kamati kuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Kamati Kuu Chadema kujadili matukio ya Oktoba 29

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali ya kisiasa, ikiwemo vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 katika baadhi ya maeneo nchini. Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche amebainisha hayo leo Jumanne...
  2. L

    Rais Samia aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu. CCM yaazimia kujitathmini na kujipanga vyema kubeba dhima ya kuliongoza Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ameongoza kwa...
  3. ngara23

    Kamati kuu CCM yaja na matamko ya dharau

    Hawa watu wametuzoea Watanganyika yaani hawajutii Kwa mauaji waliofanya Wanashindwa kutoa hata kutoa pole
  4. M

    GE2025 Kamati Kuu ya CCM mnavochelewa, ndio tunapanga kukifuta chama chenu

    Watu na Washauri wa Samia nini msichoelewa na kuona Jeshi limesema sasa kwa njia za Kiraia, haliko tayari kufanya kazi na Samia. Msione Aibu, Rais hana nguvu bila kuungwa mkono na Jeshi, simple and clear.
  5. PAYE

    GE2025 Wenje: Wengi Kamati Kuu CHADEMA walipinga 'No Reforms No Election'

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema asilimia 80 ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA hawakukubaliana na msimamo wa 'No Reforms, No Election,' ndiyo maana wengi wamekihama chama hicho.
  6. Mganguzi

    Kwenye Kila chama cha siasa ccm Wana watu wao na Kila kamati kuu ya chama chochote cha siasa ccm Wana watu wao hao mashahidi wa Siri ni makada wenu !

    Ccm ni kama yule malaika mkuu aitwae Lucifer Ambae alilewa sifa akatamani kuwa mungu !! Akatupwa na Sasa tunae mpaka ndani ya nyumba takatifu za ibada !! Ccm ni wakongwe wa hizi mambo ndani ya vyama vya upinzani vyote wanapeleka watu wao na wengine ni usalama wa taifa wanakuja kama raia...
  7. JanguKamaJangu

    GE2025 Michael Kimbaki aliyekuwa Mbunge wa Tarime Mjini asema haungi mkono Ubunge kuwa na ukomo wa Miaka 10

    Michael Kimbaki, Mshindi wa Kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kuwania Ubunge Jimbo la Tarime Mjini, amekubali maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM yaliyompendekeza Ester Matiko kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo hilo. Hata hivyo, Kimbaki amesema haungi mkono wazo la kuzuia Wabunge...
  8. Just Pray

    GE2025 Rais Samia akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dodoma leo 23 Agosti, 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika mkoani Dodoma tarehe 23 Agosti, 2025.
  9. Tlaatlaah

    Kila la kheri vikao vya kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM Taifa.

    Kwa unyenyekevu mkubwa niko tayari kuupokea kwa mikono miwili uamuzi wenu thabiti kwa ustawi na maslahi mapana ya chama cha mapinduzi. Hakuna cha kupoteza. Asante sana wa jumbe wa mikutano mikuu ya CCM katika kata zote zaidi ya 17 katika Jimbo langu, kwa imani na mapenzi yenu makubwa mno kwangu...
  10. Nkobe

    Mimi Raia wa kawaida najiuliza, kamati kuu ya CCM ndio inateua wagombea wa ubunge, lakini kamati hiyo hiyo ndio inatakiwa kuhojiwa na Bunge

    Kama kichwa cha habari kisemavyo, hata kama wewe una IQ ndogo utajiuliza. CCM ndio chama tawala tangu uhuru, bila shaka kwa namna wanavyowapiga rungu wapinzani, ni wazi kuwa wabunge walioteuliwa na watawala ndio watarudi bungeni kwa wingi. Moja ya kazi ya mbunge ni kuisimamia na kuihoji...
  11. and 998 others

    GE2025 Shilole atoswa UWT Tabora, aiangukia Kamati Kuu

    Mfanyabiashara Maarufu Duniani na Mwenye connection zake nchi nzima. Ametoswa na Wajumbe kwa sasa anategemea huruma ya Kamati Kuu. Ikiwa watakumbuka mazuri aliyowatendea siku zilizopita.
  12. and 998 others

    Nguvu ya Kamati Kuu inazidi Mahakama ya Rufaa

    Pamoja na Kura za Mchongo za Wajumbe. Kamati Kuu ndio mwamuzi wa Mwisho. Na hakuna kitu mtafanya.
  13. W

    GE2025 Waliotimkia CCM kutoka CHADEMA 'kundi la wabunge 19' wametoboa mchujo wa kamati kuu CCM

    Wabunge wa Viti Maalum 13 kutoka 'Kundi la Wabunge 19' waliofukuzwa CHADEMA mwaka 2020 ambao walitangaza kujitosa CCM na kuomba nafasi za kuteuliwa ubunge na ubunge wa viti maalum katika uchaguzi mkuu 2025 wamepitishwa kwenye mchujo uliofanywa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM Taifa...
  14. and 998 others

    PM kwani sio Mjumbe wa Kamati Kuu?

    Mwamba unamuona Serbia mara Abu Dhabi. Huku Dodoma wakichinja syndicate yake bila huruma. Siasa zetu ni shidaa
  15. and 998 others

    Oliver Semuguruka 'Twiga' akatwa Kamati Kuu

    Twiga katenguliwa miguu na Kamati Kuu. Chezea Siasa za bongo
  16. Mindyou

    GE2025 CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu

    Wakuu, Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo. Ngoja tuone kitachojiri ========= Wakati watu wakimsubiri Makalla, ukurasa rasmi wa CCM umepost picha hizi kwamba kikao bado kinaendelea Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa...
  17. Valencia_UPV

    Kamati Kuu CCM wapitisheni Wabunge wanaomaliza muda wao ili kuendeleza 4R

    Wabunge wanaomaliza muda wao. Walipambania Chama Enzi za DP World. Tuwarudishe Bungeni kuendeleza 4R OktobaTUNATIKI Mshana Jr Lucas Mwashambwa Mpwayungu Village
  18. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Kumekucha! CCM yaitisha mkutano mkuu wa dharura kwa njia ya mtandao

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuitisha Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa utakaofanyika kwa njia ya mtandao siku ya Jumamosi, Julai 26, 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vyetu vya kuaminika ndani ya CCM, tangazo hilo lililotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu...
  19. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Baadhi ya watia nia wa CCM tayari wamepitishwa na kamati kuu kugombea kwenye majimbo yao

  20. Street Hustler

    Kama watia Nia UDIWANI na UBUNGE wanajadiliwa na KAMATI KUU TAIFA, Je watia Nia URAISI watajadiliwa na kamati gani?

    Nini kazi ya kamati za SIASA mkoa na wilaya kazi zao zitakuwa ni kufanya Nini? Diwani kamati ya wilaya ndio inamfamu vizuri kuliko taifa kulingana na mazingira ambapo anatokea. Mbunge kamati ya mkoa ndio inamjua vizuri ikisaidia na wilaya Rais huyu anatambulika na wajumbe wa mkutano mkuu...
Back
Top Bottom