katibu mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Naibu katibu mkuu CHADEMA Zanzibar: Polisi wanavyotufanyia sio kama wanatuvunja moyo, bali wanatutia ujasiri wa kupambana

    "Hivi ambavyo wanatufanyia vitatengeneza visasi vya muda mrefu sana lakini mimi naamini wametufanyia sisi lakini vizazi vyao vitakuja kufanyiwa haya ambayo tumefanyiwa na sisi. Nataka nimwambie Rais Samia kwamba anachokifanya kutunyamazisha ni kosa kubwa sana kwa sababu binadamu yeyote anapitia...
  2. PreGE2025 Baada ya kukamatwa Kisutu, Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Zanzibar apatikana, adai kupelekwa Pori la Mabwepande na kupigwa sana

    Makamu Mwenyekiti Zanzibar Mhe. Said Mzee Said, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Ali Ibrahim Juma na wengine 10 wakiwemo waandishi wanne walikuwa wamekamatwa mapema leo wameachiwa maeneo ya pori la Mabwepande, Kawe wakiwa wamepigwa na kuumizwa sana na Jeshi la Polisi. Wameumizwa sana na sasa...
  3. Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anaeleza taratibu za kumpata Papa kwa Kanisa Katoliki

    Father Chesco Msaga ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania akiwa kwenye Kasri la Kikeke anaeleza taratibu za kumpata Papa kwa Kanisa Katoliki. Taratibu za Mazishi ya Papa Francis zikoje Father Chesco Msaga ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki...
  4. Katibu Mkuu wa Hezbollah Sheikh Naim Qassem agoma wanajeshi wa Hezbollah kupokonywa silaha

    Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sheikh Naim Qassem: "Hatutaruhusu mtu yeyote kuwapokonya silaha Hezbollah, na wazo la kupokonya silaha lazima liondolewe kabisa kwenye kamusi. Silaha zetu ndizo nguzo ya upinzani, ndizo zilizoikomboa nchi yetu na kulinda mamlaka ya taifa letu tupendwa.' Kwa lugha...
  5. I

    Katibu Mkuu wa BAVICHA amshangaa Kamanda wa polisi Dar Jumanne Murilo!

    Katibu Mkuu wa BAVICHA akishiriki katika kipindi cha Malumbano ya hoja ITV jana alimshangaa Jumanne Murilo kutishia wananchi na kupiga marufuku kwenda kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Taifa Chadema Tundu Lissu katika mahakama ya Kisutu. Katibu Mkuu huyo amehoji Kamanda...
  6. PreGE2025 Mnyika: Sitakuwepo kuwakilisha Chama kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi 2025 kwenye Ofisi za Tume ya Uchaguzi

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema hatakuwepo katika kusaini maadaili Uchaguzi ya 2025 na hajateua Afisa au Kiongozi yeyote kwenda kushiriki kwa niamba yake Ameandika “Katibu Mkuu CHADEMA sitakuwepo kwenye kikao cha tarehe 12...
  7. Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania, na Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (Mb), Spika wa Bunge la Tanzania, pia Rais...
  8. PreGE2025 Julius Mwitta: G-55 iliundwa na Katibu Mkuu wa Chadema, John John Mnyika

    Naam. Julius Mwitta anapasua mbarika, kumbe mwenye G-55 yupo na hamsemi. Haha. === Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema; "G-55 ilizaliwa kutokana na kikao kilichoitishwa na Katibu wa Chama. Wakati huo mimi bado nilikuwa Katibu wa...
  9. PreGE2025 Katibu Mkuu CCM, Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Mbinga Mjini

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Mbinga mjini, alipokuwa njiani kuelekea Wilaya ya Nyasa, ikiwa ni siku ya nne ya ziara yake ya siku tano, katika Mkoa wa Ruvuma, leo Jumamosi tarehe 5 Aprili 2025.
  10. Balozi Nchimbi atoa pole kwa familia ya aliyekuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na familia ya aliyekuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, Bi. Mary Sulle, alipofika kuwapatia pole na kuwafariji Alhamis tarehe 20 Machi 2025. Bi Sulle aliyefariki usiku wa kuamkia tarehe 18...
  11. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii afanya ziara ya kushtukiza Serengeti kukagua miundombinu pamoja na huduma zinazotolewa kwa wageni

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia Maliasili Kamishna wa Polisi Benedict Wakulyamba akiwa njiani kuelekea Hifadhi ya Taifa Serengeti amefanya ziara ya kushtukiza katika Lango la Nabi la Hifadhi ya Taifa Serengeti Kisha kukagua miundombinu pamoja na huduma...
  12. Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Ahmed Djellal,

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal, ambaye alifika ofisini kwa Balozi Nchimbi, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, kwa ajili ya kuaga, Jumatano tarehe 12...
  13. PreGE2025 Katibu Mkuu wa CUF Bi Husna Mohammed Abdallah amtembelea Wilfred Lwakatare

    Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii The Civic United Front-CUF Chama Cha Wananchi. Katibu mkuu wa chama cha wananchi-CUF madam Husna Mohamed Abdallah Tarehe 11 February 2025 Alikwenda kumtembelea mmoja wa waasisi wa chama cha wananchi-Cuf ambae pia amewahi kuwa naibu...
  14. Katibu Mkuu CUF afanya ziara TAWLA (Chama cha wanawake wanasheria)

    Katibu mkuu wa chama cha wananchi-cuf madam Husna Mohamed Abdallah leo jumanne tarehe 11 February 2025 alifanya ziara chama cha wanasheria wanawake Ilala Dar-es-salaam,katika ziara hiyo mbali na kujitambulisha lakini alipata nafasi ya kujadiliana mambo mbali mbali.
  15. Kwanini Serikali ya Rais Samia inashambuliwa na Luhaga Mpina na Waziri wa kisekta, Msemaji na Katibu Mkuu wapo kimya?

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM Mhe Luhaga Joelson Mpina kwa wiki kadhaa sasa amekuwa akiishambulia vikali kwa hoja nzito nzito Serikali ya awamu ya sita (6) inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan lakini mamlaka husika ziko kimya kabisa. Tujaribu kufikiria kama Wananchi wataamua kuchukua...
  16. Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Avutiwa na Mkakati wa Serikali wa Utafiti wa Madini Nchini

    ▪️Ampongeza Rais Samia kwa kwa maono ya kukuza sekta ya Madini ▪️Avutiwa na aonesha utayari wa kusaidia VISION 2030 Naibu katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN) Mhe Amina Mohamed ameipongeza serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mkakati wa kufanya...
  17. R

    Tetesi: Nape Moses Nauye Katibu Mkuu mpya wa CCM, Pole pole Mwenezi huku Makongoro Nyerere akiwa RC Dsm

    Tunapoelekea uchaguzi mkuu safu mpya zinazokuja kuziba mapengo ni pamoja na Nape kuchukua nafasi ya Nchimbi huku Pole pole akirejea nchini kumsaidia Kazi Mzee Amos. Makongoro Nyerere anakwenda kuchukua jiji la DAR. Mzee Januari anarudi kusimamia Muungano
  18. Dkt. Abbas afanya ziara TAFORI, ahamasisha watafiti kufanya tafiti za kimaendeleo

    Na Mwandhishi Wetu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas amewahamisisha Wataalamu wa utafiti wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI), kuandaa miradi mbalimbali ya utafiti yenye kuleta maendeleo chanya ndani ya Taasisi na katika sekta ya Misitu na ufugaji...
  19. Joyce Ndalichako, Katibu mkuu mtendaji NECTA maarufu zaidi

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) halijawahi kupata tena Katibu mkuu mtendaji maarufu kuliko Prof. Joyce Ndalichako, huyu mama ilikuwa ikifikia wakati wa kutangaza matokeo ya NECTA ya darasa la saba, kidato cha nne au cha sita nchi inasimama.
  20. Tetesi: Godbless Lema huenda akawa Katibu Mkuu ajaye wa CHADEMA

    Huyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi. Haiyumkiniki, Mwenyekiti Lissu atampendekeza katika nafasi ya Katibu Mkuu ili kukijenga upya Chama ambacho kilishaanza kupoteza umaarufu wake baada ya Mbowe kuonesha wazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…