kardinali pengo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Paschal Mayalla: Mwigulu Nchemba hakufurahia Majaliwa, Warioba na Pinda kushangiliwa kwenye mazishi ya Kardinali Pengo

    "Na nikamsikia jana mheshimiwa Waziri Mkuu akisema mimi sibabaiki mambo ya kupendwa na kushangiliwa, mimi sifanyi vitu ili nishangiliwe...yaani hiyo maana yake kwa sisi wanasaikolojia ina maana aliumia, yaani mtu anashangiliwa, Waziri Mkuu mstaafu halafu mimi nipo sishangiliwi! yaani sasa ili...
  2. H

    Waziri Mkuu ashiriki mazishi ya Kardinali Pengo, Dar es Salaam

    WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZISHI YA KARDINALI PENGO, DAR ES SALAAM Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Februari 28, 2026 ameshiriki mazishi ya Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Marehemu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, yaliyofanyika katika Kanisa la Hija ya Bikira...
  3. Mindyou

    Shangwe laibuka baada ya Padri Kitima kutambulisha wanasiasa na viongozi wastaafu kwenye msiba wa Kardinali Pengo

    Wakuu, Nauliza tu Kwanini hawa viongozi wastaafu walivyotambulisshwa shangwe limekuwa kubwa mno Hapo Pinda, Warioba na Majaliwa walivyotambulishwa shangwe lilikuwa kubwa mno lakini alivyotajwa Nchimbi vibe halikuwa kubwa hivyo
  4. Mindyou

    Padri Kitima akitambulisha uwepo wa vyama vya siasa mbalimbali kwenye msiba Kardinali Pengo. Umegundua nini?

    Wakuu, Hii ni leo wakati Padri Kitima anatambulisho uwepo wa vyama vya siasa mbalimbali kwenye msiba wa Kardinali Pengo Hapo kuna sehemu kataja kuna vyama 17
  5. K

    Sarakasi za Fr. Kitima na Maoni ya watu kwenye Msiba wa Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo

    Raha ya milele umpe Ee Bwana, apumzime kwa amani, Amina! Binafsi nimeona mijadala mbalimbali ikimuhusisha Fr. Kitima na namna alivyowatambulisha watu kanisani na namna alivyomkaribisha Rais kuaga mwili wa Marehemu Pengo. Sehemu kubwa ya mjadala watu wanasema kwamba Fr. Kitima kaonyesha dharau...
  6. H

    Dkt. Mwigulu ashiriki ibada ya kuaga mwili wa Kardinali Pengo

    DKT. MWIGULU ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA KARDINALI PENGO WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba Februari 27, 2026 ameshiriki ibada ya kuaga mwili wa Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu...
  7. Inside10

    Kardinali Pengo Enzi Za Ujana

    Hapa akiwa fratel
  8. McLaren

    Samia kasema amesikitishwa sana na kifo cha Kardinali Pengo. Hii 'Pole' mmeipokea?

    Wakuu, Hivi kulikuwa na umuhimu gani namba 1 kutoa ujumbe huu maana ukisoma comments mtandaoni ni watu wamemaindi kweli hii called "Pole" . Wakina Machumu wameshindwa kabisa kumshauri kuwa nyakati hizi sio nzuri ni bora tu angekaa kimya? ======== Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo...
  9. Waufukweni

    Kardinali Pengo afariki dunia akipatiwa matibabu

    Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo amefariki dunia katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa za kifo chake zimetolewa usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Februari 20, 2025 na Askofu Kuu...
  10. T

    TANZIA Kardinali Pengo afariki Dunia akiwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)

    Pumzika kwa amani mwadhama Kardinali Pengo. Tuonane mbinguni asubuhi iliyo njema. ===== YAH: TANGAZO LA KIFO Ninayo masikitiko makubwa kuwatangazieni kwamba leo tarehe 19/02/2026 saa 04:00 usiku huu mpendwa baba yetu Mwadhama Polycarp Cardinal Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es...
  11. upupu255

    SI KWELI PreGE2025 Kardinali Pengo amuonya Kitima kutumia Kanisa kwenye Siasa

  12. F

    Kardinali Pengo anawashukia wote wanaoleta hofu nchini muda huu kupitia Radio Maria na washirika wake. Anasema watu wanauawa bila hata sababu.

    Kardinali Pengo katika ibada ya kipaimara inayofanyika jimboni Dar es Salaam muda huu anazungumzia hali ya hofu iliyotanda nchini na kuifananisha na hofu waliyokuwa nayo mitume baada ya Yesu kuuwawa. Mwadhama anasema hali hii haijapata kujulikana Tanzania na sababu za mauaji haya hazijulikani...
  13. Kusini pride

    Kardinali Pengo aache kuchanganya dini na siasa, anatukera

    Kadinali Pengo huyu Novemba mwaka 2019 akiwa kwenye kongamano la kumsifia Magufuli alisema kauli hii ifuatayo “Tunajiuliza baada ya Magufuli atakuwa nani ila mkiwepo wa aina yako (Makonda) wengi nisingekuwa na shaka ya kuwaza nani atafiata baada yake Magufuli” na akamalizia kwa kusema anatamani...
  14. J

    Kwa maelezo ya CDF mstaafu ni Kwamba Magufuli alipata Msamaha na Ondoleo la Dhambi zake zote mbele ya Kardinali Pengo!

    Mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu Lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na Kardinali Pengo kwa ajili ya Huduma Basi Yesu Kristo alisema " Dhambi zenu zijapokuwa Nyekundu zitafanywa...
  15. ndiuka

    Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

    Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa Mhashamu Protase Rugambwa sasa Mhadhama. Baba Mtakatifu Fransisco amemteua Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa kuwa Kadinali. Mhashamu Protase Rugambwa ni mwandamizi wa kiti cha uaskofu Jimbo kuu Katoliki la Tabora. Hongera sana Mhashamu Rugambwa...
  16. THE BIG SHOW

    "Double Standards" ya TEC na Kardinali Pengo linapokuja suala la ukosoaji wa utawala

    Friends and Enemies, In order for the criticisms to be valid and acceptable must stand without biasness or manipulation. Baraza la maaskofu na Cardinal PENGO in particular wamekuwa Kwa miaka mingi sana wakijipambanua kuwa ni Taasis zinazosimama na wananchi na kuwasemea Kwa niaba pale ambapo...
  17. Superbug

    Papa Pius wa XI na Benito Mussolini kardinali Pengo na John Pombe Magufuli

    Mimi ni mkatoliki kindakindaki ila huu umoja wa kanisa na viongozi wa aina hii unalitesa sana kanisa takatifu la Yesu. Kuna ushahidi mkubwa wa papa Piusi wa XI kuwa na mahusiano ya karibu na Benito Mussolini fashisti wa italia mpaka Mussolini akampa papa eneo la Vatican city ilipo leo. Kupitia...
  18. Poa 2

    Kardinali Pengo na Askofu Malasusa ni kielelezo cha unafiki wa viongozi wa dini

    Hivi wakati huyu Msiba anatukana, kukashfu na kutishia watu, wao walikuwa wapi? Maaskofu wa Kanisa Katoliki waliwahi kuandika Waraka kukemea maovu wakati wa Magufuli lakini Pengo aliukana waraka ule. Leo yeye wa kumwombea Msiba msamaha kweli? Viongozi wa dini walikaa kimya hawakuonya chochote...
Back
Top Bottom