kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, hatuhitaji kurudisha utaratibu wa Rais kuhutubia Taifa kila Mwezi? Muunganiko Kati ya Serikali Kuu na Wananchi Umekatika

    Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia pengo linalozidi kupanuka kati ya Serikali Kuu na wananchi wa kawaida. Pengo hili halijatokea kwa bahati mbaya—limejengwa taratibu kutokana na kukosekana kwa majukwaa ya wazi ambayo yanamwezesha kiongozi mkuu wa nchi kuwasiliana moja kwa moja na watu...
  2. T

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu Nchemba kawekwa kati na wahariri wa habari

    Leo ni leo Mwigulu kawekwa kati, maswali ni magumu, majibu anayotoa mepesi sana https://www.youtube.com/live/jKByXFRcJSo?si=FLTCutk2j9D9tsz0
  3. JamiiForums Tanzania Genge la wahuni ni lipi kati yetu na wao?

    Wanaiba mali za umma, wanauza hovyo rasilimali za taifa. Hawataki tuwaambie ukweli kwamba hii nchi ndiyo kwetu. Mukiitapanya leo tutaishi wapi kesho? Watoto wetu, wajukuu na vitukuu na vizazi vijavyo, wataishije kesho kama hamzingatii leo yetu? Tukiwaambia hawatusikilizi. Wanatuteka...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Angalia hii then unitofautishie kati ya Idd Amin Dada na deshi deshi. My self I can't tell

    Angalia hii then unitofautishie kati ya Idd Amin Dada na deshi deshi. My self I can't tell. Kulingana na kinachoendelea https://youtube.com/shorts/I37o60xwIYE?si=tIJ8dUV13hfkSZ_h
  5. JamiiForums Tanzania Jimboni kwa Aweso: KIGURUSIMBA Kuna vita kati ya wafugaji na wakulima

    Mwenye taarifa nzuri ya Nini kinaendelea Tanga-kigurusimba, jimboni kwa Aweso atujuze. Nimepata taarifa tangu Jana usiku Kuna mapigano makali kati ya wafugaji na wakulima. Vita ya mikuki, mapanga na mishale. Taarifa zinasema Ofisi ya mtendaji na mwenyekiti imefungwa na vijana wenye hasira kali...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna tofauti kati ya Uislam na Sheikh

    Mashehe wengi walivutiwa sana na Utekaji,uuaji,kupotezwa,unyimwaji wa haki kwa wapinzani,uchaguzi feki na ufisadi. Mashehe hua hawapingi mambo hayo niliyoyataja hapo juu. Kila aliyepinga mambo hayo huyo alikua amekwishatangaza vita na mashehe. Sio Siri Polepole katekwa,Ali Kibao kauwawa,Mdude...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya mambo viongozi wa Dini mnahitaji kupuuzwa na kudharauliwa, ni uchonganishi wenu wa kidini

    Nyinyi mmekuwa sababu ya nchi nyingi balani Africa kukosa Amani kwa uchochezi wenu na kuingiza waumini wenu kwenye vita vya kidini huku nyinyi mkiendelea kuishi kwa raha na kwa Amani tele na familia zenu Kwa Tanzania mtasubili sana kwa uchonganishi wenu Tutawapuuza na tumewapuuza Hamuwezi...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bashiru Ally: Maridhiano sio kati ya serikali na vyama vya siasa bali wananchi wenyewe

    Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally, amesema kuwa dhana ya maridhiano ya kweli haiwezi kujengwa juu ya makubaliano ya kisiasa pekee, bali lazima iyatokane na wananchi kama msingi wa mamlaka ya nchi...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kati ya Rais Samia na Gen Z nani anapaswaye kuomba au kutoa msamaha?

    Tuwe serious kidogo. Juzi, nilimsikia Rais Samia akijifanya Mungu na kutoa msamaha huku akikariri maneno ya kejeli kuwa tuwasamehe kwa vile hawajui watendalo. Nani hajui atendalo kati yake na wahanga wake yaani Gen Z? Nani anapaswa kuomba na kutoa msamaha kati ya wawili hawa. Nani...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Msilaumu sana tofautisha kati ya PhD, MA/ Msc etc na Madrasa awards

    Nimesoma watu wanalalamika na kauli za Bakwata kuhusu mauaji yaliyotokea kwenye màndàmano. Wanalaumiwa sana kwa kutosema ukweli, hasa baada ya waraka wa TEC leo. But wanasahau kuwa haya makundi ya dini ni diametrically opposed in thinking ability. Naishia hapa
  11. JamiiForums Tanzania Mnaojua kusoma Body language leo mama alikuwa kati hali gani?

    Mtuekeze nyie mnaojua kusama lugha ya mwili. Huyu mama alikuwa katika hali gani?
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA na taasisi za kiislamu zampongeza Rais Samia kwa kushinda Uchaguzi, walaani vurugu

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Zungu: Sisi kama Bunge tunapaswa kuangalia maslahi ya wananchi kwanza na sio ya sisi wabunge

    Mgombea Uspika, Musa Azzan Zungu amesema hakuna ugomvi kati ya bunge na serikali au mahakama, isipokuwa lengo ni kufanya kazi kwa maslahi ya wananchi akijibu swali kuhusu Bunge kutetea wananchi. Ameyasema hayo awali leo Bungeni Novemba 11, 2025.
  14. JamiiForums Tanzania Hivi maridhiano yatakuwa kati ya nani na nani?

    1. Je kati ya serikali bandia vs wananchi? 2. Kati ya serikali na waliouliwa ndugu zao? 3. Je kati ya serikali na ndugu wa waliotekwa ? Ikumbukwe ile massacre wakati na baada ya uchaguz; 1. Wameuawa wapinzani 2. Wameuawa wana ccm 3. Wameuawa waandishi 4. Wameuawa in mass raia wa kawaida, 5...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kati huyu Mama anaekula na kusaza, na Mtanzania anaekula mlo mmoja kwa siku, nani mwenye amani kwa sasa?

    Hili ndio swali langu kumuhusu yule Mama wa Magogono anaeishi kwa kodi zetu. Mpaka hapo uzii umekamilika kwani kila kitu kinajulikana. Nyongeza: Kama anaumizwa na matusi, hizo picha kweli hazimuumizi? Majibu tafadhali.
  16. JamiiForums Tanzania Vita kati ya Utu na VITU

    Hamjambo! 1. Ni wazi vita imekolea kwa kiwango cha juu kabisa 2. Propaganda za tafuta pesa zilishamiri huku watu wakifikiri pesa ndio utu wa mwanadamu. 3. Sisi watibeli Pesa ni karatasi tuu. Yaani kuwa kwako na pesa hakutufanyi tukuone wa maana kuliko watu wengine. 4. Propaganda ya tafuta...
  17. JamiiForums Tanzania Hata mkoloni hakuondolewa kwa mtutu, bali Gen Z, Mbegu ya Ujasiri: Last Man Standing Kati ya Nyota za Mashahidi

    Tulikua vitani, tukipigania uhuru kwa amani. Rafiki zangu waliuawa kikatili na askari. Mikononi mwao hawakubeba hata jiwe la kupigania, lakini walipigwa risasi viunoni, vifuani, na hata kichwani, ili kututisha, ili kutunyamazisha, ili kutuvunja moyo. Walio tangulia nawaombea mbele ya MUNGU...
  18. JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kati ya vyama 10 vikubwa duniani - Fahari ya Tanzania na Afrika; Je, mnalijua hili?

    UTANGULIZI Je, unajua kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa vyama vya kisiasa vikubwa duniani? Wengi hawajui, lakini Chama cha Mapinduzi (CCM) chama tawala cha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni miongoni mwa vyama vikubwa zaidi duniani kwa idadi ya wanachama. Hii ni heshima kubwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kauli kinzani kati ya Rais na Mwanasheria Mkuu kuhusu waandamanaji

    Rais : Wandamanaji walikuwa raia wa kigeni. Mwanasheria Mkuu wa Serikali : Mange Kimambi ndo aliwachochea Watanzania mpaka wakaingia barabarani kuandamana. Sasa kati ya hawa tumuamini yupi?
  20. JamiiForums Tanzania Kati ya watawala na wale waandamanaji ni nani mwenye mapenzi na Tanzania?

    Nikinukuu maneno ya Rais, kuwa "vurugu na uvunjifu wa amani huishia kupimana nguvu na uwezo wa kujihami, ila mazungumzo huzaa mshikamano. Sasa tuchague lenye manufaa kwetu, kwani usalama wa Taifa lolote hulindwa na wote kwa nguvu zote na gharama zozote" Niongezee kwa lugha ya sasa, kwa wivu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…