kanda

Kanda Shrine (神田明神, Kanda-myōjin, officially 神田神社 Kanda-jinja), is a Shinto shrine located in Chiyoda, Tokyo, Japan. The shrine dates back 1,270 years, but the current structure was rebuilt several times due to fire and earthquakes. It is situated in one of the most expensive estate areas of Tokyo. Kanda Shrine was an important shrine to both the warrior class and citizens of Japan, especially during the Edo period, when shōgun Tokugawa Ieyasu paid his respects at Kanda Shrine. Due in part to the proximity of the Kanda Shrine to Akihabara, the shrine has become a mecca for technophiles who frequent Akihabara.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nashauri OWM-Tamisemi ifungue ofisi za kanda watumishi wa umma chini ya Tamisemi ni kama mayatima

    Solidarity forever. Kumekua na malalamiko mengi sana ya watumishi wa umma hasa waliochini ya OWM-TAMISEMI kunyimwa stahiki zao na haki zao za msingi kama fedha za kujikimu,uhamisho,fedha za likizo n.k Hii hupelekea kukosa msaada kutoka kwa waajiri wao ambao wengi hawao hawawajari wala...
  2. JamiiForums Tanzania Watu wa kanda ya ziwa, hiki kinywaji kwanini mnakipenda sana?

    Kina siri gani sana, Kahama ukikutana na vijana wa kiume watano basi wanne wana hiki kinywaji Nini siri yake?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ingependeza kila ukanda ugekuwa na chuo kikuu cha serikali, mgawanyo wa vyuo vikuu bado ni kikwazo kwa baadhi ya kanda

    Naomba tuelewane ni chuo kikuu kilichojitosheleza chenye vitivo mbali mbali vya Uhandisi, Sheria, Ualimu, Biashara, Udaktari, n.k. Sio kampasi ya chuo kikuu au institute au college ambayo inatoa fani chache. Kila ukanda sikuhizi una toa wahitimu wengi sana wa form 4 na form 6, ni haki yao...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Swali: Hivi kanda Maalum ya Dar ikifa leo itaenda wapi

    Dhambi zoooote zinatendwa na kanda hii. Je ikifa leo itaenda wapi, mbinguni au jehanamu?
  5. JamiiForums Tanzania Burkina Faso, Mali na Niger Zazindua Benki ya Kanda kwa Uwekezaji wa Pamoja

    Bamako, Mali – Nchi tatu za Afrika Magharibi, Burkina Faso, Mali na Jamhuri ya Niger, zimezindua rasmi benki ya uwekezaji ya kikanda yenye mtaji wa awali wa faranga bilioni 500 za CFA, sawa na takribani dola milioni 895 za Marekani. Hatua hii inalenga kuimarisha uhuru wa kiuchumi wa mataifa...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video : Joto la maandamano lazidi kupanda kanda ya ziwa

    Wakuu kiukweli nasikitika kuona viongozi wakiendelea kuonesha kutojali yaliyotokea. Kanda ya Ziwa bado inaonekana vijana hawapo tayari kuweka silaha chini. Baadhi ya mitandao ya kijamii vijana wa kanda ya ziwa wanasema aliyemuuwa Magufuli ndie aliyekua vijana October 29 kwa tamaa ya madaraka.
  7. JamiiForums Tanzania Polisi Kanda Maalum DAR inamshikilia Charles Gisima kwa Tuhuma za Kuchochea uvunjifu wa amani

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam tarehe 12/11/2025 majira ya saa 8:00 mchana eneo la Madale kwa Swai Kinondoni limekamata na linamhoji Charles Gisima Werema (miaka 47), mkazi wa Madale Flamingo Kinondoni kwa tuhuma za kuhamasisha na kuchochea uvunjifu wa amani katika...
  8. JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa: Lini kutakuwa na kiwanda cha Dagaa, Sangara na Sato

    Habari Tanzania ! Eti lini wapendwa mtaleta Viwanda vya kuchakata Dagaa na Samaki ? Au ndio kusema mmeamua kuwaacha na mambo yao yote Kanda ziwa ? Onyesheni basi maupendo jamani. NB Masoko yapo ila viwanda hakuna.
  9. JamiiForums Tanzania Baraza la Kidigitali linawakutanisha Wenyeviti wa Kanda 10, litakuwa LIVE, leo Septemba 2, 2025

    Baraza la Kidigitali litakalowakutanisha Wenyeviti wa Kanda zote kumi litakuwa live kuanzia saa tano asubuhi, Chadema Media, leo Septemba 2, 2025.
  10. JamiiForums Tanzania Utalii Kanda ya Kaskazini

    Kwa wale Wapenzi wa Safari walioko Kaskazini Twendeni tukapunguze stress za Ugumu wa Maisha🤗😋
  11. JamiiForums Tanzania Sehemu za makazi zilizoendelea kwa kasi Kanda ya Ziwa.

    Habari wana JF, Je kwa sasa kanda ya ziwa ni sehemu zipi zinazoendelea katika ukuaji wa kasi kwenye ujenzi wa nyumba za kisasa za MAKAZI na je viwanja vinapatika kwa size ipi na thamani yake ikoje?
  12. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Jumanne kaseja anaweza akawa ndo aliishusha ile timu ya ligu kuu kanda ya ziwa na sasa anapambana kuipandisha timu yake ya nyumbani?

    Kipi ni kipi jumanne kaseja amekuwa jumanne kaseja je alihusika kuishusha timu ya ligi kuu ya kanda ya ziwa. Je kwakuwa timu ya kanda ya ziwa ilichukua ubingwa Mara moja na kushushwa daraja. Na mbaya wachezaji wake wa kutegemewa wanazidi kupoteana . Je alaumiwe jummanne Kaseja au lilaumiwe...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya ‘Anzia Ulipo’yazinduliwa rasmi Dodoma

    Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Kati, Said Idd (katikati), Meneja wa Yas Kanda ya Kati Frank Anthony (kushoto), na Meneja wa Mixx by Yas Kanda ya Kati Charles Gasper (kulia) wakifurahia jambo wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni ya kitaifa ya “Anzia Ulipo” iliyozinduliwa jijini Dodoma Julai 16 mwaka...
  14. JamiiForums Tanzania Geita itangazwe Kanda maalumu ya Kipolisi

    Enzi za JK wilaya ya Tarime walikuwa na vijitabia vya ukatili katili wakaanzishiwa kanda maalumu wakatulizwa kibabe. Njombe na Geita wana ujanja wa kizamani,ukatili na kuuana, Ushauri wangu kwa wahusika, Geita itangazwe kanda maalumu ya kipolisi na pia waweke RPC mbabe. Huyu mama Safia Jongo...
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Wagonjwa wengi wanadaiwa kupoteza maisha pindi wanapofanyiwa operation katika Hospitali ya Rufaa kanda ya Shinyanga

    Habari ni kwamba zipo taarifa za kuaminika kuwa hospitali ya rufaa kanda ya shinyanga iliyopo eneo la mwawaza watendaji wa hospitali hiyo wameingia kwenye kashfa kubwa za kushindwa kutoa huduma bora kwa jamii kwani malalamiko mengi ni kuwepo kwa vifo vingi vinavyotokana na operation za wagonjwa...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Ziara ya kanda ya ziwa ametuthibitishia kuwa hakuna uchaguzi huru tena

    Kajitangaza kawa ni mshindi tiyari wa urais, ni yeye anayeamua nani awe au asiwe mbunge, tiyari keshaanza kugawa nafasi zake 10 za ubunge. Je kuna haja tena ya kupoteza mabilioni ya kodi zetu kwenye uchaguzi fake?
  17. JamiiForums Tanzania Faatilieni ziara ya Raisi Samia huko kanda ya ziwa kashaanza kunena kwa lugha.

    GT Hapa tanzania ukiondoa Arusha na mbeya, kanda ya ziwa nako ni kugumu sana kwa chama cha mapinduzi ni kwa sababu moja tu watu wa huko wamenyooka hawapendi uongo uongo, na ukiwadanganya wanajua kabisa unawapiga kamba kama hawataguna mhiiii basi watakaa kimya au kukuzomea kama ilivyo mbeya na...
  18. JamiiForums Tanzania Moto wa No reforms No Election kuendelea kanda ya Magharibi hii leo

    Baada ya jana vijana wa CCM kuingilia mkutano wa Chadema pale Singida leo ni zamu ya tabora ,tegemeeni "october tunatiki" katikati ya no reforms no election ni moto juu ya moto.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Hongereni Hospitali Rufaa ya Kanda ya Mbeya

    Habarini, Hivi karibuni nilileta hoja ya hospitali nyingi za serikali kuwaandikia dawa wagonjwa na kuwataka walipie dozi nzima na wakishalipia ndani ya muda mfupi wanabadilisha dawa na kuwataka walipie tena dozi nzima kitu ambacho huwatia hasara kubwa wagonjwa na badae kuondoka na mafurushi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa wanaotoka watu wenye akili nyingi kama Gwajima na katu mtu wa kanda ya ziwa katu hawezi kuwa chawa

    Kanda ya ziwa wanaotoka watu wenye akili nyingi kama Gwajima na katu mtu wa kanda ya ziwa katu hawezi kuwa chawa na kuendesha kijinga Lissu alikwambia mkiuwa upinzani au CHADEMA, mtaanza kupingana nyie wenyewe Leo tumeisikiliza press ya maana ya mwana CCM Askofu Gwajima Press zinazofuata za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…