kanisa

The following list consists of concepts that are derived from both Christian and Arab tradition, which are expressed as words and phrases in the Arabic language. These terms are included as transliterations, often accompanied by the original Arabic-alphabet orthography. Although Islam is the dominant religion among Arabs, there are a significant number of Arab Christians in regions that were formerly Christian, such as much of the Byzantine empire's lands in the Middle East, so that there are over twenty million Arab Christians living around the world. (Significant populations in Egypt, Lebanon, Brazil, Mexico, Jordan, Syria, Palestine, Sudan, Iraq, USA, Canada, UK and Australia.) Christianity has existed in the Arab world since the 1st century. Readers should also note that Arabic is written with the Arabic alphabet, and that different individuals and Christian groups may transliterate certain Arabic words into the Latin alphabet in various ways.

View More On Wikipedia.org
  1. Askofu Machumu wa Gwajima asema Kanisa lao halijafungwa, waapa kurejea kanisani Jumapili

    Askofu Maximillian Machumu wa Kanisa la Askofu Gwajima, Glory Of Christ Tanzania Church amesema Jumapili wataendelea na Ibada kama kawaida kwasababu Kanisa lao halijafungiwa "Nafasi ya kujitetea hatujapewa, kwahiyo tuna-confirm wazi kwamba Kanisa letu halijafungwa na kwasabau hiyo kwa kuwa...
  2. Mliopo Dar tafadhali tuambieni 'Mtume Mwamposa' kanisa lake sasa lipo wapi baada ya kuhama pale lilipokuwa Kawe?

    Je, kahamia pale jirani na Shule ya Feza / nyuma ya Shule ya Upili (Secondary) ya Ukwamani ambapo alipewa eneo au?
  3. Mahakama yasema Kanisa la Ufufuo na Uzima Tanzania ( The Glory of Christ Tanzania Church) Halijafungwa Wala Kufutwa, hivo Rufaa imetupiliwa mbali

    Kuna Pimbi wa Lumumba Jana kaja na Uzi ukisema "Gwajima kaangukia Pua Rufaa yake". Ruling hii maana yake, Mahakama inasema ,Kanisa la The Glory of Christ Tanzania Church hamna Mahali limefungiwa, Wala Kufutwa, Kwa sababu Barua ilosambazwa mitandaoni SIO Barua ilioelekezwa kwenye Kanisa la The...
  4. Askofu Mwanamapinduzi wa kanisa la Ufufuo na uzima afafanua mwanzo mwisho kanisa kufungiwa. Kesi imesikilizwa, Hukumu ni kesho J'4. DPP atajwa

    https://youtu.be/WKvWtoKpLJs?si=ZqVSuExXQMtxQOv2 √ Huyu ni mmoja wa maaskofu walio chini ya Askofu mkuu wa kanisa la Jumba la Ufufuo na Uzima chini ya usajili wa Glory Christ Tanzania Church (GCTC) Mch Josephat Mathias Gwajima Anasema: 1. Kanisa halikuwahi kupewa notice au onyo au hata nafasi...
  5. Baada ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kufutwa, kituo kifuatacho ni KKKT? Ushahidi huu hapa

    Serikali ya CCM haipoi na haijawahi kupoa. Ndivyo unavyoweza kusema. Baada ya serikali kulifuta kanisa la Gwajima kwa kuhoji kuhusu utekaji na mauaji yanayoendelea hapa nchini kila kukicha, kanisa la KKKT nalo limeanza kuleta chokochoko kwa kutetea usawa, haki na uwazi kwenye uchaguzi, kutungwa...
  6. SWALI KWA DEEP SEEK:Serikali inaweza kupata madhara gani ikifunga Kanisa ikiwa kisheria inakubalika?

    JIBU LA DEEP SEEK:Kufunga Kanisa kisheria kunaweza kuleta madhara kadhaa kwa serikali, hasa ikiwa hatua hiyo inapingwa na sehemu kubwa ya wananchi au inaonekana kukiuka haki za kimsingi za kidini. Kwa kuzingatia mazingira ya kisiasa, kijamii, na kiuchumi, baadhi ya madhara yanayoweza kutokea ni...
  7. PreGE2025 RC Njombe akabidhi shilingi milioni 30 kwa niaba ya Rais Samia, harambee ya ujenzi wa kanisa la Makao makuu (KKKT) - Dayosisi ya Kusini Kati

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) - Dayosisi ya Kusini Kati limefanikiwa kupata zaidi ya shilingi milioni 210 katika harambee ya ujenzi wa kanisa la Makao makuu iliyofanyika leo Juni 7,2025 ambapo Mgeni Rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu...
  8. Kanisa la KKKT Makete lamzawadia Rais Samia Tuzo ya Amani na Umoja

    Katika hatua ya kutambua mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Kati limemzawadia tuzo Rais Samia. Tuzo hiyo imekabidhiwa rasmi leo Juni 7, 2025, katika Wilaya ya Makete, mkoani Njombe, na...
  9. USHAURI! Wakifuta kanisa lako ufanyeje?

    Sisi wakristo huwa hatupigani kwa nguvu za mwili na nyama, Biblia hasa Yesu anaagiza kwanza tuwaombee mema wale wanaotuudhi na kuacha kisasi kiwe cha Mungu, sio chetu, vita vyetu ni kwa njia ya maombi kwa sababu anayepigana sio sisi, ni Mungu hivyo omba kwa Mungu apigane mwenyewe. UFANYAJE...
  10. Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kusanyikeni mdai haki yenu ya kuabudu

    Kulifunga kanisa la Ufufuo na Uzima na kunyima maelfu ya waumini wa Kanisa hilo uhuru wa kikatiba wa kuabudu siyo jambo dogo linalotakiwa kuchukuliwa kwa wepesi. Ningeshauri Waumini wa kanisa hili na Watanzania wengine wote wa imani zote na madhehebu yote wanaoamini katika utawala wa sheria na...
  11. W

    James Mbatia: Kukamatwa kwa Lissu na kufungiwa kwa kanisa la Gwajima ni athari za hofu

    "Huyu amemwaga damu, huyu yupo gerezani kina Tundu Lissu wapo gerezani wana wafuasi. Kila siku hamaki inatokea Juzi hapa tumeona mchungaji Gwajima matatizo yemapata ya kusema, hofu imetokea kanisa limefungiwa. Sasa huyu ni mtu mmoja aliyekosea kama Gwajima sasa unamfungia yeye kama yeye kama...
  12. Ijue maana halisi ya neno "Kanisa"

    Ukipita huku na kule utaona vibao vimeandikwa: Kanisa la Anglikana, Kanisa Katoliki, Kanisa la Baptist, Kanisa la EAGT, Kanisa la Pentekoste, Kanisa la SDA n.k. Je, hiyo ndiyo maana halisi ya neno “Kanisa” kama ilivyokusudiwa katika Biblia? Je, Kanisa ni jengo au taasisi? Ili kuujua ukweli, ni...
  13. Mzee wa Upako aibuka, awaka serikali kufungia makanisa, asema 'vile mnavyowavumilia wakatoliki na hao muwavumilie vilevile'

    "Nataka niongee na serikali, isitufungiefungie makanisa, mbona katoliki hawafungagi jamani. Mnatuzalilisha mbona hamfungi katoliki. Tumesikia juzi katoliki wametoa waraka mzito wameamuru muwaachilie wafungwa sijui ni na nini, mbona hamuwafungii makanisa yao. Akina Bagonza sijui wanasema maneno...
  14. Waumini wa ufufuo na uzima tutaendelea na ibada kama kawaida pale ubungo na nchi nzima kuanzia jumapili, serikali ijue Gwajima hamiliki hilo kanisa

    Kama serikali ina tatizo na Askofu Gwajima basi washughulike naye huko ila sisi tutaendelea na ibada jumapili kama kawaida. Mkitaka mje na silaha na kutuua ila wala hatutaacha kukusanyika maana hilo ni agizo la biblia takatifu. Askofu Gwajima sio mmiliki wa kiwanja au jengo na wala sio...
  15. Mfuasi wa Kanisa la Askofu Gwajima kindaki ndaki

    Ngongo ni mfuasi na muasisi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima. Baada ya dhehebu letu takatifu kufutwa na kuzuiliwa kushiriki katika ardhi ya Tanganyika sasa nimelazimika kuanza kuswali Ijumaa 🕌. Ustadhi Ngongo.
  16. CHADEMA yalaani kufutwa kwa Kanisa la Askofu Gwajima, wadai ni dhuluma na ukiukwaji wa uhuru wa kuabudu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali hatua ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia kulifuta kanisa la Ufufuo na Uzima, likiuita uamuzi huo kuwa wa kidhalimu na unaokiuka uhuru wa kuabudu kama unavyolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia soma > ACT Wazalendo...
  17. PreGE2025 Heche Apinga Kufungwa kwa Kanisa la Gwajima: 'Hatutanyamazia Utekaji, Uovu'

    https://www.youtube.com/watch?v=vO-UWuTq9AU Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema kuwa chama hicho kinaungana na msimamo wa Askofu Josephat Gwajima, juu ya kupinga masuala ya utekaji ambayo ymekuwa yakiripotiwa nchini. Heche ameongeza kuwa kutokana na msimamo huo wanapinga pia...
  18. Swali kwa msajili wa jumuiya za kiraia Je, muanzilishi wa kanisa akifariki kanisa litafutwa?

    Baba msajili wa makanisa hebu tueleweshe kuhusu hili. Endapo mwanzilishi wa kanisa amefariki je, kanisa litafutwa?
  19. Ikitokea Rais Samia akakemea kufungwa kanisa la Gwajima na kutengua uteuzi wa Bashungwa CCM hawatamsifia?

    GTs, Hebu fikiria tu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekemea vikali hatua ya kufungiwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima inayoongozwa na Askofu Josephat Gwajima, akieleza kuwa ni ukiukwaji wa haki ya kuabudu inayolindwa na Katiba. Hebu fikiria tu akizungumza haya...
  20. R

    Waliozima taa za jengo la kanisa, walikuwa na mpango gani na sadaka za waumini?

    Hello! Nini hasa walikuwa wamelenga watu Hawa? Baada ya kuona waumini wanaomba bila kufumba macho, wakaamua kuzima taa! Sasa kuzima taa walilenga Nini ilhali sadaka zikiwa kapuni? Haya!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…