kampuni za simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Naomba kuuliza; Wenye nyumba mnashirikiana na matapeli wa simu kuwatapeli wapangaji ama mawazo yangu tu?

    Habarini za uzima leo nimewaza tu nkajiuliza Huko nyuma sikuwa na vyu.Ba vya kupangisha..Bahati kuna madada zangu wawili niliwapangishia ubungo Mwenye nyumba akawapa namba wakawa wanatuma badae akasafiri akasema atawatuma namba ya kutuma kodi Tar zile zile mwezi ule ule ikatumwa msg mm...
  2. A

    KERO Kampuni za Simu zinatukata Mawalaka 20% kwa kutuma fedha nje ya Mkoa, huu si ni wizi huu?

    Sisi Mawakala wa kutuma na kuweka fedha kwa njia ya simu hasahasa hizi kampuni mbili pendwa hapa nchini najua mtakuwa mmeshazifahamu, tuna kilio chetu kuhusu kampuni za simu, hizo mbili zinatukata kuanzia Asilimia 10 hadi 20 ya commission tunayostahili kupata kwa kufanya miamala nje ya mkoa...
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    Kampuni ya Jolla imezindua simu inayotumia mfumo wa Linux

    Kampuni ya Jolla imetambulisha simu mpya yenye kutumia Mfumo wa linux inayofadhiliwa na jamii oda ya awali ni Euro €499 mpaka kufikia Euro €599. Jolla ni kampuni ya Teknolojia inajulikana zaidi kwa kutengeneza Mifumo endeshi wa Sailfish Os, ambao kwa sasa wamehamua kuweza kutengeneza kwa...
  4. stakehigh

    Serikali ya India imezilazimisha kampuni za simu kuinstall Sanchar Saathi app kwa ajili ya kutrack wananchi, inatufaa pia hii bongo

    Katika harakati za kuimarisha ulinzi wa nchi serikali ya india imezilazimisha kampuni za simu kuinstall app hio kwajili ya kufuatilia maongezi ya wananchi pamoja na wqnachoandika, hii inaifaa sana tanzania haswa kwa iki kipindi watu wanapanga maadamano na itakua effective sana --- "This is...
  5. Mr Why

    Baadhi ya Kampuni za simu Tanzania nadhani zina shida, tabia ya kuzuia simu za wateja na kuwachatisha WhatsApp kupitia BOT ni ulimbukeni

    Baadhi ya Kampuni za simu Tanzania nadhani hazina akili timamu, tabia ya kuzuia simu za wateja na kuwachatisha WhatsApp kupitia BOT ni ulimbukeni Hii tabia ya baadhi ya kampuni za simu kuzuia huduma ya kuzungumza na wateja kupitia namba 100 sijui wametoa wapi TCRA wachukulieni hatua hawa watu...
  6. Kaka yake shetani

    Kampuni za simu bado zinatumia 3G mfumo data japo zinashindwa ku update minara Tanzania acha nieleze ukweli hapa

    Ili jambo lipo afrika na linaigizwa kwa mtindo wa kudanganywa kuwa kifaa chako sasa kina 4g au 5g. Ghalama za kuendana na hiyo mifumo nikubadilisha vifaa vyote kwa wakati ili kumudu vifaa hivyo. Leo niko kijiji X kina mnara tokea wa 3G ila hakuna changamoto ya kuharibika kifaa kina niambia...
  7. Candela

    Hizi kampuni za simu zinaona wateja mazuzu

    Tukiongelea Iphone huwa anatangaza new features ambazo Samsung wanazo 5 years back lakini utashangaa watumia iPhone wanajimwambafai na hizo features. Ukija Samsung wanatrendisha features za Google pixel ambazo watumiaji wa pixel wanazo 2 years back. Yaani S24 ultra inatangaza features za pixel...
  8. Pdidy

    Tuko kanisani tunaandika majina ya maaduui zetu wachomwe moto tuma majina ya maaduiwasiwe mke ama mumeo la

    NIMEKUJA KWENYE IBADA MOJA HUKU BANANA TUKO SEHEMU YA KUANDIKA MAADUI ZETU TUWAOMBEE WACHOMWE MOTO WALE WALIOKUTESA WANAOKUTESA MAKAZINI WANAOTESA NDOA ZAKO BIASHARA ZAKO AFYA ZAKO VIPATO VYAKO WEKA HAPAA NIWAANDIKE MUNGU ANASEMA ANAKWENDA KUPANDANA NA ADUI ZETU WANAOKUFANYA USISHIKE HELA...
  9. Pdidy

    Kampuni za mikopo ya mtandaoni zinatoa wapi namba zetu kwa sisi ambao hatujawahi kukopa?

    Si mbaya kuuliza, nimewaza tu kama haya makampuni ya simu yanakopwa na Jesca ama Betty. Gafla mimi natumiwa meseji na haya makampuni ya kukopa ati ndugu ama mfadhili wa Betty unaombwa kumjulisha tapeli ametaka kututapeli kiasi kadhaa. Nawaaambia nimeshtuka sana, gaflaaa nikauliza umepata namba...
  10. Chakaza

    Kampuni za simu, mbona mnaunyamazia utapeli wa kuungwa vifurushi vya muda wa maongezi na data?

    Kuna matangazo mengi ya kuungwa vifurushi vya muda wa maongezi na Data mitandaoni na watu wanaamini na kupigwa pesa kila uchao. Lakini pamoja na mitandao husika kutajwa bado wao wako kimya kama vile hayawahusu. Je, ni kweli huduma ya kuungiwa vifurushi imebinafsishwa? Au ni wizi ambao na...
  11. julaibibi

    Kampuni za simu

    Nashauri hii usemi nikiunga bando nawapa hela mnasema ndugu mteja ombi lako linashuggulikiwa utapata ujumbe ... . hapana mana hilo sio ombi Semen amri yako inashughulikiwa
  12. KikulachoChako

    Kampuni za Mawasiliano na ukiukwaji wa haki za mteja Tanzania

    Kabla ya WhatsApp nilikuwa na line za nchi mbalimbali. Ililazimu Kila nchi uliyofika ununue line. Mwisho nikajikuta na line zaidi ya 100. Nikijua naenda Italy nachukua SIM, Naenda Switzerland nachukua MOBISTAR, n.k. Kwa sasa natumia Togocel na Moov. Hii ni mitandao ya Togo. Togocel ni shirika la...
  13. Cute Wife

    Kampuni za simu, uhakiki taarifa za mteja usiishie kwenye jina na muamala wa mwisho pekee, wateja wanalizwa huku

    Wakuu, kuna text niliona inasambazwa huko duniani, jinsi wezi wanavoweza kuhamisha pesa kutoka kutoka Mpesa, TiGO pesa, na walet nyingine. Ukiibiwa simu ukiwa hauitumii ndani ya muda huo (yaani iko locked) utakuwa na muda kidogo kabla kaka jambazi hajafanya lake. Ukiibiwa simu ikiwa unaitumia...
  14. B

    TRA na Waziri mwenye dhamana "Nape Nnauye" hivi hizi kampuni za simu zimeizidi nguvu Serikali au

    Tumeongea mara nyingi ssna juu ya wizi wa KAMPUNI hizi za SIMU kwa wateja wao lakini ni km mnapuuza. Ebu fikiria KAMPUNI inakuunga kwenye huduma ambayo haujaomba wala huijui, unatumiwa tu ujumbe kuwa umeungwa na maelezo kibao. Je huu siyo wizi. Kwanini tunahangaika na vibaka tunaacha hawa watu...
  15. TTCC_TECNO

    Kampuni za simu zinazotarajiwa kutambulisha bidhaa mpya

    Kaa mkao wa kula kwa mapinduzi ya teknolojia! Makampuni duniani kote yanajiandaa kuleta vifaa vya kisasa kabisa. Wamevutiwa na makampuni yenye uvumbuzi, na wana hamu ya kuleta msisimko katika eneo la teknolojia, wakiahidi kubadilisha mtazamo wako kidijitali kama kijana.. Miongoni mwa vifaa...
  16. B

    Kwako Mkurugenzi wa TCRA na Waziri mwenye dhamana. Wananchi tumechoka kuibiwa na kampuni za simu

    Ninaandika kwa masikitiko makubwa sana. Chondechonde Mkurugenzi wa TCRA na Waziri mwenye dhamana (NAPE NAUYE) wananchi tumechoka na huu wizi na uhuni unaofanywa na kampuni za simu Tanzania. Kwanza kabisa kampuni za simu hapa Tanzania wamekuwa wakituibia wateja kwa kutuunga kwenye huduma...
  17. Wakuperuzi

    Nahisi baadhi ya wafanyakazi wa kampuni za simu si waaminifu

    Nimetoka kuongea na mke wangu muda huu akiniomba nimtumie kiasi cha pesa kw matumizi nikamuambia tu avute subira kdgo ntamtumia bdae, lkn ajabu baada ya km dakika 25 hivi inaingia msg hii, hiyo pesa tuma kwenye namba hii. Nina uhakika hzi taarifa zetu huwa zinawafikia matapeli kupitia baadhi ya...
  18. RoadLofa

    Je, kampuni za simu zinaruhusiwa kudukua mawasiliano ya wateja wao?

    Leo nimetulia na kuichunguza simu yangu kwa kukagua kama nimekuwa hacked kama mawasiliano yangu yanasikilizwa ninapopigiwa simu na sipatikani au kuwa busy au kutopokea kabisa kwa kubonyeza *#004# na nimegundua kampuni ya tigo imehack namba yangu tigo na voda hawajafanya ivyo Swali langu: Je ni...
  19. C

    Kero za meseji taka (spams) kampuni za simu muwe na utaratibu kupata ridhaa kutoka kwa mtumiwaji

    Kumekuwa na tabia ya kampuni nyingi za simu kuingia ubia na baadhi kampuni ambazo wamekuwa wanatuma meseji taka mbalimbali mara kubeti, bahati nasibu, n.k. kwenda kwenye namba za wateje bila ridhaa ya wateja wenyewe. Nasema ni kero kwakuwa, unaweza ukakuta kwenye simu yako msg kama 10...
  20. BARD AI

    Naibu Spika ashauri Serikali kudhibiti makato ya Mabenki na Kampuni za Simu kwa wateja

    Baada ya Serikali kutangaza kufuta baadhi ya Tozo za miamala ya Kieletroniki, Naibu Spika Mussa Zungu amesema Serikali iangalie namna ya kupunguza makato yanayokatwa na Mabenki na Kampuni za Simu kwasababu yanazidi Tozo zinazochukuliwa na Serikali. Zungu amesema wananchi wengi hawatazami mapato...
Back
Top Bottom