kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho msingi wa mabishano kati ya Godbless Lema na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuhusu bei ya hizi ndege

    Nimeshindwa kuweka link ya bei za ndege hizi kutoka kiwandani. Bei ya kiwandani huko USA zinakotengenezwa ni USD 1.7 million. Tatizo letu ni kununua kwa middle men kwa njia ya kushindanisha middle men kwenye tender badala ya kununua direct kutoka kiwandani. Hivyo middle man anainunua kwa US...
  2. JamiiForums Tanzania Nichukue simu ipi kati ya hizi

    Redmi 13C. Redmi 14C Aquos sense 7 plus (used) Natanguliza shukrani🙏🙏🙏
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia kataa hizi aibu, Ripoti ya Uchunguzi: Hitilafu na Utofauti Kati ya Matokeo ya Wilaya/Mikoa na Tangazo la Kitaifa la CCM, Mkutano wa Mtandaoni

    “Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.” Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
  4. JamiiForums Tanzania Mzozo wa Mpaka Kati ya Thailand na Cambodia Uendelea kwa Siku ya Tatu

    Mzozo wa mpaka kati ya Thailand na Cambodia umeingia siku ya tatu, huku pande zote mbili zikiendelea kurushiana risasi na silaha za moto. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa wito wa kwanchi hizo kujizuia kulipa mashumbulizi. Cambodia imeitaka Thailand “kusitisha mapigano mara moja”...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi yupi ni shangazi kati ya dada yake baba au mke wa mjomba

    Wataalamu wa lugha tuelimishane kidogo yupi hapo ni shangazi na kwanini maana hawa watu wawili huwa wananichanganya
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mzee Butiku, Mzee Warioba vs Mzee Kikwete, nani mshauri mzuri?

    Salaam! Hata kiumri tu, ukimchukua Mzee Warioba, Butiku na Mzee Kikwete, nani Mzee anayeweza kumshauri vyema kiongozi wetu? Kimamlaka, Mzee Kikwete sababu ni Rais mstaafu anakuwa mtu muhimu kuliko wale wazee wengine wawili Butiku na Mzee Warioba, Sasa Katika mchakato wa kumpitisha mgombea...
  7. JamiiForums Tanzania Je kuna utofauti gani kati ya adui na mpinzani ?.

    Je kuna utofauti gani kati ya adui na mpinzani ?. Adui- huyu yeye hawezi Ku-expose mipango yake katika kadamnasi Mpinzani - huyu anakupinga waziwazi kwa kukuonesha kuwa hiki sio au Ana-ku outshine . Kosa alilofanya JPM naona limejirudia tena . Jpm ali offend the wrong enemy , Alimshambulia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Taifa limepasuka kati ya uovu na uwema, kati ya haki na dhuruma, kati ya ukweli na uongo. Tujitafakari

    Kwa hali iliyop sasa Taifa linapitia kipindi kigumu sana kuna mgongano wa fikra na vitendo kati ya wanaotetea uovu waziwazi na wale wanaopinga uovu. Katiba hazifanyi kazi, watu wanaumizwa, mbinu za kuendeleza uivu zinapangwa na kutekelezwa kilichobaki wananchi watoe maamuzi yao vinginevyo nchi...
  9. JamiiForums Tanzania Kati ya haier na hisense ipi bora?

    Kwa wataalamu wa au waliotumia hizi TV 2 naomba ushauri kati ya haier na hisense TV gani nzuri na mara. Nilikua na samsung imekufa sasa huku kwa samsung naona parefu sana. nimeshuka hapa kati kabla sijafika huko chini kwa wachina kina vitron na kina Alitop. Msaada wakuu.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Sekta ya madini kuipeleka Tanzania uchumi wa kati juu 2050 wenye Pato la TZS50,000 Kwa kila Mtu kwa siku.

    Mojawapo ya sekta zilizochaguliwa kupewa kipaumbele na Dira2050 ya maendeleo katika kuleta mageuzi kiuchumi ifikapo 2050 ni sekta ya madini ambayo kwa kipindi cha miaka kumi (2014-2024) imekuwa ikikua kwa wastani wa 9% mpaka 10% ambapo jumla ya mchango wake katika pato la taifa kwa kipindi cha...
  11. C

    JamiiForums Tanzania PPP kuifikisha Tanzania uchumi wa kati wa juu 2050

    Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili, Miongoni mwa vichocheo vinavyoweza kuharakisha...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa sasa wa ndugu kuona wagonjwa wao katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro sio mzuri

    Utaratibu ulowekwa sasa wa ndugu kuona wagonjwa Hospitali ya Morogoro sio mzuri kiasi kwanza huleta ugomvi wa mara kwa mara kati ya walinzi na ndugu wa wagonjwa. Pia kutoa mwaya wa upendeleo kwa wale wenye kujuana na walinzi Hao kuweza kuona wagonjwa wao kwa uhuru kuliko wale wasiojuana nao...
  13. JamiiForums Tanzania Mmoja kati ya hawa ni mwanasiasa mkongwe hapa Tanzania. Umemtambua?

    Wakuu, Kwani hii nayo inahitaji D mbili? Kwa sasa huyu ndo anatetemesha nchi. Chawa wakisikia jina lake wanakimbilia uvunguni.
  14. JamiiForums Tanzania Anayejiita Geoffrey Kiliba, Rais wa TAHLISO, sio mwanafunzi wa Chuo Kikuu au cha Kati chochote

    Haka kajamaa tumegundua sio kanafunzi ka Chuo chochote Tanzania, Sio Kwa Vyuo vya TCU, Wala NACTEVET !. Kwa Mujibu wa Miongozo ,Kanuni, Sheria Katiba zinazoongoza TAHLISO , ni umoja ambao haufungamani na Chama chochote Cha kisiasa . Huyu Pimbi, alipoanza kujitokeza, alianza kama Genge la...
  15. JamiiForums Tanzania RECORD MAJAJI WANAWAKE: Kati ya majaji 83 aliowateua Rais Samia tangu aingie madarakani mwaka 2021 Asilimia 41% au 35 ni wanawake ilikufikia 50|50

    Katika azma ya kuifanya Tanzania kinara wa kupunguza pengo la uwiano wa kijinsia kuelekea dira 2050, Rais Smia ameteua ya Majaji 35 wanawake 41%. Uwiano wa kijinsia ni moja ya shabaha ya msingi inayopewa kipaumbele mahususi na Dira2050 ambapo Tanzania inalenga kuwa kinara barani Afrika na...
  16. JamiiForums Tanzania JWTZ Yapata kazi ya kujenga madaraja Afrika ya Kati

    Pongezi nyingi kwao. Hii ni taarifa kupitia Milard Ayo ambapo Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania JWTZ wamepata tenda ya kujenga madaraji nchini Afrika ya Kati. ============== Umoja wa Mataifa kupitia Ujumbe wa Kulinda Amani Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA), umelipatia Jeshi la...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Kati ya diploma ya medical laboratory na radiology ipi Bora ?

    Habari za muda huu wakuu, Naomba mnisaidie kujibu swali tajwa hapo juu, ipi ni kozi nzuri kusoma Kati ya hizo kwenye nyanja ya kuajiriwa pamoja na kuajiriwa. Japo lengo langu kubwa ni kujiajiri. Karibuni kwa michango yenu
  18. JamiiForums Tanzania Kumbe kule gizani kulikuwa na giza lingine bila wao kujua sasa ni Mtu kati lazma akubali na kuna lingine zito zaidi linakuja vipi Mtoto wa mjini?

    Wakuu things are cottonfire the ground is hot,tutarajie something worst as soon as possible. siyo yeye tu anayetetemeka kwa presha na hasira kali habari ni kwamba ile press ya Slow Slow ni cha mtoto kuna mtu mzito anataka kuachia bomu na hapatakalika tena. unaambiwa hadi yule mtoto wa mjini...
  19. JamiiForums Tanzania Godoro gani ni zuri na linadumu kati ya haya? Nashindwa kuchagua

    Bomba-8inch-250k Super bango-8inch-220k Arusha delux-8inch-230k Arusha delux-8inch-180k Hizi brand ni mpya inaniwea ngumu kuzijua vizuri
  20. E

    JamiiForums Tanzania Tofauti gani kati bachelor of computer science na bachelor of science in computer science in software softwere engineering?

    Mimi nimwajiriwa Nina stashahada ya Ualimu (physics & mathematics) nataka kwenda kusoma mwaka huu course ya TEHAMA, Wakuu naomba kujua utofauti wa course ya bachelor in computer science Na Bachelor of science in computer science in software engineering
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…