vyote vinaungwa mkono na nchi za nje. Nje hawana aibu wanakaa wanasema Tanzania ifanye moja, mbili tatu halafu ndio itakuwa hivi, WHO ARE YOU? Niawaulize kwao hayatokei? Tumenyanyua...
  18. PostGE2025 Special Thread: Kauli Tata za Rais Samia katika hotuba zake

    1. "Oktoba 29 tulitumia nguvu kubwa Kwa sababu ya Vurugu, mlitaka tutumie nguvu ndogo ili iwaje" 2. "Waliohamasisha maandamano Oktoba 29 ni Kwa sababu ya shida za maisha, na walifanya hivyo ili Watanzania wanunue bando wawaangalie ili walipwe" 3. "Kuna watu tunawaambia waje mezani kwenye...
  19. M

    PostGE2025 Padri Kitima: Kanisa Katoliki linaposimamia vitu halitafuti maslahi ya kikatoliki, bali ustawi wa watu

    Akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa Kanisa Katoliki linasimamia ustawi wa jamii, heshima ya utu na haki za msingi, ushiriki wa watu katika kujitawala na kuheshimu vyombo vya chini.
  20. Tupeane fursa zilizopo katika sekta ya uvuvi/baharini kwa wafanyabiashara

    Kichwa Cha habari chajitosheleza Sekta ya uvuvi kwa ujumla kwa mfanyabiashara Mdogo anaweza kufaidika kwa kufanya michongo ipi Seamen karibuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…