CHADEMA wamejipambanua wazi wazi ya kuwa nini wanataka. Agenda yao ya uhuru, usawa na haki haipendezi sana miongoni mwa madhulumati na wanufaika wa hali iliyopo sasa.
Rais Samia kajipambanua kuwa hataki dhuluma bali anataka usawa na haki kwa wote. Mama ameonyesha utayari wa kuonana na makundi...