katambi

Garcinia indica, a plant in the mangosteen family (Clusiaceae), commonly known as kokum, is a fruit-bearing tree that has culinary, pharmaceutical, and industrial uses.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Katambi aulizwa swali la kuzuia mikutano ya kisiasa, ashindwa kulijibu kwa ufasaha ameishia kupaniki

    Mtangazaji anaulizwa kuhusu kifungu cha sheria kinachompa mamlaka: "Tunataka watupe tu kifungu kimoja tu ambacho kimekupa mamlaka ya kutoa tamko ulolitoa ukiwa bungeni, kifungu tu yaani ambacho...". Katambi anajibu kwa kusema kuwa suala hilo litashughulikiwa mahakamani: "Sasa hilo ndio kazi...
  2. JamiiForums Tanzania Katambi: Ukitaka kuandamana, katoe taarifa Polisi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amezungumzia utaratibu wa maandamano na mikusanyiko ya hadhara kwa mujibu wa Katiba na Sheria, ikiwemo wajibu wa kutoa taarifa kwa Kituo cha Polisi saa 48 kabla ya kuandamana. Akizungumza leo Julai 2, 2026, Jijini Dar es salaam, Katambi amesema...
  3. JamiiForums Tanzania Namlaumu sana John Heche maana ndo alituzalia huyu Katambi kwenye siasa,Wacha limpige bakora

    John Heche POPOTE ulipo ulaaniwe na Mungu Baba wa Mbinguni kwa kutizalia poyoyo kwenye siasa, Katambi wewe ndo ulilichoa Nafasi ya mwenyekiti Taifa Bavicha ona yanayo jili Sasa. Nyinyi wewe na Mbowe ndo mlililea Leo linatukungia chama cheti kisifanye siasa maana akili halina ni poyoyoyoooo
  4. JamiiForums Tanzania Hata CHADEMA wapo, kwani Katambi si wao? Hivi Dr Mashinji je? Yaani hata wao wanamapoyoyo wasitutishe bhana!

    Nikiona Katambi Mimi simwoni kama mwanaccm, kamwe huyu ni zao la mbowe, Najiuliza hata Dr Mashinji kweli au wakina lijualikali HAYA ni maproduct ya mbowe na heche.
  5. JamiiForums Tanzania Wakili Madereka Vs Waziri Katambi, utabaini serikalini Kuna poyoyo, na nje ya serikali Kuna smart brain Ina inaliza sana jamani

    Najua mpo mtakao sema aliyepo Ikulu vs aliyepo ukonga, Mimi Sina maana hiyo jamanI wenye smartphone nawaombeni mtafute maelezo ya wakili Madereka na KAULI za Katambi aise Ina umiza sana sana sana sana Yaani Waziri Katambi anavyotetea hoja dhidi makosa yake kisheria dhidi maagizo yake kwa IGP...
  6. JamiiForums Tanzania Katambi: Nchi jirani zinachochea machafuko ili tushuke kiuchumi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema baadhi ya nchi jirani zinachochea machafuko nchini kwa lengo la kudhoofisha uchumi wa Tanzania Vita ya kiuchumi ni kuchocheana nyie wenyewe mpigane bwana wakubwa waje kuchukua rasilimali." "Mimi msingi wangu uko sehemu moja nasimamia...
  7. JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki: Katambi na Vyama vya Siasa Kainerugaba na Vyombo vya habari. Tunaelekea wapi?

    Huku waziri aloteuliwa na Samia akifungia vyama vya Siasa, Mtoto wa Rais wa Uganda amefungia vyombo vya habari. Kisa mtangazaji wake alihoji kutata kujua kama Janeth Mke wa Museven amekufa huko Marekani au yupo hai. Mnamo Machi 21, 2026. Yoweri Museveni alisema kwaamba ana hofu kubwa juu ya...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Patrobas Katambi: Kitambulisho cha NIDA sio taarifa binafsi. Ni Public na ndio maana mnasheherekea Birthday

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema kutoa Kitambulisho cha Taifa (NIDA) unapotembelea nyumba ya kulala wageni hakumaanishi kuanika taarifa binafsi, kwani kitambulisho hicho si taarifa binafsi. Soma Pia: Waziri Katambi: Wamiliki wa Hoteli, AirBnB, Guest Houses na Lodge...
  9. JamiiForums Tanzania Kauli za Magufuli enzi za Corona, zililiponya Taifa kwa kututoa taharuki, TAARIFA za Mwigulu, na Katambi zinaleta taharuki dhidi ya usalama Taifa letu

    Moja ya kitu siwezi kukisaau ni KAULI za hayati Magufuli enzi za maradhi ya korona hakika zilizuia taharuki kubwa sana kwa wananchi, Wapo walio KAIDI ushauri wao na kwakweli waliondoka na korona kabisa hasa walio puuza kujifukiza uku wanavitambi vya wizi WA FEDHA za UMMA walisepeshwa. Si hizo...
  10. JamiiForums Tanzania Katambi: Nipo radhi kupoteza nafasi yangu lakini sitakuwa tayari kuona amani ya Taifa hili inavunjika

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema yupo tayari kupoteza nafasi yake ya uongozi endapo itahitajika, lakini hawezi kukubali kuona amani ya Tanzania ikivunjika. "Nipo radhi kupoteza nafasi yangu lakini sitakuwa tayari kuona amani ya Taifa hili inavunjika. Dhamana...
  11. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Waziri Katambi sasa kwenye ubora wake

    Wahenga wanasemaga kuwa hapa duniani ogopa Sana teknolojiia na serikali iliyo madarakani. Huu hapa chini ndiyo uhalisia wa MH Katambi.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Katambi na Madilu hawawezi kupigana wala watoto wao kuwapeleka front line, mtakufa nyinyi polisi na Jeiwii kapuku. Why die? Achana nao . Tenda HAKI

    Katambi wala Madilu kukitokea civil war among ourselves, hawa hawatakuwepo front line. Sana sana watawapeleka nyinyi polisi na JW kapuku mfe. Hivyo msiwasikilize hawa wauaji. Madilu anamuandaa mwanawe kuwa Rais, nyinyi wa kwenu kuwa boda boda, msikubali ujinga huu. Tutende haki na kila kitu...
  13. JamiiForums Tanzania Asante katambi kwa kupunguza vurugu za kisiasa nchini

    Mimi ni kijana amabye duka langu la simu mwaka jana lilivunjwa na kuibiwa na hata kupata hasara ya milion hamsini. Kelele za siasa zimeendelea kufanya hata sisi wafanya biashara kutokuweza kutulia na kuwa na amani kwa sababu ya harakati za kisiasa ambazo haziishi na kuturuhusu kufanya kazi na...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote

    Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katamb ameagiza Jeshi la Polisi kusitisha vibali vya mikutano ya siasa kwa kipindi kisichojulikana. Moto umekuwa mkali na uwanja umeinama kwa upande wa CCM hadi kuomba tena Msaada wa jeshi la polisi , ingawa wananchi tuliwaonya CCM kuwa vita hii ya...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri katambi ina maana mpaka waziri wako mkuu kutumia chama na swala la mwenge umesitisha si umejumuisha CCM nayo.

    Wana JF wenye kudadavua maana mambo ya serikali yanatumia CCM. Na yeye kauli zake kadai mpaka CCM.Kama tukiamua msumeno utumike kweli japo katiba sijui kama ni muelewa maana hata wajibu wa sheria na katiba za nchi sijui kama anaelewa. kuanzania sasa mwiguru na wengine wote CCM mshakatazwa kama...
  16. JamiiForums Tanzania Bwana Katambi, Kama CHADEMA inatishia Usalama wenu , Muifute , Yanini kunyima Haki CHAUMMA na ACT wazalendo??

    Bwana Katambi, Kama CHADEMA inatishia Usalama wenu , Muifute Yanini kunyima Haki CHAUMMA na ACT wazalendo?? Mkifute tu
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA Itisheni Maandamano haraka Iwezekanavyo, Acheni kukimbilia MAHAKAMA, Katambi kaingia 18 za US/ EU , tusonge na Maandamano !!

    Katambi anataka mkimbilie MAHAKAMA, Ku buy time ya Kupooza Maandamano. Sasa basi, kwakua DUNIANI kote Hali ni chafu ,kumechafuka. Zuio la Katambi Leo ni kutusogeza mbele, katipa Back Up ya maana !!. Heche wewe ni Lissu mdogo, shikilia hapo hapo. Sasa Dunia inajua Wamekua watu Oktoba 29...
  18. JamiiForums Tanzania Tungekuwa na mahakama huru, zingezuia katazo la mikutano ya mikutano ya hadhara kutoka Kwa Waziri Katambi

    Mikutano ya hadhara Kwa vyama vya siasa ni takwa la kikatiba sio hisani wala huruma Waziri au kiongozi yeyote kuzuiq mikutano ya vyama vya siasa ni kuwa kinyume cha katiba ya nchi Katambi anavunja katiba Kwa maslahi ya nani? Hatuwezi kuwa na viongozi wanaopinga na kuvunja katiba, Nadhani huu...
  19. JamiiForums Tanzania Siasa UNALIPa hizo Milioni 100 alizotenga Katambi wa CHADEMA kwa watakao ripoti taarifa kwake kazitoa wapi?

    Hizi ni fedha zake au za serikali? Kutoa taarifa za waarifu ni wajibu WA kila raia Ukiona. Hazitoki basi kaa kimnya yulozana
  20. JamiiForums Tanzania Katambi: Jeshi la Polisi haliteki bali linakamta

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema Serikali wala jeshi la polisi haliteki bali linakamata Serikali haiteki" bali "serikali inakamata mhalifu. Ikiwa mtu amekamatwa na vyombo vya dola, huo unaitwa ukamatwaji na si utekwaji. Soma Pia: Katambi: Tuwatie moyo askari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…