karne

Karne parah (Hebrew: קַרְנֵי פָרָה‎, also spelled Qarnei Farah and other variant English spellings) is a cantillation mark found only once in the entire Torah (Book of Numbers Numbers] 35:5), and once in the Book of Esther, immediately following the identically unique Yerach ben yomo.
The symbol of the Karne para is that of the Telisha ketana and gedola together. The melody, likewise, is that of these two more common cantillation sounds put together.
The Hebrew words קַרְנֵי פָרָ֟ה translate into English as cow's horns.

View More On Wikipedia.org
  1. Ni bora kuishi maskini Karne hii nakuendelea kuliko walioishi enzi hakuna umeme kimsingi Mungu katupendelea sisi

    Huwa najiuliza hivi Mimi na mfalme Suleiman nani anafaidi maisha? Au Mimi na Vasco da Gama Nani anainjoi maisha? Imagine wewe na karli Peter's Nani amebarikiwa? Au Kuna raha gani aliyoipata William Shakespeare kunizidi Mimi? Kiufupi hao niliowataja hapo juu hawakupata neema tunayoipata sisi...
  2. W

    Maneno "kigaidi" na "ugaidi" yalitokea wakati wa Mapinduzi ya Ufaransa mwishoni mwa karne ya 18.

    Ugaidi, kwa maana yake pana ni matumizi haramu ya vurugu za kimakusudi kufikia malengo ya kisiasa, haswa dhidi ya raia serikali iliyopo madarakani. Mbinu hii ya ugaidi Inatumika haswa kuleta vurugu wakati wa amani. Maneno "kigaidi" na "ugaidi" yalitokea wakati wa Mapinduzi ya Ufaransa mwishoni...
  3. Kujifunza teknolojia kuendana na karne ya sasa

    Teknolojia inaonekana kuwa msingi mkubwa wa maendeleo duniani kote watu waliojikita kwenye teknolojia hufanikiwa zaidi na kurahisisha vipato vyao. Matumizi ya simu kwa watu wenye ujuzi wa kutengeneza matangazo ya picha na pia utengenezaji wa video zinawapa watu faida kubwa kama watumiaji wa...
  4. SoC01 Tanzania ya Karne ya 21: Mawanda mapana ya Kifikra

    Yapata miongo mingi tanguTanzania ilipojipatia uhuru wake kutoka kwa Mwingereza. Imepita mihula mingi ya uongozi, tangu Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere hadi kufikia utawala wa sasa wa Mh. Rais Samia Suluhu Hassan. Awamu ambayo sote tunajivunia kuwa na Tanzania yenye "Uchumi wa...
  5. Kosa la karne kwa CCM ni kujitenga na hoja ya Katiba na kuwaacha upinzani watambe nayo

    Kwasababu bado sina chama cha siasa, nataka kuwashauri viongozi wakuu wa CCM. 'Msijitenge na hoja ya katiba na kuwaachia upinzani pekee, mnafanya kosa kubwa'. Nimeangalia trend mpaka sasa huko mitandaoni, nimesikitika kuona kwamba kila mwana CCM ambaye ataongea kuhusu katiba mpya, basi...
  6. Hakuna umuhimu wa ndoa karne hii kwa sababu hizi

    HAKUNA UMUHIMU WA NDOA KARNE HII KWA SABABU... Na, Robert Ng'apos Heriel Hakuna umuhimu wa ndoa katika Karne hii Kwa sababu; 1. THAMANI YA MWANAMKE IMESHUKA NA INAKARIBIA KUTOWEKA Unapozungumzia Ndoa unamzungumzia Mwanamke, kadiri mwanamke anavyokuwa na thamani ndivyo thamani ya ndoa nayo...
  7. Karne 21 bado ni sahihi DC & RC kuteuliwa na Rais?

    Heshima sana wanajamvi, Tanzania ilipata uhuru wake zaidi ya miaka 60 iliyopita.Tumepitia awamu mbali mbali kuanzia awamu ya kwanza ya Mwl Nyerere hadi sasa awamu ya sita ya Mama Samia Suluhu. Nimekuwa nikitatizwa na namna tunavyojitawala,hasa katika suala la zima la mamlaka ya uteuzi wa...
  8. Hivi WAKUU tuna mziki wa aina gani karne hii

    Sikupata nafasi ya kusikiliza audio ya KELEBE ya RAYVANY.... Basi nkaona si mbaayaaa kuangalia video nipate pia wasaa wa mashairi pia. LAHAULAAAAAAAAA...... Pengine ndo mziki mzuri kizazi hiki ila mimi HAPANA.
  9. Mbinu za kutokuchepuka kwa karne ya 21 - 22

    MBINU ZA KUTOKUCHEPUKA KWA KARNE 21 - 22 Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Ikiwa wewe ni mvivu soma kwa urefu wa kamba za akili yako. Hakuna mtu mwenye akili timamu, muadilifu na aliyestaarabika anayependa kuchepuka. Ni wazi kuwa kuchepuka ni ishara ya mtu kujidharau, kujidhalilisha, kumuasi Mungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…