Tumeuza visiwa, tukauza gesi, tukauza madini na sasa bandari; je, hii Katiba mpya inakuja kusimamia nini au kutusimamia tusipingane na wanunuzi?
Tunaposema Katiba mpya huku tukiwa tunaingia mikataba ya kuuza rasilimali zetu, means Katiba haitasema jambo na ikisema jambo halitatekelezeka.
Wadau ukweli toka CHADEMA na CCM wawe kwenye MARIDHIANO na CCM lile WIMBI la KUDAI KATIBA MPYA LIMEPUNGUA SANA na hata MCHAKATO ulioelezwa na WAZIRI wa SHERIA na KATIBA haujaanza. Pia Mh.RAIS alidai Wajumbe Watateuliwa lakini mpaka leo KIMYA.
Nawashauri VIONGOZI wa CHADEMA kuna Uwezekano mkubwa...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA mh Tundu Antipas Lissu amesema yeye kugombea Urais wa JMT ni hadi ipatikane Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.
Kimsingi CHADEMA tutaonekana Watu wa ajabu sana kama tutashiriki Uchaguzi mkuu wa 2025 kwa Katiba hii na Tume hii ya Uchaguzi amesema Lissu.
Lissu...
Kumekuwepo na Upotoshaji juu ya Madai ya Waislam Juu ya kipengere Cha dini katika Sensa
Kwanza kabisa Serikali ya CCM ndio wanaoleta Udini Katika Nchi na Kuwagawa Watanzania:
1. Mtu anapo kamatwa anaulizwa dini wakati polisi na serikali hawana dini. Hapa haki haiwezi kutendeka hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.