Wamekosa Nini
Sitaki siasa
Hawa Polisi wanaowapiga waumini nakuwakosesha Uhuru wa kuabudu mentally wapo sawa?
Wao hawana familia? Hawana watoto?
Ni wapagani hawasali?
Wake zao hawasali?
Ni wapagani? Wao nao ni wapagani?
Samia na weweni mpagani ?
Unaweza vipi kuwanyima Uhuru wa kuabudu...
“Hatari sana kuna mwenzetu amepigwa rungu amezimia kisa ameabudu hatujafanya fujo yoyote sio mwizi anataka haki yake ya kuabudu tunanyimwa uhuru wa kubudu katika taifa huru”
Ni maneno ya muumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (hakuwa tayari kutaja jina lake) ambaye alikua miongoni mwa waliokuwa...
Leo Juni 29, 2025 eneo ambalo waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Glory of Christ Tanzania Church wamekuwa wakitumia kwa maombi, liko chini ya ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumapili. Hali hiyo imejiri baada ya zuio la kufanya ibada katika majengo ya kanisa hilo lililopo Ubungo Kibo, Dar...
Askofu Mwanamapinduzi ametoa ushauri wa serikali na jeshi la polisi kwamba wasiwazuie watu kusali kama wamezui kanisa watu wawe na haki ya kusali kwa njia ambayo ni ya amani, njia ambayo aivunji sheria ya nchi.
Askofu Mwanamapinduzi ameyasema haya leo Juni 26, 2025, wakati akizungumza na The...
Jeshi la Polisi limezuia mkusanyiko wa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima waliokusanyika kufanya ibada pembezoni mwa barabara karibu na lililopo kanisa hilo Ubungo Kibo.
Video: Jambo TV
Mkuu wa Utawala na Fedha wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church - Ufufuo na Uzima, Askofu Baraka Thomas Tege amedai kuwa, tangu kanisa hilo lilipofungwa Juni 2, 2025 na hatimaye majengo ya yao kulindwa na Jeshi la Polisi nchi nzima, hakujawa na makabidhiano yoyote ya mali zikiwamo fedha za...
Huu ni utafiti wangu mdogo nilioufanya jana na leo,sikutegemea kama kesi ya Antipas Lissu ingefwatiliwa na watu wengi kiasi hiki. Leo wanaume kwa wake wanaijadili kauli ya Tundu lissu kwa nini azuiwe kuabudu?
Ukitegemea lawama zote anatupiwa Rais wa inchi ambaye ni Muisilamu, haina tofauti na...
Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa...
askofu gwajima
barua
fake
gwajima
halali
hisia
kanisakanisala askofu gwajimakanisalagwajima
kibatala
mambo
mambo ya
mambo ya ndani
mitandaoni
moderator
ndani
peter kibatala
sakata
sintofahamu
thread
waziri
yangu
Naanza kuwa na mashaka na mwenendo wa serikali ya ccm iliyopo madarakani.
Inawezekana vipi barua ya kufungia kanisa wizara waka kanusha huku polisi wakizuia kanisa.
Ina maana hii barua ni mtu au kikundi kwa sasa kama kutafakari kinaweza kuwa sio imani yake ndio maana kafanya haya...
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Innocent Bashungwa ameeleza kupokea barua iliyoandikwa na kampuni ya uwakili ya Tan Africa Law, ikimuwakilisha mteja wake ambaye ni Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church, wakipinga kufutwa kwa usajili wa kanisa hilo.
"Baada ya kupitia barua hiyo...
Wakuu, mimi sio mwanasiasa, sina kadi ya chama chochote, vipindi vilivyopita niliweka utaratibu wa kuangalia yule ninayemwona anaweza kuwa kiongozi wangu nampigia kura.
Kuhusu suala la kufungiwa kanisa la Askofu Gwajima, huku waumini wakisumbuliwa wasifanye ibada, wakikamatwakamatwa, na...
Mawakili wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania, Peter Kibatala na Gloria Ulomi wakiwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma kwenye kesi ya kupinga kufutwa kwa kanisa hilo. Wengine ni viongozi wa dini mbalimbali wakiwemo wa kanisa hilo waliofika kusikiliza shauri hilo.
Msajili wa Jumuiya za...
Abel Masebo ambaye alijitambulisha kuwa ni muumini wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Kanisa la Ufufuo na Uzima) amezungumza na Azam TV na kueleza ujumbe wake kwa Rais wa Nchi akimuomba afungue Kanisa hilo ambalo limefungiwa na Serikali.
Amezungumza hayo akiwa nje ya Kanisa la Kanisa la...
Baadhi Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam ambalo limefungiwa na Serikali, wamejitokeza eneo la pembezo na Kanisa hilo wakiimba nyimbo mbalimbali za Dini.
Hata hivyo, wakati hayo yakiendelea Kanisa hilo limefungwa na limezungukwa na Askari Polisi waliovalia sare...
Askari waliovalia sare za Polisi bado wameendelea kulizingira Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima ikiwa ni baada ya taarifa ya kufungiwa kwa kanisa hilo.
Ikiwa leo ni Juni 6, 2025 ni siku ya nne mfululizo tokea ilipotolewa taarifa ya kufungiwa, askari wameendelea...
Kuna askari zaidi ya 40 wenye uniform wana bunduki wamezingira kanisa upande wa barabara na wengine kwa nyuma, kuna wenye uniform na wengine wamevaa kiraia, pia kuna magari ya polisi zaidi ya kumi.
Pamoja na polisi wote hao, waumini hawajaondoka, wamekaa chini ng'ambo ya barabara.
Hivi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.