kasi

KASI (1430 AM, "News Talk 1430") is a radio station licensed to serve Ames, Iowa. The station is owned by iHeartMedia, Inc. and licensed to iHM Licenses, LLC. It airs a News/Talk radio format.The station was assigned the KASI call letters by the Federal Communications Commission.The transmitter and tower are located in northwest Ames. According to the Antenna Structure Registration database, the tower is 124.4 m (408 ft) tall.In January 2016 KASI applied for an FM translator to rebroadcast the AM signal at 94.1 MHz. That application has since been approved to KASI by the FCC as of February 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya njia ya mwendokasi

    Juzi kati mh mkuu wa mkoa wa Dar aliruhusu matumizi ya njia za mwendo kasi kwa zile barabara ambazo bado hazijaanza tumiwa na mabasi hayo.Ila cha kushangaza maeneo ya stesheni kumekuwa na sintofahamu kwa magari kukamatwa yanapopita njia hizo ambazo bado hazijaanza tumika. Naomba wahusika...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri: Napendekeza Mabasi ya Mwendokasi wafanye kazi saa 24

    Leo nimesafiri na bus usiku nikapata mawazo hivi kwanini mabus ya mwendokasi wasifanye huduma zao masaa 24
  3. JamiiForums Tanzania Kasi ya mauaji ya Wanajeshi NATO huko Ukraine yaistua Marekani

    Marekani imestuka baada kasi mauaji ya wanajeshi wa NATO huko Ukraine kuongezeka huku Russia akaikamata maeneo kwa spidi ya ngiri....hofu hiyo imefanya Blinken aropoke China iondoe wanajeshi North Korea Russia tuelekee studio.. Update: NATO backed Ukrainian forces and on the verge of total...
  4. JamiiForums Tanzania Dunia inakwenda kasi sana

    Nimekutana na hii picha inayoonesha barua kutoka kwa mtoto wa kike kwenda kwa mtoto wa kiume! Nimecheka sana! Ila ndo maisha tu.
  5. JamiiForums Tanzania Je mawaziri kufungua miradi isiyo ya sekta yao ni ubunifu au kasi ya awamu ya sita?

    Siku za karibuni kwa wafuatiliaji wa mambo ya ndani ya Nchi na Siasa za Bongo kumekuwa na kasumba ambayo haijazoeleka ya mawaziri kufungua au kukagua miradi isiyo ya sekta anayoisimamia. Ivi karibuni 1. Deo Ndejembi, Waziri wa Ardhi alionekana Msalala Kahama kwenye miradi ya shule iliyopo...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna Homa za Mafua Makali zinasambaa kwa Kasi Mitaani, Mamlaka mbona hazitoi taarifa kuhusu hili?

    Kumekuwa na ongezeko la homa kali za mafua zinazowakumba wananchi wengi katika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Wananchi wanaonekana kuwa na wasiwasi juu ya kasi ya kusambaa kwa ugonjwa huu, lakini wanahoji ukimya wa mamlaka husika kuhusu hatua zinazochukuliwa kukabiliana na hali hii. Je...
  7. JamiiForums Tanzania Bashungwa Ambana Mkandarasi Kasi Ndogo Ujenzi wa Barabara ya Nyamwage - Utete

    BASHUNGWA AMBANA MKANDARASI KASI NDOGO UJENZI WA BARABARA YA NYAMWAGE - UTETE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa hajaridhishwa na usimamizi na kasi ya ujenzi wa wa barabara ya Nyamwage - Utete (km 33.7) kwa kiwango cha lami na kumuagiza Meneja wa Wakala ya Barabara (TANROADS) Mkoa wa Pwani...
  8. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa njia nne Mbeya washika kasi

    Ujenzi wa njia nne katika halmashauri ya Jiji la Mbeya umeshika Kasi sana,ujenzi huo unaanzia Nsalaga Hadi Ifisi Barabara hizo pindi zitakapokamilika zitasaidia sana kupunguza msongamani katikati ya Jiji ambao umekuwa tatizo kubwa. Wakati huo huo tunaiomba serikali kuikamilisha mapema...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kasi ya vijana wa kiume kupungua kuoa si kwajili ya kuogopa majukumu, Kuwaoa wanawake wa sasa kikristo ni kujipiga kitanzi

    Kwa kuwa nchi ina wakristo wengi basi ndoa nyingi huwa zinategemewa kuwa za kiksto, kupungua kwa kasi ya kuoa kumelenga zaidi kwa vijana wa kikristo. Ndoa za kiislam na kitamaduni vijana wanaendelea kuoa kama kawaida, Wengi wanatumia kisingizio cha majukumu lakini hakuna ukweli, kuna vijana...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna trend mpya hapa mjini toka 2022 ila kwa sasa inakua kwa kasi sana, yaani karibu kila dem pisikali ana dem wake wa kiarabu

    Aisee ukiona dem wako ni mzuri na ni mweupe lakini ana mazoea ya kupitiliza na dem mwingine wa kiarabu basi odds kubwa ni kwamba wanasagana. Nina mifano mingi sana na nilianza kuobserve hili swala toka nikiwa Morogoro, na baadae kwenye kona mbalimbali za dar. Mifano ipo mingi sana, siwezi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tunazeeka kwa kasi. Wale wa 1985 sasa ni miaka 40

    Time Is really moving ni kama siku zinaenda kasi ajabu ndani ya miezi 3 2015 itakua miaka 10 iliyopita. Wa 1985. ni 40yrs. Wa 1990 ni 35yrs.
  12. JamiiForums Tanzania Sema maisha yanaenda kasi sana, hivi ni kweli iPhone 16 Promax kwa hapa bongo ni 6,800,000/=

    Salaam wakuu! Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania. NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo" Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kasi ya wanaume kununua dada poa imeongezeka miaka ya hivi karibuni

    Habarini, Nlikuwa mahali kwenye sehemu wanapopatikana maafisa utamu, ndani ya Moja ya majiji makubwa yanayopatikana hapa nchini, nikizuga napata kilaji aloo, kwenye gesti wanazojiuza madada poa wanatoka watu wazima na vijana ambao kwa muonekano wa nje hawafananii kabisa, ukiwaangalia utasema ni...
  14. JamiiForums Tanzania Nimefurahi kuhusu Mwendokasi

    Nimefurahi kwamba Mwendokasi kutoka Kariakoo hadi Mbagala mambo safi na pia njia ya Posta hadi Tegeta inajengwa. Hata hivyo, nachojiuliza kuhusu ile njia ya Bunju hadi Bagamoyo, watawezaje kuifanya kwa sababu njia ni nyembamba sana. Itakuwa poa sana kama ikifika Bagamoyo!
  15. JamiiForums Tanzania Kuelekea Maandamano ya Maombolezo Septemba 23: Je, Mamlaka Zimejiandaa?

    Kuna kila dalili kwamba maandamano yatafanyika, lakini ni kwa ukubwa gani ni ngumu kutabiri. Kwa wiki nzima hii, kamata kamata imekuwa kubwa sana, hadi vibaka na wezi wameamua kuchukua likizo ya muda. Tumeshuhudia pia maandalizi makubwa ya polisi wa kutuliza ghasia, polisi wa sare, na...
  16. JamiiForums Tanzania Kasi ya ujenzi ya vituo vya kujazia mafuta ya magari inaendana na ubora, usafi na usalama wa mafuta yenyewe?

    Kuna maswali mengi muhimu ya kujiuliza kwenye hii biashara ya vituo vya nafuta mpaka inakimbiliwa na karibia kila mfanyabiashara? Je magari yameongezeka sana nchini? Je kumekuwa na urahisi wa upatikanaji wa bidhaa husika? Je ni njia ya utakatishaji pesa na biashara haramu Je kuna 'syndicate' ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wenzetu wanafanyaje kina niffer,biashara za ramsek Hadi biashara zinakua kwa Kasi mno

    Wakuu wenzetu Hela wanapatia wapi Hadi kutajirika ndani miaka michache wanashusha makontena 40ft..uku wangine biashara hizo hizo miaka na miaka hazikui
  18. JamiiForums Tanzania Nimeongea na matapeli kadhaa politely majibu waliyonipa nimehitimisha kuwa kadri elimu inavyokua upumbavu nao unakua kwa kasi

    Mitandao yote ya kijamii matapeli wamejaa ila Facebook kwasababu ina watumiaji wengi kuliko mitandao mingine huko ndiko kuna matapeli concord. Shemeji yangu mhitimu wa chuo cha kilimo kaliwa na mjemba mmoja aliyejifanya mwajiri. Kampanga wakutane Iringa amwajiri akamzungusha kuwa yuko mbali...
  19. JamiiForums Tanzania Yutong yafikiria kuanzisha kiwanda Tanzania baada ya soko lao kukua kwa kasi

    Mtengenezaji mkubwa wa magari ya kibiashara kutoka China, Yutong, kwa sasa anachambua soko la nchi Tanzania kwa uwezekano wa kuanzisha kiwanda cha kuunganisha magari nchini Tanzania. Hii ni baada ya kupata mwelekeo mzuri wa soko tangu kuingia kwake nchini. Afisa Mtendaji Mkuu wa Yutong Bus...
  20. JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi kwa njia ya Mfumo tunaomba u-refrect teknolojia mpya, kwa maana ya Kasi na uharaka zaidi

    Nitumie fursa hii kuishukru serikali yetu kwa huu mfumo wa ESS kwakweli nasema kutoka moyoni mwangu. God bless this 6th regime
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…