katiba

  1. L

    Jinsi ya kuandaa Katiba ya Kampuni

    Usajili wa Kampuni unahitaji documents nyingi, moja ya document muhimu ambayo kama ikikosewa utakataliwa usajili ni "Katiba ya Kampuni" Ili katika yako iwe imekamilika inahitaji kua na vipengele kadhaa, hivi ni baadhi na vya muhimu zaidi; 1. Jina la Kampuni Jina la Kampuni linatakiwa kuonekana...
  2. Hivi wanaosema katiba ni kijitabu tu wanaweza kudiriki kusema Quran ni kijitabu tu ama Biblia ni kijitabu?

    Kuna mambo yanatosha kuitwa uhaini, kama kudharau wimbo wa taifa ama bendera ya taifa ni kosa la kukuweka behind bars iweje aliyekashifu katiba ni kijitabu tu. Madhaifu ya kiuungozi yaditifanye tukose kauri wakati wa kutoa hoja. Leo wakati nikipita mtandaoni nimekutana na kauli ya kuwa katiba ni...
  3. M

    Kwa nini Rais ameahirisha shughuli za Bunge badala ya kulivunja kama katiba inavyosema? Kuna tatizo?

    Ibara ya 65 (2) inatanabaisha kuwa uhai wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huwa unaanza pale pale wabunge waliochaguliwa baada uchaguzi mkuu kukutana kwa mara ya kwanza hadi litakapovunjwa na Rais wa kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao. Juzi tumesikia rais akiahirisha shughuli za Bunge...
  4. Katiba mpya itamke wazi, mtumishi wa tume ya uchaguzi akose sifa za kugombea au kuwa mtumishi wa umma.

    Ni lazima tuweke standard kama taifa, haiwezekani wewe uwe mjumbe au mtumishi wa tume ya uchaguzi kwa ngazi yoyote ile halafu kesho na keshokutwa uende kwenye uchaguzi kugombea. Hiyo hapana. Tukatae. Iwekwe wazi kabisa, ukiamua kutumikia tume ya uchaguzi moja kwa moja ukose sifa zingine zote za...
  5. Muendelezo wa Kutisha wa Kuvunjwa kwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tuambieni tu kuwa CCM wako juu ya Katiba tuelewe moja.

    Imefika kipindi tukubaliane jambo moja tu, kuwa nchi hii haiongozwi tena kwa Katiba na Sheria bali utashi wa watu binafsi. Kama si hivyo basi tukubaliane tu jambo moja kuwa wananchi wote wa Tanzania ni vigaragosi na mazwazwa kiasi kwamba Viongozi wanaweza jifanyia jambo lolote lile bila kuogopa...
  6. R

    Kutovunjwa bunge Leo Hadi hapo August, ni ishara ya kufanyika reforms kupata katiba mpya?

    Salaam! Bunge halijavunjwa, limeahirishwa tu, Sasa Nini kimelengwa hapo? Ni kudhibiti wahamaji au ni mpango wa reforms kupata tume huru ya uchaguzi? Karibuni 🙏
  7. Alivyotendewa Tundu Lissu Ukonga ni Uvunjifu Mkubwa wa Ibara 13 ya Katiba

    Alichodai Tundu Lissu Mahakamani kuwa amewekwa pamoja na wafungwa waliohukumiwa kunyongwa ni jambo ambalo lingesababisha Mkuu wa Gereza Ukonga kuondolewa na kama siyo Waziri wa Mambo ya ndani kuondolewa basi Mkuu wa Jeshi la Magereza alipaswa kujiuzulu. Uvunjaji wa Ibara ya 13 ya Katiba yetu...
  8. H

    PreGE2025 No Reforms No Election ni kulinda msingi wa Katiba, Wananchi tuilinde Katiba kwa nguvu zetu zote

    Katiba yetu ya nchi inatamka wazi kabisa kuwa mamlaka yote ya utawala yatatoka kwa wananchi kupitia uchaguzi ulio wa haki. Hivyo kitendo chochote cha kuzuia uhuni wa kupokonya mamlaka ya wananchi ya kuamua nani awaongoze, ni ukiukaji wa msingi wa katiba yetu. Wananchi tusikubali kuwa sehemu ya...
  9. PreGE2025 Wasira: 'No reforms no Election' si hoja ya kisiasa ni kuvunja katiba

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kauli ya “No Reforms No Election” inayopigiwa chapuo na baadhi ya vyama vya upinzani si hoja ya kisiasa, bali ni wito wa makusudi wa kuvuruga amani na kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akizungumza...
  10. PreGE2025 Stephen Wasira: Asiyetii Sheria na Katiba huyo ni Gaidi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira, amesema utawala bora ni kutii Katiba na Sheria za nchi, hivyo mtu yeyote asiyetii na anataka kufanikisha mambo yake binafsi kwa kuua watu huo ni gaidi. Wasira ameyasema hayo leo Juni 22,2025 alipokuwa akizungumza katika kikao...
  11. Ukiona taifa lina mwanasiasa ambaye hapendi taifa lake liwe na katiba ambayo italinda maslahi ya taifa ujue huyo yupo kwa ajili ya tumbo lake

    Naona WanaCCM hawataki kuwa na katiba kama ilivyopendekezwa na tume ya Jaji warioba. Mfano , taifa letu kuwa na Mawaziri wasio wabunge na hata kuwa na tume huru ya uchaguzi. Kwa katiba hii na Philp Mpango ameona kuna mizengwe baada ya uchaguzi 2025 tutarajie ufisadi kama ule wa Kagoda...
  12. Katiba ya TFF ni copy n paste na katiba ya FIFA.mpira ni mali ya FIFA sio serikali

    Kila alichofanya au anachofanya mwamba Karia kina baraka za Fifa, Katiba ya TFF ni copy n paste na katiba ya wenye mpira wao. Mpira ni mali ya nani? Wa kumtoa Karia ni Fifa only guys wake up
  13. 1977: Julius Nyerere akizungumzia katiba, demokrasia, na petty tyrant….

    Alichokizungumza hapa kina resonate vizuri sana na hali kisiasa iliyopo. “If a petty tyrant gets somewhere, we’ve got to remove him [or her]. Pia, kumbe Nyerere naye alikuwa ni globalist 😀. https://youtu.be/92MreE1tep8?si=3UG3J8HYqakllrXr
  14. S

    Enyi CCM, kinachodaiwa na CHADEMA na ninyi kinawahusu. Wanachofanyiwa akina Mpina na Gwajima ni kwasabb ya ubovu wa katiba

    1. Kama katiba ingelikuwa bora, Samia asingejipitisha mwenyewe kuwa mgombea urais ndani ya CCM. Lkn katiba imempa mamlaka makubwa sana, kiasi kwamba kila mwanaccm anaogopa kumpinga. 2. Kama katiba ingelikuwa ni bora, Gwajima asingelikuwa mafichoni. Kwani kafanya kosa gani? Kusema ukweli ni...
  15. Wajibu wa Mihimili ni Katiba: Kuilinda, Kuiheshimu, Kuitetea na Kuitekeleza Kwa Kuheshimiana!. Je Bunge Lifanye Minimum Reforms Kabla Kuvunjwa Au ?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo nikijkita kwenye kumpongeza Spika wa Bunge, Dr Tulia Akson kwa kukumbushia majukumu na wajibu wa mihimili ni kwa Katiba ya JMT : Kuilinda, Kuiheshimu, Kuitetea na Kuitekeleza Kwa Kuheshimiana na sio kwa mihimili kujinyenyekeza kwa...
  16. L

    Katiba Mpya Siyo Kipaombele Cha Mamilioni ya Watanzania ndio Maana Ajenda Hiyo Haiungwi Mkono wala Kuzungumzwa Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Unaweza kuniita majina yote mabaya ,unaweza nitukana kwa matusi yoyote yale utakayo,unaweza niita lichawa au likupe ,unaweza nitemea hata mate,unaweza kunichukia kuliko hata shetani . Lakini pamoja na hayo yoote napenda kuwaambieni ukweli mchungu kabisa ambao pengine...
  17. Mimi Dennis Robert Shughuru sina miaka 40 ya kugombea Urais wa Tanzania kama isemavyo katiba ya Tanzania natangazaje nia???

    Nilijua kwa kusema nina nia ya kugombea Urais wa Tanzania lazima watu watasema huyu ni kichaa, mwendawazimu, hawa vijana wa sahivi stress za maisha zinawasumbua, anatakiwa aende mirembe, afya la akili ni tatizo, maisha magumu nyie, huyu hata tofauti na deo kisandu n.k haya majibu na mengine...
  18. Heshimuni Haki ya kusikilizwa kabla ya kuadhibu Art. 13(6)(a) Katiba

    Kuna matukio mengi tangu mwaka 2015 through 2020 hadi sasa ya wateuliwa wa serikali wanaolipwa mishahara ya kodi zetu, wanapotoa maamuzi yanayoathiri hatima ya mtu au kikundi, wanasahau kuwa lazima wazingatie haki ya kusikilizwa ambayo ipo kwenye Ibara ya 13(6)(a) ya Katiba ya nchi yetu. Ibara...
  19. Karibu Mahakama ya Tanzania George M. Masaju. Una kazi kubwa sana ya kufanya, Turudishie Mahakama chini ya Ibara 107A ya Katiba

    Kwanza hongera sana kwa Uteuzi wako. Kama sikosei ulipelekwa Mahakama ya Rufani ukiwa na miaka 60. Hivyo sasa utakuwa Jaji Mkuu kwa kipindi kisichozidi miaka 5 kwa kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatamka Jaji wa Mahakama ya Rufani anapaswa kuhudumu katika nafasi hiyo hadi...
  20. Marekani ina katiba nzuri na mfumo mzuri wa uchaguzi, lakini vurugu na risasi havikomi — Kwanini?

    Marekani ni taifa linaloheshimika duniani kwa kuwa na katiba ya kihistoria yenye kuheshimu haki za binadamu, pamoja na mfumo wa kidemokrasia ulio imara. Chaguzi za Marekani huendeshwa kwa uwazi na uhuru mkubwa. Licha ya hayo yote, bado katika Taifa hilo kubwa duniani, tunashuhudia matukio ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…