kampuni ya mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    Kampuni ya mabasi ya Esther Luxury Coach Limited imetangaza kurejesha huduma zake za usafirishaji baada ya mabasi yake kuchomwa moto oktoba 29

    Kampuni ya mabasi ya Esther Luxury Coach Limited imetangaza kurejesha rasmi huduma zake za usafirishaji wa abiria kuanzia leo Novemba 6, 2025, baada ya kusitisha safari kwa muda kufuatia changamoto zilizotokana na vurugu za maandamano ya hivi karibuni. Kupitia taarifa yake kwa umma, kampuni...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    Je kampuni ya mabasi ya Katarama itashughulikiwa?

    Dada wa Taifa amepost abiria wakiwa katika basi la Katarama wakiangalia hotuba ya Balozi mstaafu Polepole. Uzi huu umekuja na swali la angalizo, je kupitia video ile, kampuni ya Katarama inaweza kushughulikiwa na mamlaka? Muda ni mwalimu mzuri…
  3. hp4510

    KERO Kampuni Ya Mabasi ABC upper class Mnakera Sana

    Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4...
  4. M

    Hivi Kampuni ya mabasi yaendayo kasi DSM ndio inakufa au ni Mimi naona hivyo?

    Wana JF, Kila ukiona wapiga kura wa DSM hasa wilaya za Kinondoni na Ubungo, wengine na wakina na tai shingoni walivosukumizwa kwenye yale mabasi kama matenga ya vitunguu naona kama kampuni inayoyaendesha either imeshakufa au haina muda mrefu. Hivi huyo mkurugenzi huwa anajipimaje utendaji KAZI...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Mabasi mapya ya Mwendokasi yanayotumia gesi kuwasili Aprili

    Mabasi mapya ya Mwendokasi yanayotumia gesi yatawasili Aprili mwaka huu, lengo ni kuongeza matumizi ya nishati safi. Kampuni ya Mabasi yaendayo Haraka (UDART), imesema kuanzia Aprili mwaka huu watapokea mabasi mapya yanayotumia gesi asilia iliyosindikwa (CNG). Aidha, hatua hiyo ni mkakati wa...
  6. KING MIDAS

    Mjue Shafineyz, kijana mdogo anayemiliki kampuni ya mabasi

    Kwa Tanzania huyu mmiliki wa mabus ya Shafineyz ndiye mmiliki mdogo zaidi wa mabus kwa Tanzania au kama nitakuwa nimekosea mtanirekebisha. Ila tusiwe tu wachoyo wa pongezi inabidi tumpongeze sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni ya mabus maana kumiliki...
  7. Mr Why

    LATRA yasitisha leseni ya kampuni ya mabasi ya Katarama

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), kwa kushirikiana na Jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani imefanya kikao na wasafirishaji wa mabasi ya Mkoani ili kuwakumbusha kuzingatia Sheria na Kanuni za Usalama Barabarani. Aidha, LATRA imesitisha Leseni ya kusafirisha abiria kwa kampuni...
  8. peno hasegawa

    Itashangaa "LATRA isipoifungia kampuni ya mabasi ya Shabiby.

    Kila siku kampuni hii, inazalisha vifo na walemavu. Nitashangaa kama LATRA. haitawatendea haki Watanganyika. Suala la usalama na usimamizi wa kampuni hii ya mabasi limekuwa ni tatizo kubwa kwa muda mrefu. Ni zuri kwamba serikali imekuwa ikiangalia hali hii, lakini inaonekana kwamba bado hakuna...
  9. MLIMAWANYOKA

    TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

    Tumepokea taarifa ya ajali ya gari ndogo ambapo mmiliki wa Mabasi ya kampuni ya Sauli Luxury Solomoni Mwalabhila amefariki dunia kwenye ajali hiyo. Tunatoa pole sana kwa Kampuni ya Sauli Luxury. Ajari ya barabarani imeondoka na roho ya mmiliki wa mabasi ya Sauli Luxury siyo mbali sana na...
  10. W

    Kampuni ya Mabasi ya Ally's Star acheni utepeli

    Leo tar. 05 July 2024 Katika hali isiyo ya kawaida nikiwa eneo la tukio (nilimsindikiza ndugu yangu ambae nae ni muhanga wa hii habari) abiria waliotakiwa kusafiri na gari kampuni ya ALLY'S STAR T644 kutokea DAR ES SALAAM (Urafiki) kuelekea MWANZA walikumbwa na sintofahamu baada ya...
  11. M

    LATRA kampuni ya mabasi ya BM inastahihli kufungiwa kwa utapeli

    Tunaomba mamlaka ya usafiri LATRA iifunge kampuni ya mabasi ya BM yandayo Dar -Kilimanjaro/Arusha kutokana na udangajifu kwenye nauli. Wanafunzi wa shule ya anwarite ambao walikuwa wanatakiwa kusafiri leo kwa mabasi aina ya luxury wametapeliwa kwa kulazimishwa kusafiri kwa kutumia mabasi ya...
  12. Suzy Elias

    Wafanyakazi wa kampuni ya mabasi ya KILIMANJARO wakamatwa Moshi, walishindwa kuwatafutia abiria usafiri mbadala na kujificha

    Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Moshi imewakamata wafanyakazi wa kampuni tajwa hapo juu baada ya kujificha maliwatoni na kuwatelekeza abiria pasipo kuwatafutia usafiri mbadala baada ya kampuni yao kufungiwa na LATRA. Chanzo gazeti la Mwananchi.
  13. Mr Why

    Kampuni ya Mabasi ya Abood Bus Service Limited imezindua mabasi ya VIP

    Kampuni ya Mabasi ya Abood Bus Service Limited imezindua mabasi ya VIP yanayofanya safari zake Dar- Mwanza-Dar, kuanzia tarehe 9 Juni 2023. Hizi basi ni za kisasa na yenye viwango vya juu ikiwemo siti za luxury, air condition, tv, choo cha abiria, wahudumu wa kike, vinywaji na vitafunio. Route...
  14. Roving Journalist

    Kampuni ya mabasi DRC kuonesha Filamu ya The Royal Tour kwa Lugha ya Kifaransa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb) akibofya batani ili kucheza Filamu ya The Royal Tour kwenye Basi la abiria la Kampuni ya Classic ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kampuni hiyo kuonesha filamu hiyo kwa abiria wanaotumia mabasi yake. Waziri wa...
  15. MLIMAWANYOKA

    Kampuni ya mabasi ya sauli wapo juu ya sheria?

    Kwa route ya Mbeya - Dar ni hakika Sauli hana mpinzani mpaka sasa.. Nadhani hii ni kwa sababu ya kuwahi kufika... WAtu wa Mbeya huwaambii kitu na Sauli yao. Soma hapa Leo Nmelazimika kuahirisha safari baada ya kuachwa na bus lao. Safari ya Dar - Mbeya. Ilikuwa hivi.. Saa kumi na moja kamili...
  16. F

    Kampuni ya Mabasi ya BM Wanahujumu Haki za Abiria

    Kampuni ya Mabasi ya BM Coach inaendeshwa kihuni. Yafuatayo yanafanywa na vibarua/manamba wa kampuni hii: 1. Kutoka Moro gari likifika Magufuli abiria wanafaulishwa kwenye magari kama (bila hata gari kuharibika) mkaa kwenda Shekilango. 2. Katika zoezi la namba 1 hapo juu, baadhi ya abiria...
Back
Top Bottom