katibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Boveta

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wananchi CUF chaweka Historia kwa Kumchagua Katibu Mkuu Bi Husna Mohamed Abdallah

    Chama Cha Wananchi CUF jana kupitia Baraza Kuu la Uongozi lilimchagua Bi. Husna Abdallah kuwa katibu mkuu wa chama hicho. Hivyo katika medani za siasa hapa Tanzania, Bibi Husna anakuwa ndio Mwanamama wa Kwanza kushika nafasi hiyo lakini pia hii inaonyesha jinsi Chama Cha Wananchi (CUF) kilivyo...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katibu Tawala Mkoa wa Songwe akagua kiwanda cha makaa ya mawe STAMICO na Mradi wa Barabara ya London - Kiwila

    Ileje, 08 Januari 2025 - Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda, amefanya ziara muhimu katika Kiwanda cha Makaa ya Mawe Stamico pamoja na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya London-Kiwila yenye urefu wa kilomita 5, iliyopo katika Wilaya ya Ileje. Barabara hiyo ni kiungo...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CHADEMA anaongea na wanahabari

    https://youtube.com/live/D0mJfxf3wXE?si=c7girWLBjKbOhiyH Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika yupo live akiongea na wanahabari kueleza mambo mbalimbali ya uchaguzi wa ndani wa Chadema na Uchaguzi Mkuu wa 2025. Baada ya wagombea kuchukua fomu inafuata hatua ya usaili na uteuzi wa wagombea...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mwenezi wa CHADEMA Njombe atimkia CCM

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Njombe Mjini Emmanuel Kayombo na wenzake saba wamehama Chama hicho na kutimkia Chama Cha Mapinduzi CCM Mwaka 2020 Kayombo aligombea udiwani Kata ya Njombe Mjini, Kupitia lakini hakufanikiwa kushinda. Na mwaka 2024 aligombea...
  5. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu awe Mwenyekiti, Mbowe awe Katibu Mkuu

    Simple mathematics. Mbona Seif Sharif Hamad hakuwa mwenyekiti baki katibu mkuuna alishine. Wafuate mfano wa Putin na Medinefev wanaswutch tu vyeo vyao bila conflict
  6. U

    JamiiForums Tanzania Toka CHADEMA kuanzishwa hakuna katibu mkuu aliyemfikia Slaa

    Tangu mwaka 1992 hadi sasa katika makatibu wote wa CHADEMA ni Dokta Slaa pekee alikuwa na msimamo na speech zenye msisimko. Mashinji na Mnyika ndiyo wauza sura zaidi hawana ishu.
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mwenezi CCM Iringa awahimiza wananchi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo mkoa wa Iringa Mwl. Joseph Ryata amewaomba Watanzania kujitokeza kujiandikisha kwenye zoezi la kupata vitambulisho vya Mpiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu mwakani 2025. Akizungumza wakati wa mafunzo ya walimu Makada wa CCM mkoani Songwe, Ryata alisema kuwa...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Safu bora ya ushindi CHADEMA, Mkiti Lissu, Makamu Heche, Lema Mwenezi, Katibu Mnyika

    Hii combination hata CCM wanaomba isitokee. Sina haja ya kuandika wasifu wao kwa kirefu maana sifa zao zinajulikana, Lissu hakopeshi, Heche jasiri, Lema mwanaharakati na hana bei, Mnyika anakijua chama tangu chuoni. Mbowe awe mlezi wa chama kama alivyo Mtei.
  9. Dabil

    JamiiForums Tanzania CEO wa Simba Uwayezu Francois Regis ateuliwa na Kagame kuwa katibu wizara ya michezo nchini Rwanda.

    Hii imekaaje,CEO Mrwanda aliyeletwa na Simba amekula shavu katika serikali ya Rais Kagame ameteuliwa kuwa katibu waziri wa michezo. Ikumbukwe hakupata vibali vya kazi tangu Simba imlete,naona serikali hapa iliona mbali.
  10. Inside10

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu wa ccm mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa afariki dunia leo tarehe 20 dec 2024

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa amefariki dunia leo Desemba 20, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam. Kifo cha Sankwa kimethibitishwa na Rajab Abdulrhaman, mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, ambaye pia ni...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Katibu wa NEC, Issa Gavu akabidhi vifaa vya mamilioni Chwaka

    Mwakilishi wa Jimbo la Chwaka na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Oganaizesheni, Issa Gavu, amesema Serikali ya Awamu ya Nane chini ya Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi imefanikisha maendeleo makubwa kupitia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa CCM. Akizungumza Desemba 14...
  12. N

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Kozi ya Diploma in Pipe Works Oil an Gas Engineering wanapata changamoto katika Ajira Portal

    Kwa: Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, S.L.P 2483, Dodoma. YAH: OMBI LA KIBALI KWA WAHITIMU WA KOZI YA DIPLOMA IN PIPE WORKS OIL AND GAS ENGINEERING KUOMBA NAFASI ZA AJIRA ZA UFUNDI BOMBA Ndugu Katibu Mkuu, Kwa heshima na taadhima, mimi ni...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Katibu Mkuu CHADEMA: Bila mabadiliko, 2025 hakutafanyika Uchaguzi wowote

    Wakuu, Akiongea hivi karibuni katika mdahalo maalum ulioandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Benson Kigaila ambaye ni Naibu Katibu Mkuu CHADEMA amesema kuwa sio kwamba CHADEMA itasusia uchaguzi ujao bali uchaguzi huo unaweza usifanyike kabisa, Kigaila amesema kuwa bila mabadiliko ya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Endapo Lisu atakuwa Mwenyekiti, Makamu mwenyekiti Heche na Katibu Mkuu awe Lema. Patachimbika!!

    Tutashuhidia maccm yakiomba uraia nchi jirani kukimbia moto wa chadema. Mungu ibariki chadema.
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Katibu Uenezi CCM Dodoma: Sio kila kifo kinahusiana na uhasama wa kisiasa. Kufa hakusimami katika kipindi cha Uchaguzi!

    Wakuu, Naona ile kauli ya kifo ni kifo inaendelea kufanyiwa kazi kazi ipasavyo na chama kimoja cha siasa hapa nchini. Hawa viongozi wa CCM huwa hawafanyiwagi vetting na kupewa semina on what cha kuzungumza na kwa wakati gani? ====== Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa...
  16. technically

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa TEC: Viongozi wa dini hatuwezi kujitenga na siasa

    Siasa zinaendesha maisha yetu Siasa inagusa maisha yetu Wanaotekwa Wana ndugu zetu tunaoishi nao mtaani na wengine ni marafiki zetu Viongozi wa dini hatuwezi kujitenge na siasa maana siasa inawagusa waduasi wetu hivyo inatugusa sisi Kuna video kaongea kwa kirefu Sana na kaonya juu ya kutekwa...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Katibu wa Uenezi CCM Zanzibar: Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa (GNU) inaenda kufa 2025. Naumia ila sina jinsi!

    Wakuu, Hivi karibuni Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi,Uenezi na Mafunzo CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis alisema kuwa serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) inaenda kujifia 2025 na pamoja na kwamba anaipenda sana aina hiyo ya serikali lakini hana jinsi zaidi ya kuona mwisho wake...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Katibu mwenezi Arusha: Wao wanaokoteza wagombea, CCM ina demokrasia

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Arusha, Antony Maswi amewaasa wagombea wa nafasi ya uenyekiti wa vijiji/mitaa na vitongoji kuzingatia demokrasia na kutumia lugha za staha wakati wakiendelea na kampeni zao. Soma: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Utendaji wa Mbunge Kimei wamng'oa katibu wa ACT Wazalendo Jimbo la Vunjo

    Kasi ya utendaji ya Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei katika utekelezaji wa majukumu yake unatajwa kuwavutia wengi akiwemo aliyekua mgombea ubunge Jimbo la Vunjo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambaye pia ni Katibu wa ACT WAZALENDO katika Jimbo hilo Ndg Idd Mfinanga...
  20. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 TAMISEMI: Msifiche taarifa toeni lakini mlinde amani

    https://m.youtube.com/watch?v=n0BhBYsZeyw Dkt. Grace Magembe naibu katibu mkuu OR TAMISEMI awapa ukweli waandishi wa habari na serikali kwenda kijiditali katika kuelimisha umma wakati wa semina ya kuwajengea uwezo Waandishi wa Habari wasambaze taarifa sahihi na hasa kipindi hiki kuelekea 27...
Back
Top Bottom