katiba

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanataka katiba mpya sasa wasiotaka kina nani?

    Wananchi kwa tafsiri sahihi wanataka katiba mpya sasa: Enyi kina Zitto na wenye kujitanabaisha kuwa katiba mpya si kipaumbele mna mwakilisha nani? Hekima ipi mpewe na nani nyie? Au ndiyo la kuvunda?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi kikwazo kikuu Katiba Mpya

    Hakuna asiyejua kuwa Katiba Mpya ni majumuisho ya mustakabala ulio bora zaidi katika uendeshaji wa nchi kwa wakati husika. Hayupo mwenye akili timamu anayeweza kupinga matumizi au ujio wa mustakabala kama huo. Taabu gani makwetu Tanzania basi? Kwa hakika ubinafsi uliopitiliza ndiye aliye...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Polepole washamjulia kelele zote ni njaa! Wakati wa jukwaa la Katiba akatupwa kwenye Bunge la Katiba, na Wakati wa kelele za "wahuni" katupwa Ubalozi

    Inaelekea komredi Polepole Washamjulia!! Akiwa na njaa hupiga Sana makelele ya "uzalendo" kisa ni kuwatikisa wakubwa wamkumbuke. Wanaokumbuka makelele ya Polepole kwenye vuguvugu la kudai katiba mpya akiwa moto wa kuotea mbali enzi za jukwaa la katiba. Mzee wa msoga kamchekiii kaona hamna...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi- Haya ndiyo maeneo yaliyorekebishwa kwenye katiba ya CCM ya mwaka 1977

    UCHAMBUZI- HAYA NDIYO MAENEO YALIYOREKEBISHWA KWENYE KATIBA YA CCM YA MWAKA 1977. Na Bwanku M Bwanku. Leo Jumatano Aprili 06, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 9 nimechambua maeneo yote 12 yaliyofanyiwa Marekebisho kwenye Katiba ya CCM ya Mwaka 1977, Toleo la 2020. Kama...
  5. B

    JamiiForums Tanzania TCD endapo mtaelewa kauli aliyoitoa George (Mkenya) mtatambua hakuna Tume bila Katiba na hakuna Katiba bila Tume Huru

    George amewaeleza wananchi mambo muhimu sana ambayo kwa historia ya Kenya kwenye mchakato wa Katiba hakuna tofauti na Tanzania. Kenya walikusanya maoni ya wananchi then chama tawala na Serikali wakayakataa hayo maoni yaliyokuwa na jina la BOMAS. Chama tawala wakaanzisha mchakato wao na...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ni watu, Marafiki wala Maadui hawawezi kuwa wa Kudumu

    Ni dhahiri kuwa NCCR, CUF, Chadema na wengine pia wapo wanahitaji katiba mpya sasa. Katiba mpya itakuwa mustakabala wetu ulio bora zaidi kama nchi. Hayupo mwenye akili timamu anayeweza kuupinga mchakato wake. Tunaotaka mustakabala mpya tupo chini ya meza. Wasiotaka mustakabala mpya wako juu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya haitaletwa na walio Madarakani

    Hakuna asiyejua umuhimu wa katiba mpya katika zama zozote. Katiba mpya ni mustakabala ulio bora zaidi katika nchi katika wakati husika. Nani anaweza kupinga uwapo wake? Mustakabala huo hauwezi kuletwa na watawala madarakani katika wakati wowote. Kuwaomba, kuwalilia au kujaribu kuwalaumu kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Tuweke kumbukumbu sawa: Serikali inaelekezwa na kusimamiwa na Katiba sio Chama!

    Hii ni rejea muhimu kwetu sote na kwa manufaa ya Taifa letu. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  9. JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa Katiba Mpya alaumiwe Hayati Magufuli

    Hayati John Pombe Magufuli, aliukuta mchakato wa katiba mpya umefika mahali pazuri pa kupigiwa kura. Hayati Magufuli akazipuuza harakati za miaka nenda rudi za waTanzania zilizolenga kuipata katiba mpya. Magufuli kwa kiburi na jeuri akasema kutengeneza katiba nzuri itakayowapa mwangaza mpya wa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua vipengele vya Katiba ya CCM vilivyofanyiwa marekebisho

    Ndugu zangu Leo ilikuwa siku ya shamra shamra kubwa sana ndan ya Jiji letu la Dodoma. Nimeona mengi s'na. Ila Jambo Moja ambalo cjajua ni hili, ni vipengele vipi vimefanyiwa marekebisho ndan ya Katiba.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ya CCM Dodoma hayatuhusu yetu ni Katiba Mpya

    Yatuhusu vipi ya hawa na barakoa zao? Au ya huyu na wahuni wake? Muhimu tutambue: 1. Wananchi walio wengi wanataka katiba mpya isipokuwa wenye maslahi binafsi na iliyopo. 2. Katiba Mpya haitapatikana kwa miito ya mitandaoni au maneno pekee. 3. Katiba Mpya haitapatikana bila ya watu (sisi)...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mahakama Kuu yazuia mapendekezo ya mabadiliko ya Katiba yenye "utata"

    Marekebisho hayo yangekuwa mabadiliko makubwa zaidi kwa mfumo wa kisiasa wa Kenya tangu ilipoanzisha katiba mpya mwaka wa 2010. Mahakama ya juu nchini Kenya imetangaza mabadiliko ya katiba yenye utata yaliyopendekezwa na Rais Uhuru Kenyatta na washirika wake kabla ya uchaguzi Mkuu mwezi Agosti...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Jinsi CCM inavyopindua meza yake yenyewe, Bado tu Wana-CCM hamuoni umuhimu wa Katiba Mpya?

    Ni mwaka mmoja umepita sasa tangu Mwenyekiti wa CCM atwaliwe na Bwana! Ni kawaida Kwa Nchi yoyote Rais akifia madarakani hutokea mtikisiko! Hapa kwetu pia kulitokea na Bado kunaenfelea kutikisika! Hata hivyo huu wa kwetu ni wa kipekee! Kuna msemo unaitwa kupindua meza ! Labda pengine...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kupinga Katiba Mpya sasa ni kujipalia Makaa bure

    Mijini wanasema kusoma hujui, hata kuangalia picha nako? Nini kilichojificha kwani? Watu wanataka katiba mpya. TWAWEZA 2017 hawa hapa: TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba Mpya Msimamo wa CUF, NCCR na CHADEMA unajulikana. Katiba mpya ni sasa. Kwa msimamo huu: Ndani ya...
  15. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Katiba na Sheria: Tuipe muda Katiba ya sasa

    Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Godfrey Pinda amesema Watanzania waipe muda Katiba iliyopo ili iangaliwe maeneo yanayokera ili kuimarishwa, kwa sababu haina tatizo lolote isipokuwa wanaoitafsiri hutoa maana tofauti. Pinda alitoa msimamo huo jana Machi 29, 2022 wakati akizindua magari mawili...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuhodhi vuguvugu la kudai Katiba kana kwamba mahitaji ni yao pekee yanadhoofisha upatikanaji wa Katiba Mpya

    Ukweli ndio huu. Maana wanataka kuonyesha umma kuwa mpambano wa kudai katiba mpya ni wao tu. Na kwa mantiki hii inakuwa inaonyesha kuwa wanataka katiba mpya ili wapate madaraka tu na wala sio kwa ajili ya watanzania wote. Kwanini hatusikii juhudi zao kuwapigia debe, waalimu, wakulima na wavuvi...
  17. JamiiForums Tanzania TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba Mpya

    Hii ndio taarifa iliyopatikana kutokana na Utafiti uliofanywa na Taasisi inayoaminika nchi Tanzania inayoitwa TWAWEZA , katika utafiti wao ulioitwa UNFINISHED BUSINESS . Bila shaka sasa kuna haja ya kufuata matakwa ya wengi.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Moto wa Katiba mpya Unapagawisha

    Moto wa katiba mpya unawahusu moja kwa moja watawala na watawaliwa. Unahusu haki na usawa wa watu. Moto huu unahusu utawala bora na mamlaka kwa wananchi. Moto huu ndiyo ulio pelekea Mh. Mbowe kukaa korokoroni kwa miezi 8. Mbowe ametoka na kazi inapoendelea kupagawa kupo pale pale. Kwamba...
  19. JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Rais Samia Kadanganywa na Kikosi kazi cha Demokrasia, hatukukubaliana vile

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ameoneshwa kusikitishwa na baadhi ya masuala yaliyowasilishwa na Kikosi Kazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa Nchini kinachoongozwa na Mwenyekiti Prof. Rwekaza Mukandala kwa kueleza kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba aikataa Kamati ya Prof. Mukandala. Asema hakuna mjumbe aliyesema mchakato wa Katiba usubiri hadi mwaka 2025

    Huyu ni miongoni mwa Wajumbe walioteuliwa na Rais chini ya Rwekaza Mukandala, Anaitwa Haruna Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa CUF. Jionee mwenyewe "Mimi nilikuwa mjumbe kwenye mkutano uliofanyika Dodoma na hakuna mjumbe hata mmoja aliyesema mchakato wa katiba usubiri hadi mwaka 2025. Baraza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…