kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati watanzania wafanyakazi wanaofilisi makampuni sekta binafsi

    Nimeona hili suala mtaani twitter na nimseoma comments zinasema ni MBET, nimesikitika sana, yani wafanyakazi wanaibia kampuni mpaka mtu anafunga kampuni na kuondoka? Nikikumbuka hivi ndivyo imalaseko, nakumatt na game na shoprite ilivyofunga, ukiwauliza wengi wanasema hawaoni faida ila bidhaa...
  2. JamiiForums Tanzania Mama wa madege-vita yote b-2 kwa sasa wako diego-garcia tayari kwa kazi maalum huko mashariki ya kati

    Ndege-vita sita aina ya B2 kwa sasa zimo kwenye kisiwa cha Diego Garcia. Zikisubiri tu maelekezo.!!!!
  3. JamiiForums Tanzania Ndege-vita b-1 lancer strategic bomber ikielekea mashariki ya kati tayari kwa kazi maalum!!

    B-1 Ndege-Vita ya Kimkakati kutoka Marekani nayo inaelekea huko Mashariki ya kati ili kuungana na Baba wa madege yote B-52 watakuwa huko Mashariki ya kati kusubiri kupangiwa kazi ya kufanya Katika eneo hilo!!! Safari hii kuna jibu lazima lipigwe!!!!
  4. JamiiForums Tanzania Vita ya Kibiashara kati ya Marekani na Uchina na Athari Zake kwa Tanzania na Afrika

    SOMA: Markets mixed as investors brace for Trump tariffs Vita ya kibiashara kati ya Marekani na Uchina imekuwa gumzo kubwa kwenye anga za uchumi wa kimataifa tangu mwaka 2018. Rais wa wakati huo wa Marekani, Donald Trump, alianza kuweka ushuru mkubwa kwa bidhaa zinazotoka Uchina, hatua...
  5. JamiiForums Tanzania Hili ndilo limethibitisha kati ya Simba na yanga nani mkubwa

  6. JamiiForums Tanzania Wapi wanaongoza kwa ulozi kati ya Tabora, Kilimanjaro, Tanga, Katavi na Lindi?

    Haya maeneo yanasemwa sana kwa sayansi ya gizani aka ulozi aka ndumba aka mambo ya busara. Hivi hapa kwa kuwa-rank unafikiri nani watakuwa vinara zaidi ya wenzao? Je kuna waliosahaulika hapo?
  7. JamiiForums Tanzania Kilio cha Wananchi: Hatari ya Malori Mazito zaidi ya tani 40 kuingia kati kati ya Mji wa Moshi, Kilimanjaro

    Katika mji wa Moshi, kumekuwa na hali inayotia wasiwasi kutokana na kuingia kwa malori mazito yenye uzito wa zaidi ya tani 10 hadi 40 katikati ya manispaa. Hali hii imesababisha uharibifu mkubwa wa barabara na miundo mbinu ya maji taka, ambapo mji umejaa mashimo na hali mbaya ya miundombinu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania BOT acheni majibu ya kisiasa kwa Watanzania; kuna tofauti kati ya uchumi kukua na shilingi kuporomoka, na vyote vinaweza kutokea kwa wakati mmoja

    BOT wamejibu tuhuma kwamba shilingi ya Tanzania imekuwa ikiporomoka kwa kasi ambayo inaifanya mbaya kuliko nchi zote duniani. Sasa BOT wamekuja na majbu kama vile yameandaliwa kutoka makao makuu ya chama tawala na sio wachumi wanaojisifia kuwa na degree za first class za Economics. Jibu la BOT...
  9. JamiiForums Tanzania Kati ya mhitimu wa VETA na mhitimu ya kitivo cha Uhandisi utamwajiri yupi?

    Naenda maonyesho ya sabasaba kila mwaka, huwa napitia mabanda ya VETA, SIDO na Kitivo cha UHANDISI UDSM kote nakutana TU na mashine za kufyatua matofali zenye ingini kutoka China, ninashindwa kutofautisha viwango vya ujuzi kati ya taasisi hizi tatu. Je, ni mhitimu yupi Bora kati ya wanafunzi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa kuwepo kwa A-LEVEL na vyuo vya kati kwa wakati mmoja .

    Serikali ingeliboresha sera ya elimu kufuta A-level na kuacha vyuo vya kati . Sioni kama kuna umhimu wa kwenda kidato cha tano na sita ikiwa kuna vyuo vya kati Ambapo moja kwa moja student anaenda kupata ujuzi kuliko kwenda advance kusoma notice na practical za mchongo za kupasua vyura siku 10...
  11. JamiiForums Tanzania Kati ya bati za ALAF na ANDO zipi ni bora kuliko nyingine?

    Wataaalam wa uezekaji mnaweza kutusaidia Kwa hili. Na vigezo vya ubora ni vipi? Jee Gauge 28(Geji 28) ya Ando ndiyo geji hiyo hiyo Kwa ALAF. Yani kipimo cha geji ni kimoja kwa mabati yote? Kama kipimo cha geji kwa mabati yote ni kimoja, Sasa nini kinacholeta utofauti kwenye mabati toka kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Ni vizuri mfuko wa cement ukawa kati ya sh elfu 3000 mpaka 5000

    Bei ya mfuko wa cement ya sasa iko juu sana ni vizuri mfuko wa cement ukawa kati ya sh 3000 mpaka 5000 hii itapelekea ujenzi wa nyumba kuwa mrahisi na kujenga nyumba zenye ubora kuwa ni jambo la kawaida Wako watakaosema haiwezekani ila inawezekana vizuri tu kama nia ikiwepo
  13. JamiiForums Tanzania Kati ya Oven na Air fryer kipi ni bora?

    Wakuu ninaomba kwa wenye utaalamu wa hivi vitu wanijulishe nataka kifaa cha kuchomea nyama kipi ni bora kati ya hivyo hapo juu? Kwaajili ya matumizi yangu binafsi ya nyumbani.
  14. JamiiForums Tanzania Jifunze utofauti uliopo kati ya Coin vs Token kwenye Cryptocurrency

    Habari wana JF, ni mda sasa sijapost kitu kuhusu blockchain and cryptocurrency ila leo nikapata idea nikaona nilete uzi mwingine unaoelezea kuhusu blockchain and cryptocurrency. Huenda ukawa unaijua au ushawahi isikia au unaifahamu ila bado kuna vitu vinakuchanganya unashindwa kuvielewa basi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ubabe wa Marekani wasababisha uhusiano kati yake na Afrika Kusini kuzorota

    Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Marekani na Afrika Kusini umekuwa ukizorota baada ya rais Donald Trump kusitisha msaada kwa nchi hiyo, akielezea kutoridhika na serikali ya Afrika Kusini kupitisha sheria mpya kuhusu ardhi, na hivi majuzi tu, Marekani ilimfukuza Balozi wa Afrika Kusini nchini...
  16. JamiiForums Tanzania Kati ya mwanamke na mwanaume, nani huathirika zaidi ikitokea ndoa imevunjika?

    Kati ya mwanaume na mwanamke, nani hupitia maisha ya tabu zaidi ndoa inapovunjika? tukitazama hali halisi ya maisha ya Watanzania, ukweli unauma: wanawake wengi wanakosa uhuru wa kiuchumi! Mwanamke wa Kitanzania analelewa kuamini kuwa mwanaume ndiye "mkombozi wake" kifedha. Matokeo yake...
  17. JamiiForums Tanzania Ni PC gani nzuri kati ya hizi mbili? HP spectre 2 in 1 au Lenovo Yoga 2 in 1

    Ni PC gani nzuri zaidi kati ya hizi mbili?
  18. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuingia itikadi ya msimamo mkali Mashariki ya Kati ilikuwa huba ya kisomo, uvumbuzi na utulivu

    Kabla ya wengi wa vijana wa kiarabu na kiajemi kurubuniwa ufahamu wao na mindset zao kuwa engineered katika fujo, force na chaos while kutupilia mbali utu na teknolojia, mahala pale palikuwa penye utulivu na intelect ya kutosha. Pafyumu Kinu cha kusindika miwa Incense Burners Vifaa na elimu ya...
  19. JamiiForums Tanzania Hakuna mtu anayejua kifanyike nini ili Mashariki ya Kati kutulie?

    Nimejaribu kusoma na kufuatilia habari mbali mbali za Mashariki ya Kati naona kama ulimwengu mzima upo gizani bila ya kujua nini hasa kifanyike ili Mashariki ya Kati kutulie. Jee Dunia nzima hatujui nini kifanyike ili watu wa Mashariki ya kati waishi kwa amani?
  20. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano upi kati ya wakulya na biashara ya nyama ( Butcher)?

    Wakuu mtakuwa mashahidi kuanzia huko Daslam hadi huku mikoani kwenye biashara ya nyama au mabucha mengi wenye nayo ni wakurya. Leo nimeamua kuhitimisha research yangu katika mji mdogo wa Kakola ikiwa ndo senta kubwa ukanda huu wa kahama kaskazini kwani imezungukwa na migodi mingi midogo midogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…