Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni, Jijini Dar es Salaam kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Wakili Mwanaisha Mndeme ameahidi kuwa endapo atapewa ridhaa ya kuwa Mbunge wa jimbo hilo, atakuwa sauti ya wananchi katika kuibua, kufuatilia na kutatua changamoto zinazowakabili kwa muda mrefu...