katiba

  1. L

    JamiiForums Tanzania Tunataka Katiba ya kutuondoa utumwani ili tuanze maisha mapya ya uhuru

    Kazi ya kuandika katiba inapaswa kupewa umuhimu wa juu kwani ni tendo takatifu linalotupeleka kwenye maisha mapya ya uhuru wetu. Taifa letu bado liko katika mfumo wa kikoloni lakini mkoloni wa sasa ni mweusi sio kama wale weupe wa zamani. Viongozi wa kwanza wa taifa letu ndio waliamua...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kikosi Kazi kiliundwa ili kuchelewesha mchakato wa Katiba Mpya

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameitaka Serikali kuweka wazi gharama ambazo kikosi kazi kimetumia huku akisema hakukuwa na haja ya kuundwa kwa kikosi hicho kwa sababu kazi ya kutafuta maoni ya wananchi ilifanywa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba. Mnyika...
  3. JamiiForums Tanzania Walimu wamelipokea tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini, LAKINI wanataka Katiba mpya Ili apatikane kiongozi atakayetatua Matatizo yao sugu

    Wakuu Tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini KWA walimu wamelipokea,LAKINI changamoto ZAO ni nyingi Sana na serikali imeshindwa kuzitatua,wanadai Katiba mpya Ili achaguliwe kiongozi atakae tatua Matatizo yao,huyu aliepo ameshindwa kabisa! Wanajua urejeo wa Kairuki Tamisemi ni kuspin maslahi yao...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Zitto yupo? Na Mbowe alipotoka jela alirudishwa tena? Angekuwa huru sasa hivi angedai Katiba na Mikutano

    Zitto ni muda nadhani hayupo sayari hii. Atakuwa sehemu analamba tu Asali. Asikwambie mtu. Nampenda Rais Samia. Hatumii nguvu kuwanyamazisha wanasiasa. Magufuli alikuwa Mjeuri na mbishi. Acha alale huko aliko. Ashakum si matusi. Wanasiasa wanapigania kupata "Kula" wakipata kula zao tu basi...
  5. JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Wazee tulikataa kubadili Katiba muhula wa Urais kutoka miaka 5 kuwa miaka 7

    Akiwa kwenye mahojiano na kipindi maalum cha Clouds leo aliyekuwa Rais wa awamu ya Nne Jakaya Kikwete amesema kuwa mchakato uliokuwa mgumu zaidi kwake ni kuzuia uhuni wa kubadili muhula wa uongozi ndani ya CCM kutoka miaka mitano kuwa saba. Jakaya anasema mjadala ulipoletwa ulikuwa ni moto ila...
  6. JamiiForums Tanzania Haki ya usawa wa kikatiba

    HAKI YA USAWA WA KIKATIBA. Ibara ya 12 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema binadamu wote ni sawa na kiila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake. Kila mtu anayo haki ya kupata heshima na thamani inayostahili utu wake. Ibara ya 13 inasema watu wote ni...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Katiba inasemaje kuhusu kuongozwa na Mabalozi wa CCM nchi nzima?

    Habari za kazi ndugu wadau. Napenda kuuliza hivi Katiba ya Tanzania inasemaje kuhusu wajumbe wa nyumba kumi au mabalozi. Maana wanateuliwa na CCM kuongoza wananchii. Balozi CCM, Mwenyekiti CCM, diwani CCM, mbunge CCM mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, wote CCM, mtendaji kata CCM, Katibu tarafa CCM...
  8. J

    JamiiForums Tanzania CCM na NCCR ndio Katiba zao zimeweka ukomo wa miaka 10 Mwenyekiti wa taifa kukaa madarakani. Vingine Mwenyekiti ni wa Maisha!

    Nccr Mageuzi wamependezwa na ubora wa Katiba ya CCM kuhusu ukomo wa muda wa Mwenyekiti wa taifa kukaa madarakani wa miaka 10 Hivyo mkutano mkuu wa Nccr nao umefanya mabadiliko ya Katiba yake na kuweka ukomo wa Mwenyekiti kukaa madarakani Source: Selasini
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katiba ya kenya ina 'checks and balance', IGP anakuwa vetted na Bunge

    Dah yaani Rais anateua IGP ila inabidi akathibitishwe na bunge na kumbuka siyo bunge la kina msukuma, huko kuna upinzani wa ODM. Pamoja na matatizo baadhi waliyonayo hawa watu wametuacha mbali sana kiakili na kini thabiti, kilichobaki huku kwetu ni comedy, unafiki na propaganda za kiduwanzi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Machungu ya katiba bora, Majaji 6 wa Ruto ngoma bado mbichi

    Kumbe Ruto pamoja na kujishasha kwake na hatma ya majaji wale 6 mbele ya wageni wasiohusika, kingali kimeumana? Kwa hakika ndiyo maana watawala wetu wakisikia katiba mpya: "Huwa hawaishiwi ndoto mbaya mbaya usiku wakikimbizwa na kupigiwa kelele za wezi,,, wauawaji ... zisizokoma." Hawa 6 kwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Bila Katiba Mpya hakuna mwekezaji atakuja kuwekeza Tanzania, Kenya waula

    Rais mpya wa Kenya amesema nchi yake inakimbiliwa na wawekezji kwasababu kuna demokrasia na hivyo mustakabali wake unatabirika. Uchaguzi uliyopita umeithubitishia dunia kwamba Kenya Ina misingi imara ya kidemokrasia na hivyo haitayumbishwa na yeyote. Hapa Tanzania kwa katiba ya sasa ambayo...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa Katiba Mpya upo njiani kutekelezwa

    Rais Samia Suluhu alisema atashughulikia suala la Katiba Mpya na kuna watu wengine wanahoji kwanini mchakato wa Katiba Mpya unachelewa. Sababu za kuchelewesha Katiba Mpya Rais Samia Suluhu anataka kila mwananchi ashiriki kikamilifu katika mchakato wa kuleta Katiba mpya kwasababu Katiba ni ya...
  13. JamiiForums Tanzania Balozi Lumbanga: Suala la Katiba mpya haliepukiki, Tunajaribu kucheza na akili za watu

    Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Balozi Marten Lumbanga amesema mabadiliko ya Katiba hayakwepeki, huku akiwataka viongozi wa Serikali na CCM kutopuuza madai hayo. Balozi Lumbanga aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi wakati wa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi na baadaye Rais mstaafu Benjamin Mkapa kabla...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kama tunataka Katiba Mpya, Tusiionee "Haya" Haki ya awaye yote

    Haki za binadamu zikiwamo za kuishi, usalama, kulindwa, kujilinda, kusikilizwa n.k, si hisani. Anasema beberu: "Human rights aren't negotiable." Hizo haziombwi. Zaidi sana anasema beberu: "Human rights are enforceable." Tunataka Katiba Mpya. Ni haki yetu. Haki hupiganiwa. Hatuwezi kuwa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya haitakuja kwa Maneno Matupu

    Kupata katiba mpya ni shughuli pevu dhidi ya walamba asali, vibaraka na chawa wao. Vipi kuwatemesha matonge midomoni? Katiba mpya haitakuja kwa maneno Matupu mezani au mitandaoni. Katiba mpya itakuja kwa mapambano yaliyoratibiwa vyema chini ya mikakati thabiti. Kuganga yaliyopo na yajayo...
  16. JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo: Katiba iliyopo sasa sio ya Demokrasia ya Vyama Vingi

    Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayotumika kwa sasa ni ya demokrasia ya Chama kimoja. Amesema hali hiyo imechangia kuwa na demokrasia dumavu ambayo inapelekea kuchelewa kwa maendeleo, ambapo amedai kuwa kuna uhusiano wa...
  17. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Rais akifanya kosa la jinai ofisini ashitakiwe, Trump ni mfano mzuri

    Leo Trump anachunguzwa na Serikali ya Marekani kwa wizi wa siri nzito za serikali. Siri hizo Trump anazifahamu kwa vile alihusika nazo, lakini kitendo cha kuziiba(kwa maana ya kuondoka na nyaraka za serikali kijinai) , Trump inawezekan akashitakiwa mahakamani. Nchi yetu Tanzania vivyo. Katika...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kianze kati ya Katiba Mpya au Kuitoa CCM Madarakani?

    Habari wana JF Nimewaza sana nikagundua CCM kuwepo madarakani ni tatizo kubwa kuliko hata hii katika tunayo hitaji. Hivi kwa hii CCM tunaweza pata Tume huru ya Uchaguzi? Sasa tunayo katiba lakini tumeshuhudia mara kadhaa ikivunjwa na Kwa mizizi kiliyo nayo hiki Chama mnadhani ni rahisi Katiba...
  19. JamiiForums Tanzania Niishukuru Kamati Kuu ya CCM kuridhia mchakato wa Katiba Mpya uendele. Tanzania mpya itazaliwa na changamoto za kimfumo zitabaki historia

    Nawashukuru sana Ile Tanzania nilioiota KWA muda mrefu inaenda kutimia,kuanza KWA mchakato wa katiba mpya ni Nuru KUBWA kwetu!changamoto za kimfumo zinaenda kufa na Tanzania Mpya inaenda zaliwa rasmi! Niwaombe wadau wawape ushirikiano wa kutosha kikosi kazi cha mkandala Ili mchakato ukamilike...
  20. JamiiForums Tanzania Maoni kuhusu Katiba mpya ya Jakaya Kikwete, kwanini hayajawa ya uwazi kama ya Jaji Othman Chande?

    Jakaya Kikwete alikuwa kiongozi wa waangalizi, kwa upande huu wa Afrika Mashariki, Katika uchaguzi mkuu, uliomazika hivi Katibuni nchini Kenya. Tulimsikia pia Rais huyo mstaafu, akiwasihi viongozi wawili wakuu, waliochuana vikali Katika uchaguzi huo, William Ruto na Raila Odinga, waliokabana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…