kambarage

The Order of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Swahili: Nishani ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere) is an award of the Tanzanian Honours System for retired presidents elected democratically. It is named after Julius Nyerere, the nation's first president.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaa wa Kambarage, Shinyanga mjini taka zimeturundikia zaidi ya wiki tatu

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Kambarage, Manispaa ya Shinyanga. Ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu hali mbaya ya usafi ambayo imekuwa ikitusumbua kwa muda sasa kutokana na mrundikano wa taka. Tunachofahamu ni kwamba kumekuwa na mgogoro kati ya Manispaa ya Shinyanga na kampuni binafsi iliyokuwa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kambarage, Fatma Na Chumi Waapa Rasmi Kuwa Wabunge Wa Bunge La Jumuiya Ya Afrika Mashariki

    Wabunge wapya wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki waliopigiwa kura hivi karibuni na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao ni Ndugu Kambarage Wasira, Fatma Kange na Cosato Chumi, wameapa leo 01 Juni 2026 wakati wa kikao cha Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) kuanza shughuli...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania ''Usimuone vile Kambarage ana Kibega'' Dossa Aziz

    Mwalimu Nyerere akisukuma gari pamoja na watu wengine "USIMUONE VILE KAMBARAGE ANA KIBEGA" Dossa Aziz Picha hiyo hapo juu inanikumbusha Jumapili moja miaka mingi iliyopita tumekaa barazani nyumbani kwa Dossa Aziz Mlandizi. Miaka mingi Dossa Aziz na Ally Sykes walikuwa hawajaonana. Niliona...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Makosa Katika: "Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Photographic Journey"

    Kazi yoyote ya mikono ya binadamu itakuwa na makosa. Kazi iliyokamilika ni yake Allah peke yake. Yameonekana makosa katika kitabu cha Mwalimu Nyerere. Prof. Kabudi ana haya ya kusema kuhusu makosa hayo: "Mzee wa Atikali" (MwA) amepigiwa simu na Mhe Prof. Palamagamba Kabudi. Baada ya kuongea...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba Imepokea: ''Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Photographic Journey''

    MAKTABA IMEPOKEA: MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE PHOTOGRAPHIC JOURNEY Rafiki yangu ndugu Ali Sultan mmoja wa watayarishaji wa kitabu hiki kikubwa cha Mwalimu jana alikuwa Ikulu Dodoma kwa uzinduzi wa kitabu hiki. Leo kafika Maktaba kunikabidhi kitabu. Kiswahili hakina msamiati wa kueleza...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mhandisi James Jumbe Wiswa, amechangia mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mjini, Mhandisi James Jumbe Wiswa, amechangia mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga. Mhandisi Jumbe amekabidhi mifuko hiyo ya saruji wakati wa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwenyekiti wa Mtaa wa Kambarage, Kata ya Igogo - Nyamagana ananyanyasa sana Wafanyabiashara, kuwafungia biashara zao bila sababu

    Mwenyekiti wa Mtaa wa Kambarage, Kata ya Igogo, Wilaya ya Nyamagana amekuwa akiwafungia na kuwaamuru Wafanyabiashara kufunga biashara zao akitumia nguvu bila sababu za msingi. Amekuwa akitumia Kundi la Askari wa Jeshi la Mgambo pamoja na Askari Jamii, wakiwafungia Wafanyabiashana maduka yao...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 ya kiuongozi yanayomfananisha Rais Samia Suluhu Hasan na hayati Julius Kambarage Nyerere

    1. Wote ni wapenda amani na umoja, kama Mwalimu Nyerere alivyopigania amani, Rais Samia anahakikisha Tanzania inabaki kuwa nchi ya utulivu. 2. Nguli wa Kiswahili, Mwalimu Nyerere alijenga misingi ya Kiswahili, Rais Samia anaipeleka lugha hii kimataifa, "Tunamwita Mama Global" 3. Mafundi wa...
  9. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Leo ni kumbukumbu ya miaka 25 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius K Nyerere, unakumbuka nini kuhusu huyu mzee?

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanganyika (baadaye Tanzania), alikuwa kiongozi mwenye ushawishi mkubwa barani Afrika na duniani. Katika kumbukumbu ya miaka 25 ya kifo chake, haya ni mambo 7 muhimu kuhusu Nyerere: 1. Muanzilishi wa Taifa la Tanzania: Nyerere...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day: Maktaba Inavyomuadhimisha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (1922 - 1999)

    NYERERE DAY: MAKTABA INAVYOMUADHIMISHA BABA WA TAIFA Leo ni Nyerere Day. Leo ni siku ya mapumziko. Taifa linamuadhimisha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Maktaba yangu ni kati ya maktaba tatu zilizosheheni historia ya Mwalimu Nyerere. Maktaba ya kwanza ni ya Dr. Salim Ahmed...
  11. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule ya Msingi Kambarage - Dodoma haina Ofisi ya Mwalimu Mkuu na Walimu wengine, wanabanana kwenye chumba kidogo

    Kati ya mambo yanastaajabisha nchi hii ni viongozi kuendekeza mambo yasikuwa na tija kwa wananchi na jamii, Serikali imeshindwa kujenga jengo la Ofisi ya Mwalimu Mkuu na Waalimu katika Shule ya Kambarage inayopatika ndani hya Jiji la Dodoma maeneo Vyeyula. Shule hii yenye Walimu 12...
Back
Top Bottom