katiba mpya tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Mkumbo: Mchakato wa Katiba Mpya utaendelezwa ulipoishia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo katika Mkutano wa Tume ya Taifa ya Mipango na Waandishi wa Hanari kuhusu Maelezo ya Utekelezaji wa DIRA2050, Ikulu Dar es Salaam 31 Mei, 2025 amesema; "Ndio maana umeona kwenye dira, kwenye mpango mrefu, na hata kwenye...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mnyika: Barua ya Msajili ni Hila za Kuizuia CHADEMA, Tuendelee na Ajenda ya Katiba Mpya! Free Lissu! Mpaka kieleweke!

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, leo Mei 16, 2026 akiwa Katoro amesema; "Niseme mambo machache mawili tu. Moja, niseme ni kweli tumeandikiwa barua hiyo na msajili wa vyama. Ni mwendelezo wa hila za kutaka kuizuia Chadema kuendelea kuwaunganisha Watanzania...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Katiba Mpya inahitaji utulivu, tusiandike Katiba ya hasira, iundwe kamati kusikiliza maoni ya wananchi

    Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema ni maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo mwaka 2028 ili iweze kutumika katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa mwaka 2029 pamoja na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030. "Maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane...
  4. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya Tanzania: Mchakato wa kumpata mgombea mwenza uwe sawa na wa Rais

    Kitendo cha mgombea urais kuchagua mgombea mwenza (finger picking) kinaleta Makamu wa Rais dhaifu, ambaye Rais anapofariki makamu anapokuja anapwaya na kushindwa kuendeleza dira ya taifa. Katiba Mpya ya Tanzania inapaswa kuweka mchakato wa kumtafuta Mgombea Mwenza sawa na ule wa kumtafuta...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais Chama cha MAKINI: Mkinichagua ndani ya siku 100 za kwanza nitafanya mabadiliko kidogo ya katiba ya Tanzania

    Serikali ninayokwenda kuiunda nitaunda serikali ya umoja ya kitaifa ambapo ahadi yangu kwa Tanzania baada ya kuchagua kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ndani ya siku 100 za kwanza nitafanya mabadiliko kidogo ya katiba yetu ya Jamuhuri ya Muungano Tanzania ili tu iweze kutambua...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais wa NCCR-Mageuzi, Haji Ambar Khamis aahidi Katiba mpya ndani ya siku 100

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama NCCR- Mageuzi, Haji Ambar Khamis akiwa ameambatana na Mgombea mwenza, Everylin Munisi, amechukua fomu ya Urais katika Tume Huru ya Uchaguzi Jijini Dodoma leo August 15, 2025 huku akiahidi kuwa endapo Watanzania watamchagua kuwa Rais atahakikisha...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Chalamila: Kubadili Katiba Miezi mitatu kabla ya Uchaguzi Mkuu, Haiwezekani

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa mchakato wa kupata katiba mpya si jambo jepesi hususan kwa kipindi cha miezi mitatu iliyobakia kuelekea uchaguzi mkuu. "Si jambo jepesi Asubuhi ukaamka Katiba ikawa imebadilika" "Miezi mitatu hii ambayo tumeibakisha mkakaa na majopo...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maggid Mjengwa: Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka Katiba, hii sio ajenda ya mwananchi

    Wakuu! Hivi mnamwelewa Maggid Mjengwa kwa tafakari za kisiasa? 🤔 Maggid anasahau kuwa Katiba ndiyo chombo cha kuuongoza mfumo. === Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa "Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa...
  9. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Wazo la siku: Katiba bora ni nzuri, lakini vizuri zaidi ni uadilifu wa wasimamizi wa Katiba hiyo

    Katiba Bora ni kitu muhimu, hilo halina mjadala na ubishi. Lakini mwisho wa siku kama wanaoisimamia hiyo 'Katiba Bora' ni wezi, wachumia matumbo, majitu yenye ubinafsi uliokithiri na wasiokuwa na uzalendo; basi Katiba bora yo yote huwa ni bure ghali. Rais Magufuli, Rais wa tano wa Tanzania...
  10. UHURUWANGU

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No reform No election: sasa ni wakati wa kusimama imara

    Kwa miaka mingi, Watanzania tumeendelea kushuhudia mfumo wa uchaguzi usio wa haki, usio na usawa, na usioakisi matakwa halisi ya wananchi. Tumeshuhudia jinsi mchakato wa uchaguzi unavyotawaliwa na sheria kandamizi, tume zisizo huru, na matumizi mabaya ya vyombo vya dola. Matokeo yake ni kupungua...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mdude Nyagali: Lissu alipona ili atusaidie kupata Katiba mpya

    Mwaharakati wa Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mdude Nyagali amemwambia Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kama asingekuea mpigania haki basi asingeweza kumuunga mkono. Mdude ameyasema hayo Februari 16, aliposhiriki ibada ya misa maalum ya kumuombea Lissu iliyofanyika kijijini kwao Mahambe...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Oscar Oscar: Tunao muda wakupata Sheria mpya za Uchaguzi kabla ya Oktoba, upelekwe mswada wa dharula

    Wakuu Wimbo wanaoimba CHADEMA hivi sasa ni "No Reform, No Election", wakishinikiza mabadiliko ya Katiba pamoja na Sheria za Uchaguzi kabla ya Oktoba 2025, hoja ambayo CCM wanaipiga dana dana. Soma: Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia...
  13. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira mbona hana utulivu wa akili? Ni kama amedata hivi na kauli ya "No Reform, No Election".

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia. Soma, Pia: Lissu amjibu Wasira kuhusu Katiba Mpya...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 imechelewa

    Unaweza ukawa ni mvutano mpya kuhusu Katiba kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Stephen Wasira, kusema kuwa hoja ya kutaka mabadiliko ya Katiba kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 imechelewa. Wasira ametoa...
  15. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Umma baada ya miaka 15 ijayo ndiyo itakayoleta Katiba Mpya Tanzania, na si CCM

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Kudai katiba mpya kwa CCM au wanasiasa ni sawa na kudai uhuru kutoka kwa "mkoloni" kwa sababu ya ubinafsi (egoism). Katiba ndio injini ya nchi yoyote ile duniani. Watanzania ni kama mgonjwa wa akili tu! Ambaye anamini kuwa katiba mpya italetwa na CCM au...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kutegemea Katiba Mpya bora chini ya CCM iliyoko madarakani ni sawa na kusema Yanga wasimamie kutungwa sheria mpya za Ligi Kuu baada ya kuwa mabingwa!

    Tusijidanganye. CCM hawana nia ya kuona Tanzania inapata Katiba mpya inayotoa fursa bora katika utawala wa sheria nchini na ushindani sawa wa vyama vya siasa. Hilo halitakuja kutokea hata siku moja. Kutegemea hilo litatokea ni sawa tu na mashabiki na timu zao za Simba, Azam, Kagera, Mtibwa nk...
  17. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mjadala wa wazi Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya

    Karibu kufatilia Mjadala wa Wazi kuhusu Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania, mjadala huu umeandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanzania Bara (TLS). RECORDED 📺 (22/06/2024 - Dodoma)👇🏼 https://www.youtube.com/live/9cpdC61xmgA?si=lcM2ol5EL11NRUhv RECORDED 🎥 (15/06/2024 - Dar Es Salaam)👇...
  18. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania TLS waendesha Mjadala wa Wazi Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania

    Fatilia mjadala wa wazi wa wadau uliyo andaliwa na chama cha wanasheria Tanzania bara (TLS) kuhusu mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya Tanzania. Je, ni lini katiba mpya itapatikana Tanzania?. RECORED🎥 (01/06/2024)👇 https://www.youtube.com/live/1mqjtzRdvN4?si=r9LuZeIFoyzjlD-d RECORDED 🎥...
  19. President of China

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa kuandika katiba mpya Tanzania katika Jukwaa la Katiba ya Watu, uliojadiliwa na wadau 553

    Mapitio ya Awali: Katiba ni waraka muhimu katika kusimamia utawala na kuelekeza maendeleo ya nchi. Tanzania, kama nchi nyingine, imekutana na mjadala wa kuandika katiba mpya, na hoja mbalimbali zimejitokeza kutoka kwa wadau wa mchakato huo. Taarifa hii inatoa tathmini ya kitaalam juu ya mjadala...
  20. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora: Msingi wa Mchakato wa Katiba Mpya Tanzania kwa Maslahi ya Umma

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA: MSINGI WA MCHAKATO WA KATIBA MPYA TANZANIA KWA MASLAHI YA UMMA Utangulizi Katiba ni waraka muhimu unaounda misingi ya utawala na uongozi wa nchi. Mchakato wa kuandika Katiba Mpya unapaswa kujumuisha uwajibikaji na utawala bora ili kuhakikisha maono ya taifa...
Back
Top Bottom