Kanisa la Roman Catholic linajitosheleza kwa kila idara lina kitengo cha ujasusi The Jesuit lina benki yake Bank of Vatican, lina miradi mikubwa dunia nzima, uchumi wake Tanzania ikasome.
Inakadiriwa Kanisa Katoliki linamiliki kati ya hekta milioni 71 na 81. Takwimu hii inajumuisha mali kama...
Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima limedai kupoteza mali zenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 2.007 baada ya kufunguliwa tena kwa kanisa hilo kuanzia Novemba 24, ikiwa ni miezi sita tangu lilipofungwa na Jeshi la Polisi Juni 2, mwaka huu.
Kwa mujibu wa viongozi...
Maandamano ya Gen Z ndio yameshinikiza Kanisa la Gwajima kufunguliwa bila kuwepo lisingefunguliwa.
Bila gen z kuingia barabarani Samia asingefungua Makanisa ya Gwajima ng'oo
Miongoni mwa waumini wa kanisa la Askofu Gwajima, lililofunguliwa hivi karibuni baada ya maelekezo ya Waziri Mkuu na kupewa uangalizi wa miezi sita, amesema kuwa serikali haipaswi kuwanyamazisha wasiseme mambo. Amehoji kuwa: ‘Mnasema Rais amelifungulia kanisa, lakini kwanini alilifunga awali?’...
Kuna muda hata sheria inaweza kukufanya kujua sheria ili mradi ubongo uwe unakwenda na wakati na muda.
Gwajima alipotaka haki kuhusu utekaji na hapo hapo alifungiwa makanisa bila serikali kutoa maelezo ila tuliona polisi wakizuia sehemu zake.
Leo hii Waziri Mkuu unasema unafungua kanisa ina...
Ushuhuda na Sababu za Askari Kuwazuia Waumini
Ufungaji wa Usajili wa Kanisa
Msajili wa Jumuiya za Kiraia alitangaza kufutwa kwa usajili wa kanisa la Gwajima (Glory of Christ Tanzania / Ufufuo na Uzima), kwa madai kwamba mahubiri ya askofu yalikuwa na mwelekeo wa kisiasa na kuhatarisha amani ya...
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amemuagiza Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, kulifungulia Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, ambalo lilikuwa limekumbwa na changamoto za kiuendeshaji.
“Limetokea tukio kubwa hapa, naye ametoa msamaha. Na sasa ametoa...
Maombi ya waumini wa kanisa la Ufufuo na uzima lilichini ya Askofu Gwajima, kama yameanza kujibiwa na Mungu walikuwa wanamlilia tangu kanisa hilo lifungiwe.
===============
Nuru imeanza kuonekana baada ya Leo Septemba 23, 2025 pingamizi lililowekwa na ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi...
Mughonile!
Roman Catholic, Lutheran, Anglicana, Wasabato, Walokole na Wakristo wengine. Mnakubalije Ukristo kufanywa Kama nyumbu wakati sisi ni simba wa Yuda. Kanisa la wenzetu limefungiwa kisa kosa la mtu mmoja ambalo sio kosa kwani alikuwa anahubiri injili ya kukemea maovu ya watekaji. Padri...
Mughonile!
kanisani leo tumesoma Yohana 17:22-23, ambapo Yesu anaomba kwa Baba:
"Nimewapa utukufu ambao Umewapa mimi, ili wawe wamoja kama sisi tulivyokuwa wamoja mimi na Wewe, Mimi ndani yao na Wewe ndani yangu, ili wawe wamoja kabisa, na dunia ije kuamini kwamba Umewatuma."
Nauliza, je...
Kufuatia Askofu Dr Josephat Gwajima kutoa ultimatum ya siku 10 kwa kanisa lake kufunguliwa, taarifa za chinichini zinasema kwamba serikali, kupitia msajili wa vyama vya kijamii, iko mbioni kuandaa press conference kwa ajili ya kujiokoa na zahma ya bomu atakalolipua Gwajima ikiwa siku zitaisha...
Waumini wa kanisa la Gwajima ni watanzania wenzetu ambao wametekwa kiimani. Wanahitaji kukombolewa kutoka kwenye kadhia hii.
Waumini hawa wanatumiwa kama vitega uchumi na ngao ya binadamu dhidi ya watu wajanja wanaofanikisha ajenda zao kupitia kwao.
Taarifa zilizothibitishwa na DC Msando...
Nimekaa hapa nafuatilia kwa kina kitakachotokea ndani ya siku 90 endapo serikali itakaidi AMRI HII ya ndugu Rolinga.
Kumbuka ni amri sio ombi. Mkifungua tutajua mmeogopa.
Msipofungua tutaona kitakachotokea.
Shauri lililofunguliwa na Bodi ya Wadhamini la kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa jina la Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima linaendelea kusikilizwa leo Julai 14, 2025 Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma.
Bodi ya Wadhamini inaiomba Mahakama kutupilia...
Kanisa Katoliki lina uzoefu wa miaka 2025 kupambana na watawala wakorofi wasiopenda haki. Mnachopaswa kuelewa wafuasi wa Kanisa la askofu Gwajima ni kwamba hamtashinda vita vyenu na watawala kwa kuzungumza lugha zizizoeleweka (tongues), hizo hi blaa blaa haswa na hazitowasaidia kamwe!
Kanisa...
- Kwenye ukristo manyanyaso hasa ya watawala huibua hisia kali za Imani. Waumini huamini shetani yupo kazin kuwatenganisha na Mungu wao.
- Huko kwenye Bible kuna verse zinazo sisitiza waumini kutobadili msimamo wa imani kwa Mungu wao maana kufanya hivyo nisawa na na kumkana Mungu. Kuna verse...
Issue ya serikali kufungia makanisa ya Gwajima, ilileta impression kwa wa Tanzania wa kawaida kwamba " Rais ana uchukia Ukristo" , Jambo ambalo si kweli. Serikali ililifungia kanisa la Gwajima kwa sababu za kisiasa hiyo ni namba 2 lakini namba moja ni Gwajima kuwa " Msaliti" Kwa chama chake...
NINA LAANI NA KUKEMEA UNYANYASAJI NA SHAMBULIO LA KIIMANI LINALOFANYWA DHIDI YA WAUMINI WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA.Ni Vema Viongozi wa Serikali wakatambua kwamba
1.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Tanganyika nitachagua Yesu.
2.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Ukimya munao uita amani...
Tafadhali mods naomba muuache uzi huu ili tuulizane na kupata majibu ya maswali yanayohusu hatima yetu.
Wadau wa JF na Watanzania wote. Ni juma la tatu sasa Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Gwajima limefungwa na kusababisha Waumini kunyimwa haki yao ya Kikatiba juu ya uhuru wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.