kamati kuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Mkutano wa Kamati Kuu ya CHADEMA yamekosa Jambo Moja Muhimu. Chadema jirekebisheni! Huu sio wakati wa siasa nyepesi.

    Vyombo vya habari vya Nje ya nchi na Kimataifa vyote vinazungumza jambo moja kubwa. Jambo hilo ni ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu unaofanywa na Serikali ya Rais Samia. Vyombo hivi vya Kimataifa vimeripoti matukio makubwa kabisa ambayo yanaunda Makosa dhidi ya Binadamu na Ubinadamu. Makosa...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kikao cha kamati kuu ya CHADEMa leo si halali kwa kuwa nusu ya wajumbe wake walitenguliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa

    Kamati kuu ya chadema ya leo haina coram, ni sawa na kikao cha harusi au birthday. Maamuzi yatakayotoka sio halali. Nashauri ipelekwe kesi Mahakamani kuzuia wasikae kikao kwa niaba ya chama
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tishio la CHAUMMA ndio limefanya Chadema waitishe kikao cha kamati kuu kwa dharura leo?

    Chadema wameitisha kikao cha dharura cha kamati kuu ya chama hicho. Moja ya malalamiko ya G55 ilikuwa kwamba viongozi wanafanya ziara za kukusanya posho na hawaitishi kikao cha kamati kuu kujadili kesi ya Lissu. Naona baada ya Chama Kikuu cha upinzani-Chaumma kupata kwa umaarufu, kikao...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati Kuu ya Chadema Kukutana Jijini D'Salaam kujadili Ajenda Tatu zitakazofuatiwa na Hotuba kwa Taifa

    Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani hii hapa
  5. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea kukamatwa kwa Lissu, na Heche ni kama mpango wa kuifuta No reforms no election

    Kamata Tundu Lissu, kamata John Heche, halafu kikao Cha Kamati Kuu kiitishwe, maazimio yawe No Reforms No Election ifutwe. Makamo Zanzibar anakaimu uenyekiti halafu Tume inasemwa ilikosea kusema Kusaini Kuna mwisho. CHADEMA wanasaini. John Mrema aliposema siku si nyingi watia nia wasikate...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
  7. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DODOMA: Rais Samia kuongoza Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM

    Katika taarifa yake kwa Umma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CPA Amos Makalla ameliambia Taifa kuwa CCM itafanya Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Jijiji Dodoma na Vikao vyote hivi vitaongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan. ===
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: Mjumbe wa kamati kuu UWT-Taifa achangia bati 40 kwa familia ya watoto yatima

    Wakuu naona huu ndiyo ule mwaka wa kupokea, kila mtu anajitia kuchangia hiki mara kile ilmradi tu aonekane atajwe tajwe ili kujiwekea mazingira mazuri. Mjumbe wa Mkutano Mkuu UWT Taifa Wilaya ya Handeni Bi Mariam Mwanilwa amechangia Bati 40 kwa familia ya watoto Yatima 6 iliyopo Mtaa wa Zizini...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Katika hawa wajumbe wa Kamati Kuu aliowateua Lissu, Lema pekee ndiye alistahili

    NInavyofahamu Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama ni nafasi kubwa sana, uteuzi wake inabidi uwe wa umakini mkubwa na utulivu na siyo lazima ufanywe baada ya Uchaguzi tu kwa karibu nafasi zote kama alivyofanya Lissu. Nimepitia Majina ya hao watu Lissu aliowateua zaidi ya Lema wengine naona uwezo wao...
  10. Judi wa Kishua

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu CHADEMA ina wajumbe wangapi? Wa Lissu na Wa Mbowe wangapi?

    Nimeuliza ili swali nipime utendaji kazi wa Lissu utakuwaje. Pia apart from idadi ya wajumbe wa kamati kuu ya chama. Je, kamati kuu ina nguvu gani kwenye chama? Naomba nifamishwe maana nilimsikia kwa Kikeke TAL anasema kuhusu reconciliation ameambiwa afanye hivyo na atafanya ila yeye anaamini...
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Niliona John Heche anapotea kisiasa, nikamteua Mjumbe wa Kamati Kuu

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema aliamua kumteua John Heche kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho ili kumuepusha na hatari ya kupotea kwenye siasa za juu za chama. Mbowe aemetoa kauli hiyo jana, Januari 17, 2025, wakati wa mahojiano maalum na wahariri na waandishi wa habari...
  12. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Samia aongoza Vikao Vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Kwa Mafanikio Makubwa, Je leo ni Paul Makonda au Mizengo Pinda?

    Wajumbe wa mkutano mkuu NEC === Hatimaye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amemaliza Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri kuu Leo kwa Mafanikio Makubwa kazi iliyobaki ni Mkutano Mkuu kesho tarehe 18.01.2025. Rais Samia...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Dkt Samia Aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya CCM Jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kinachoketi leo tarehe 17 Januari 2025, Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika...
  14. L

    JamiiForums Tanzania John Mnyika amaliza utata pesa za Join the Chain. Ataja kiasi kilichopatikana na kazi zilizofanya. Asema wajumbe wote wa kamati kuu walikuwa wanajua

    Ndugu zangu Watanzania, Siweki neno lolote lile zaidi ya kuweka taarifa ya John Mnyika katibu Mkuu wa CHADEMA.👎 #JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na CHADEMA kukusanya fedha kwa ajili ya uendeshaji wa Chama kati ya mwezi Februari mpaka Mei 2022. Kwa wakati huo kipaumbele cha...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA

    Kumbe Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, na sasa ni marehemu. Ilibidi nitafute taarifa za wajumbe wa kamati kuu ambao wamefariki kabla ya kikao cha kamati kuu kilichojadili ishu ya pesa za Abduli na ambao wapo hai mpaka hivi sasa. NI MZEE ALI KIBAO PEKE YAKE NDIYE KAFA...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Je, wajumbe wa kamati kuu CHADEMA wataweza kuchomoka kwenye huu mtego?

    Mnara umenipa signal kuwa mchezo unakwenda kuisha kwa dau la milioni 10 kwa kila mjumbe wa kamati kuu CHADEMA ili kwa sharti la kupiga kura kwa kipenzi cha Maza. Je, vipi hali ya uchumi ya wajumbe wa kamati kuu CHADEMA ? Watwaweza kuchomoka kwenye huu mtego?. Ijulikane mtoa pesa sio mjinga...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa kada wa CCM anapata wapi nyaraka za maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA?

    Mmoja wa waandishi wa habari leo ndugu Marwa amesema amewahi kuona maazimo ya kamati kuu ya CHADEMA kama yalivyo yakiwa mezani kwa kada wa CCM Mchungaji Msigwa ili ku preempt hotuba za viongozi wa CHADEMA kuzungumza baadaye. Mbowe ameuliza waandishi habari Msigwa ni rafiki wa nani!
  18. fasiliteta

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kamati kuu CHADEMA komaeni, mabadiliko si lelemama

    Baada ya kina boni yai,yericko, Ntobi kuleta ubwanyenye miaka nenda Rudi. Nimefuraha tangu juzi Vijana wengi wa kamati kuu wameinuka na kupambana live, mpaka kina Boni Yai ambao wanahisi wao ndio ma-first born wameanza kurudi nyuma. Komaeni makamanda, Muda ndo huu haiwezekan chairman...
  19. Bams

    JamiiForums Tanzania Kikao Cha Kamati Kuu, kwenye Habari ya Maridhiano, Mbowe akiri alifanya kosa kubwa

    Mwenyekiti Mbowe, kwa kiasi kikubwa, bila ya kuwahusisha viongozi wenzake na wanachama, ndiye aliyeingia kwenye maridhiano bandia na Samia. Na ni yeye, ndiye mara nyingi aliwashawishi wanachama na viongozi wenzake kuwa maridhiano yalikuwa na faida na dhamira njema. Leo kila mmoja ana uhakika...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Nategemea tamko 'LAINI' kutoka Kamati Kuu ya CHADEMA

    - Yaliyopita yamepita tumwachie Mungu. - Uchaguzi umekwisha tujipange kwa uchaguzi ujao. - Wanachama wa Chadema tunawaomba mshirikiane na viongozi waliochaguliwa. Asanteni kwa kunisikiliza. Expect same shit from the same goons. Rest In Peace Comred Maalim Seif, if you were you today...
Back
Top Bottom