karibu

PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Usiku wa kuamkia D9: Yajayo yanafurahisha - Karibu Tuzogoe!

    D9 inakukuta ukiwa mkoa gani? Umebaki maeneo ya mijini au ni kama sisi umekimbilia kijijini au nchi jirani? Ikitokea kesho ni siku yako ya mwisho duniani, tupe maneno yako ya mwisho ya kutuaga. Niidhani uzushi, jana safarini napita hadi hivi viwilaya vidogo, kwenye maduka hakuna condom...
  2. JamiiForums Tanzania Karibu Jamiiforums tena — mijadala irudi, hoja zijadiliwe, Taifa lijengwe. 🇹🇿✍🏽

    Hongera Jamiiforums Kurudi Hewani Ushindi wa Uhuru wa Kujieleza 👏👏👏 Nawapongeza kwa dhati uongozi wa Jamiiforums kwa ujasiri, uvumilivu na ukomavu mkubwa mliouonesha katika kipindi chote ambacho mtandao huu pendwa ulifungiwa leseni ya uendeshaji. Pamoja na kupewa nafasi ya kukata rufaa...
  3. JamiiForums Tanzania Karibu tujadili fact za kisiasa: Kwa kujiweka katika viatu vya Rais wetu

    Tuanze na swali,Je political strategy aliyotumia kushinda uchaguzi huu ilikuwa sahihi au haikuwa sahihi?? na kwa nini? Maoni yako yazingatie fact zifuatazo;- 1.Dhamira ya mgombea ilikuwa ni lazima kushinda katika uchaguzi na kuendelea kuwa Rais; 2.Tukumbuke tayari alikuwa na model ya...
  4. JamiiForums Tanzania Hakuna marefu yasiyo na ncha - karibu tuzogoe!

    Wiki imekua ndefu na mpaka tumalize huu mwaka tutaona mengi. Hali ya kisiasa ilivyo Tanzania kwa sasa inakupa hisia zipi? Vipi nini kimekufurahisha au kimekukera wiki hii? Matarajio na malengo yako ya mwaka 2025 yanaendaje? unatoboa? Muulize mwanaJF yoyote swali la kizushi, utajibiwa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuamini kwa Tanzania tumefikia level ya majambazi wa kukodi, hawa huwa ni ndugu au watu wa karibu sana

    Kwa nchi za nje kuna huduma maalum za hitmen, hawa ni kazi zao rasmi kabisa Ila kwa Tanzania haya mambo bado sana, labda iwe kwa matajiri walio connected lakini kwa asilimia kubwa haya matukio na kesi za kutumiwa majambazi ukichunguza kwa karibu huwa ni wanafamilia au ndugu.
  6. JamiiForums Tanzania Nimeanza kuunganisha doti kwamba Lucas Mwashambwa ni Abdul Halim Hafidh Ameir mwenyewe au mtu alie karibu nae kumsaidia kwenye PR.

    Bado nafanya uchambuzi wangu kumhusu huyu Lucas Mwashambwa khasa baada ya kuendelea kutoa mada zake mbili baada ya kuapishwa waziri mkuu Mwigulu Nchemba na baada ya hotuba ya raisi mteule aliepatiana kwa wizi wa kura Samia Hassan. Moja ya mada zake mbili za hivi karibuni ni hii ya leo alotoa...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Elite Home Tuition Services – Tanzania Nzima, Karibu tukuhudumie kwa ubora wa hali ya juu

    Tunafundisha wanafunzi wa ngazi zote (mitaala yote) popote ulipo Tanzania. Tuna walimu wenye uzoefu, waaminifu, na wanaojali maendeleo ya mwanafunzi. ✔ Masomo ya sayansi na arts ✔ Mitihani ya NECTA, Cambridge, na IB ✔ Pia tunatoa huduma za tuition kwa watoto wenye uelewa mdogo Wasiliana...
  8. JamiiForums Tanzania Hii wiki itakuwa ndefu sana - karibu tuzogoe!

    Wale ambao kibaruani pasua kichwa, home napo kupo kama hakupo, siasa na mambo ya nchi yanatuumiza vichwa na mioyo - tukutane hapa tubadilishane mawazo. Kama unajisikia kujibu maswali, fanya hivyo. Kama hutaki, utakua umetumia vizuri uhuru wako wa kuchagua! Ukipewa nafasi ya kumuondosha...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kama wazanzibar wakilazimisha kuvunja Muungano wajiandae kuwa mkoa wa Tanzania au Jimbo la TANZANIA hutuwezi kuruhusu magaidi waingie hapo karibu nasi

    Huo ndo uhalisia Zanzibar isingekuwa ndani ya Muungano ungekuta tayari Kuna vikundi vya kigaidi vimechukua utawala Tutakua wajinga kuwaachia ndugu zetu wanzibar wabaki bila ulinzi wa TANZANIA Kama viongozi wao Kwa ulevi TU wa madaraka watavunja Muungano Kwa namna yoyote hatakubali ulafi wao wa...
  10. JamiiForums Tanzania Waliopo karibu na ofisi za Tume wanapotangaza huu uchafuzi waingilie kati tafadhali

    Kinachoendelea hapo tume wanapotangaza matokeo ni kama wanajitekenya na kucheka wenyewe, waliopo karibu waende wakasalimie hapo
  11. JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota IST AKA Karibu Japan iko sokoni

    Bei/Price TSH 12.5M Call +255 747 999 927 TOYOTA IST Year: 2004 Engine: 1,490Cc Mileage: 95,608Km Transmission: AUTO Fog Lights Sport Rims Android Radio Clean Interior In Good Condition Swap Deals Allowed
  12. JamiiForums Tanzania Pole, Na Karibu Kaanani Mpya na Makao Mapya! Cry no more!. (For those who are living in the future!)

    Ni wengi tuliokuwa nao katika hii safari, wachache wametuacha siku chache tu zilizopita...kimwili hatuko nao, kiroho tuko nao...mashujaa wetu...wengi walitamani kuifikia hii nchi ya ahadi, lakini wametuacha.... tufurahi pamoja katika nchi mpya ASEMA BWANA WA MAJESHI!... Jaribu kuishi nami mbele...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Parking lot karibu na Ferry (Dar)

    Habari wakuu, Naomba kufahamishwa eneo salama na secure la maegesho ya magari karibu na ferry. Nahitaji kusafiri kwenda Zanzibar, niache gari kwa siku 3, nitachukua wakati wa kurudi ili kuepukana na adha ya usafiri. Asanteni.
  14. JamiiForums Tanzania Yemen ndio watakuwa mkombozi wa taifa la Palestine wakisaidiwa kwa karibu "technically" na Iran

    Kwa ufupi sana resistance imesimama zaidi Yemen kwa usaidizi wa karibu kabisa " technically" kutoka Iran. Tumeona shifting kutoka US zaidi ya mara 3 kuhusu houthi na misimamo Yao. Israel imekua ikijaribu kupambana na Yemen lakini mpaka sasa hakuna mafanikio. Nchi zingine wamebaki kuwa wabwekaji...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mama karibu Mwanza tarehe 08 kwa kampeni (Anza na watu wa Mwauwasa na TANROD)

    Wananchi wanataka usimame hadharani juu ya mambo mawili makuu ambayo yamegeuka mateso makubwa na fedheha kwa jiji: Maji – Takribani mwezi mzima chanzo cha Butimba kimeharibika. Ulizindua mradi huu kwa matumaini, lakini hali imeendelea kuwa mbaya zaidi: Hata mgao wa siku mbili kwa wiki...
  16. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mama karibu Mwanza tarehe 08 kwa kampeni(Anza na watu wa Mwauwasa na TANROD)

    Wananchi wanataka usimame hadharani juu ya mambo mawili makuu ambayo yamegeuka mateso makubwa na fedheha kwa jiji: Maji – Takribani mwezi mzima chanzo cha Butimba kimeharibika. Ulizindua mradi huu kwa matumaini, lakini hali imeendelea kuwa mbaya zaidi: Hata mgao wa siku mbili kwa wiki...
  17. JamiiForums Tanzania Simu za Mkopo: Unalipia karibu simu mbili

    Wakuu, Kiufupi ukifatilia wimbi la "simu za mkopo" hususan kutoka makampuni makubwa ya mawasiliano ya simu za mikononi utagundua mteja akimaliza mkopo basi kalipia karibu simu mbili za cash. Mteja anakopa Samsung Galaxy A15 (kwa cash ni Tshs 450K) tuseme kwa mwaka. Kila siku anakatwa Tshs 2200...
  18. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni kwanini mpaka leo hakuna barabara ya lami inayounganisha Arusha na mikoa ya karibu Mwanza na Mara, usafiri ni wa kuzunguka mikoa mingine

    Kisingizio hakiwezi kuwa mbuga kwani kuna mbuga nyingine zenye barabara za lami kama Mikumi. Kisingizio si lazima kuwa ikolojia au kusema mbuga ni urithi wa dunia, ingawa hayo ni kweli. Hata hivyo, Watanzania wanahitaji usafiri wa haraka na wa gharama nafuu, huku wakifurahia mandhari ya...
  19. JamiiForums Tanzania Aliyeko karibu na Polepole

    Awe makini mnooo Sitafunguka sana UPDATE Nimeshapata access naye nimempa jambo fulan kwa ajili ya usalama wake !!! Britanicca
  20. M

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia yazuia kombora la Yemen kuelekea Israel, likipita juu ya Madīnah karibu na msikiti Masjid an-Nabawī

    Huu ndio ujirani Mwema, Saudi Arabia wamezuia makombora ya magaidi wa Yamen yaliyokuwa yakielekea Israel, Makombora hayo yalionekana yakipita juu ya mji wa Madinah karibu na msikiti Masjid an-Nabawī
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…