karibu

PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je , upo comfortable watu wako wa karibu , ndugu na marafiki waijue account yako ya Jf ?

    Moja kwa moja... Jf imekuwa tofauti na mitandaoni wengine watu wengi tunatumia majina na picha fake kama utambulisho wetu wachache sana wanaotumia utambulisho wao halisi , hali hii inaelekea ugumu kukutana na kuwajua Wana Jf mtaani tofauti na mitandao mengine. Na mtu anaweza kujutajia account...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hii ni Lushoto Karibu kwa uwekezaji wa KILIMO Cha umwagiliaji mda wote,

    Kijiji cha Lunguza Kata ya Lunguza Wiraya ya Lushoto Mashamba yapo 0772582186, bei Kati ya laki na nusu, laki mbili mpaka laki tatu kutegemeana na shamba , yapo ya kumwagia kwa pump na yapo ya kutumia maji yanayotoka mlimani bila pamp ,
  3. V

    JamiiForums Tanzania Karibu kikosi kazi Cha injili MBEYA kwa Mch Mbarikiwa Mwakipesile:siku moja tuwaone Hawa wapambanaji

  4. S

    JamiiForums Tanzania Walioumbwa kushirikiana kwa karibu sasa wamegeuka maadui wakubwa!

    Haiwezekani gari aliunde mwingine halafu wewe ujifanye unajua kuliendesha bila kumuuliza muundaji linaendeshwaje. Nachelewa kusema utasababisha maafa tu. Si ajabu kuona wimbi la 'vita' Kati ya Wanawake na Wanaume likizidi kupamba Moto siku hadi siku kwa sababu wengi wamechagua kuishi kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ratiba rasmi ya ziara ya karibu mwenyewe CCM kihogosi kuanzia tar 01 Hadi 03 July mkoa wa pwani

    Ziara hii ya siku tatu ya mkoa wa pwani ni kwaajili Yao pekee na sio vyama vingine. CCM ni zaidi ya shetani
  6. JamiiForums Tanzania Walio karibu na Heche mlindeni sana

    Nakuombeni sana mlio karibu na Heche!!!! Britanicca
  7. M

    JamiiForums Tanzania Duma Truck Tanzania

    Kwa huduma ya kutuma mizigo midogo, ya kati na mikubwa kutoka Mwanza na Dar es salaam, Duma Truck Tanzania tunawakaribisha kufanya kazi nasi. Piga simu sasa 0618480710
  8. N

    JamiiForums Tanzania Karibu House House Manager Position in Mbweni-Readvertised

    Karibu House House Manager Position In Mbweni has been readvertised. Submit your application by June 14th. Karibu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Karibu House-HM Position Readvertized

    Please find readvertised Karibu House Manager Position in Mbweni. Submit application by June 14th. Karibu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Driving school iliyopo Tandika

    Habarini wakuu, naomba kujua kama kuna driving school nzuri iliyopo Tandika, karibu na soko la Tandika. Natanguliza shukurani.
  11. JamiiForums Tanzania Sitokaa nihudhurie tena kwenye harusi ya dada au ndugu wa karibu upande wa kike

    Nineumia sana kuona dadangu anashikwa shikwa trako na kuchezewa mbele yetu ma kaka na wazazi ukumbini kisa wanacheza mziki wa bluez. Japo dada yetu katuheshimisha kutuletea shemela lakini binafsi nimeumia. Yaani baada ya kula na kunywa tukiwa ukumbini kuna mda kukawa hakuna shamra shamra...
  12. JamiiForums Tanzania Ambao tunakesha leo - karibu hapa tuzogoe ☺️

    Usingizi umekata, muda wa kulala bado, unaenjoy maisha, mawazo, furaha au ni sababu gani inafanya uwe hujalala mpaka sasa hivi? Tupige story kidogo: Rangi gani ya ngozi inakuvutia kwa mpenzi? (mweupe, mweusi, maji ya kunde au wewe una vigezo vingine ambavyo siyo rangi ya mwili?) Ushawahi...
  13. JamiiForums Tanzania Karibu Tujifunze: VICOBA na changamoto ya utunzaji wa Kumbukumbu

    Wana Jukwaa Habari! Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kuanzisha na wengine kujiunga kwenye VICOBA. Na ki-uhalisia imekuwa msaada mkubwa sana kwa watu ambao wamekosa sifa za kukopesheka kutoka kwenye mifumo rasmi ya kukopa, mfano bank. Nakumbuka miaka mitatu (3)...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ajira, House Manager anatafutwa, Karibu House, Mbweni

    Habari wapendwa, House Manager anatafutwa kwa ajili ya Karibu House, Mbweni. Please find attached.
  15. O

    JamiiForums Tanzania Unahisi mtu huyu aliweza kuishi baada ya kumaliza karibu kreti ya pepsi

    Jonee mwenyewe https://youtu.be/WTiIWW6QQ_0?si=SOtRb7rbD0YDPMma
  16. JamiiForums Tanzania Kusema kweli siko tayari kwa ajili ya commitment, natafuta tu mrembo wa ku-spend moments nae. Karibu.

    VIGEZO: Asizidi 40. Asiwe mke wa mtu. Asiwe askari/mjeda, etc Makebo makubwa au madogo sijali, cha msingi awe cha utundu kitandani
  17. JamiiForums Tanzania Msemo wa Sugu ‘matako yenu’ umekaa kishamba sana, aliye karibu naye mwambie aachane nao

    Mheshimiwa Joseph Mbilinyi aka sugu sijakataa ana kipaji cha kuongea na kuhamasisha watu, lakini kuna baadhi ya misemo yake kama ‘matako yenu’ imekaa kishamba kuliko kisiasa au kiuongozi. Kila kiongozi huwa na jingle yake, lakini jingle pia inatakiwa ijenge heshima na ukubwa wa brand yake. Kwa...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Ni uhakika kwamba waliotekwa karibu wote tayari wamekufa

    Nimetaarifiwa rasmi kuwa karibu watu wote waliotekwa wamkwishakufa, kutokana na mateso, kuugua kwa sabababu ya majeraha wakati wa kutekwa kwao na pia wengine wawili walikufa kutokana na sonona ya huko walipohifadhiwa. Haya yote yamefanyika ili baadhi ya watu waendelee kupata haya: 1. Misafara...
  19. JamiiForums Tanzania Kama uta pata ajali ya kujiunguza au mtu wako wa karibu akiungua mtibu hivi ata pona papo hapo

    Hii ndiyo tiba na huduma ya kwanzaya kuungua iwe na moto au maji au chochote. Ni baada yakupata hiyo ajali hakikisha haugusi kitu chochote cha baridi. Yaani epuka kutumia maji au kitu chochote cha baridi. Baada ya hapo tafuta nguo nzito au shuka zito au hata koti zito ni sawa kishachukua hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiwa Karibu na Breakthrough, Vita Huongezeka

    Biblia Danieli 10:12–13 “Tangu siku ile ya kwanza ulipotia moyo wako ufahamu… maneno yako yalisikiwa; nami nimekuja kwa ajili ya maneno yako. Lakini mkuu wa ufalme wa Uajemi alinipinga siku ishirini na moja…” Na pia: Biblia Wagalatia 6:9 “Tusichoke katika kutenda mema; kwa maana kwa wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…