kamala harris

Kamala Devi Harris ( (listen) KAH-mə-lə DAY-vee; born October 20, 1964) is an American politician and attorney who is the 49th and current vice president of the United States. She is the first female vice president and the highest-ranking female official in U.S. history, as well as the first African American and first Asian American vice president.A member of the Democratic Party, she served as a United States senator from California from 2017 to 2021, and as the attorney general of California from 2011 to 2017. Harris became vice president upon inauguration in January 2021 alongside President Joe Biden, having defeated the incumbent president, Donald Trump, and vice president, Mike Pence, in the 2020 election.
Born in Oakland, California, Harris graduated from Howard University and the University of California, Hastings College of the Law. She began her career in the Alameda County District Attorney's Office, before being recruited to the San Francisco District Attorney's Office and later the City Attorney of San Francisco's office. In 2003, she was elected district attorney of San Francisco. She was elected Attorney General of California in 2010 and re-elected in 2014. Harris served as the junior United States senator from California from 2017 to 2021. Harris defeated Loretta Sanchez in the 2016 Senate election to become the second African American woman and the first South Asian American to serve in the United States Senate. As a senator, she advocated for healthcare reform, federal de-scheduling of cannabis, a path to citizenship for undocumented immigrants, the DREAM Act, a ban on assault weapons, and progressive tax reform. She gained a national profile for her pointed questioning of Trump administration officials during Senate hearings, including Trump's second Supreme Court nominee Brett Kavanaugh, who was accused of sexual assault.Harris sought the 2020 Democratic presidential nomination, but withdrew from the race prior to the primaries. Biden selected her as his running mate in August 2020, and their ticket went on to win the general election in November. She assumed office as vice president of the United States on January 20, 2021.

View More On Wikipedia.org
  1. Area 56

    Kamala Harris amkosoa vikali Trump juu ya uvamizi wa Marekani huko Venezuela

    Makamu wa Rais mstaafu wa Marekani, bibie Kamala Harris amesema Donald Trump ameivamia Venezuela sio kwasababu ya kutokuwa na demokrasi au biashara ya madawa ya kulevya bali ni kuhakikisha wanatwaa mafuta yaliyopo Venezuela. Maoni hayo yameibua hisia tofauti huko kwenye mtandao wa x zamani...
  2. M

    Hamas waliposikia Kamala Harris kashindwa Uraisi walisikitika, Marekani ya chama cha democrats inapendwa sana na magaidi

    Iran, Hamas, Hezbollah, Isis, Houthi, huwa wanafurahi sana kukiwa na rais wa Marekani aliyetokea chama cha Democrats kama Biden na walitegemea Kamala Harris ashinde. Waliposikia ni rais wa Republican kashinda hawakufurahi kabisa. Huyu ni moja wa mateka walioachiwa akielezea hali ilivyokuwa...
  3. R

    Kamala Harris atangaza kutogombea nafasi ya Ugavana wa California uchaguzi ujao

    Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani kutoka chama cha Democratic, Kamala Harris, ametangaza kuwa hatagombea nafasi ya Ugavana wa California, akivunja uvumi uliokuwa ukienea kwamba huenda akawania nafasi hiyo yenye ushawishi mkubwa Harris amesema amefanya tafakari ya kina kuhusu suala hilo na...
  4. Benson Mramba

    Mama Samia Vs Lissu au Heche ni kama Kamala Harris na Trump kazi kwa CCM kuamua kuwa kama Democrats

    Kwa speed ya uongea, mass mobilization, maneno ya kejeli na Karaha, kujenga hoja n.k namfananisha Lissu na Trump. Mama Samia nae ongea yake, nafasi yake ya VP, gender,chama chake kuwa chama tawala n.k namfananisha na Kamala Harris Huko Marekani Democrats nao hawakuwa na mchakato wa nomination...
  5. mcTobby

    Ile ahadi ya Kamala Harris kwa serikali ya Tanzania itatimizwa hata baada ya kuondoka madarakani?

    Kama mnavyojua, kamala harris aliyekuwa vice president wa U.S, aliitembelea Tanzania March 29 mwaka 2023. Aliahidi kwa niaba ya serikali ya U.S. kuipatia Tanzania U.S. Dollar milioni 500 hivi. Sasa kwa bahati mbaya kichaa Trump ndio kakabidhiwa White house. Na unaona anavyoichangamsha...
  6. Luis 505

    Polisi Tanzania hawajui "Modern Policing??" Hawakuomba radhi ujio wa Kamala Harris. Hawajaomba radhi ujio wa Marais wa Afrika...

    Eti wakuu, alipokuja makamu wa Rais wa Marekani si mnakumbuka jinsi barabara zilivyofungwa na watanzania kupata bughudha ya usafiri pamoja na adha nyingine. Nilitegemea Jeshi la Polisi wangetoa statement ya kuwaomba radhi watanzania kwa usumbufu wowote uliojitokeza, ila ikawa kimyaaaaa. Juzi...
  7. econonist

    Kamala aacha Deni la bilioni 5 Tshs kwenye Kampeni ya urais

    Pamoja na kutumia matrilioni ya fedha kwenye kampeni zake, mgombea wa urais Kamala Harris ameacha Deni la Tshs Bilioni 5. Kiasi kikubwa kilikopwa kwaajili ya kulipia watu maarufu waweze kumpigia kampeni Kamala na kuvutia mashabiki wao wamchague Kamala. Mfano, Oprah Winfrey, Eminem, Usher, Taylor...
  8. G

    Marekani kuna wizi wa kura, vitambulisho haviruhusiwi kupiga kura kwenye majimbo ya Democrats, Ni Majimbo pekee aliyoshindwa Trump.

    hadi Marekani wanaojinadi ni wakuu wa Demokrasia haya mambo yapo Majimbo mekundu alikoshinda Trump ID zinahitajika, Majimbo ya Blue alikoshinda Kamala ID hazihitajiki, kama zinahitajika zisiwe na picha NON PHOTO ID - Mpiga kura anahitaji nyaraka yoyote isiyo na picha kuthibitisha utambulisho...
  9. Richard

    Uchambuzi: Uchaguzi wa Marekani, Kamala Harris alikuwa kama yuko kwenye semina lakini Donald Trump alikuwa kama yuko kiwandani akipiga kazi

    Uchaguzi wa Marekani umetoa majibu kwamba raisi ajaye ni Donald Trump akiwa raisi wa 47 wa nchi hiyo lakini pia akirudi kutawala taifa hilo kubwa duniani kwa ushindi wa kishindo. Donald Trump alikuwa raisi wa Marekani kwa muhula mmoja toka mwaka 2016 hadi mwaka 2020 aliposhindwa na raisi Joe...
  10. ChoiceVariable

    Obama anajaribu kumjenga kisiasa mkewe ili aje Kugombea Urais Baada ya Trump. Je, naye atapitia tanuru la akina Hilary na Kamala?

    My Take: Democrats wanajenga Majina ya watu binafsi badala ya chama. 👇👇 ====== Over the last few weeks and through Election Day, millions of Americans cast their votes – not just for president, but for leaders at every level. Now the results are in, and we want to congratulate President Trump...
  11. B

    Kamala Harris akiangukia pua, waliopanga kumtia adabu waangusha tafrija!

    Hii inaitwa kazi tuliyojituma tumeimaliza: Kwamba hakusikiliza: Ama hakika mission accomplished somo bayana kwa wasaka kura kokote: "Mwenye nchi, mwananchi!"
  12. Waufukweni

    Kamala Harris ampigia simu Rais Trump kumpongeza na kukubali matokeo ya uchaguzi

    Makamu wa Rais wa Marekani ambaye alikuwa Mgombea Urais wa Marekani 2024 aliyeshindwa dhidi ya Rais Mteule Donald Trump, amempigia simu Trump na kumpongeza kwa ushindi kitendo kinachoashiria amekubaliana na matokeo hayo ya uchaguzi. Pia, Soma: • Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024...
  13. Ileje

    Pamoja na Kamala Harris kutumia wasanii wakubwa wote wa Marekani bado ameangukia pua!

    Hili ni funzo kwa CCM kuwa pamoja na kuwarubuni wasanii wote kuwa machawa kipigo kipo pale pale! Mara festival ya mama, mara marathon ya mama, mara madaktari wa mama nk nk! Wananchi wamemchoka na hawamtaki!
  14. Damaso

    Kamala hatokwenda kwenye mkutano wake Chuo Kikuu cha Howard

    Tarehe 30 Oktoba 2024 kituo cha habari cha NPR, kiliweka wazi kuwa Harris atatumia usiku wa uchaguzi katika Chuo Kikuu cha Howard, HBCU ambayo ni mahali palipo na mchango mkubwa katika kumtengeneza kuwa kiongozi. Makamu wa Rais Harris atatumia usiku wa uchaguzi katika chuo kikuu cha Howard...
  15. funaku

    Je, unadhani Vyombo vya Habari Tanzania vimeshanunuliwa kumpigia chapuo Kamala Harris?

    Kwa uzoefu wangu mdogo vyombo vya habari havitoi habari zao hivi hivi tu bali hupookea fedha ili kuirusha habari flani. Katika muda wa saa 48 zilizopita uchambuzi wangu unaonesha kuwa kuna ishara kuwa baadhi ya vyombo vya habari vikubwa hapa nchini vimeanza kutuweka tayari kwa muelekeo wa...
  16. Zanzibar-ASP

    Wanawake, waarabu, waislamu na wahamiaji wanaelekea kumpa Kamala Harris urais wa USA!

    Amini au usiamini, kuna kila dalili kuwa huenda makundi ya wanawake, waarabu, waislamu na wahamiaji wanaelekea kumpa Kamala Harris urais wa USA kirahisi kabisa. H Haya ndio maoni ya wachambuzi wengi wa siasa za USA katika muda wa mwisho kabisa kuelekea kupigwa kwa kura za mwisho siku ya kesho...
  17. B

    Kamala Harris alikumbuka shuka kukiwa kumekucha!

    Kwa hakika kura hizo Kamala atazikumbuka. Ndiyo hivyo tena. Majuto ni mjukuu.
  18. Yoda

    Tulidanganywa sana kuhusu vidole viwili vilivyokunjuliwa hewani kuwa ni alama ya Shetani-Freemason!

    Tukiwa wadogo kulikuwa na watu fulani mjini kazi yao wanatembea na picha za watu maarafu kama Michael Jackson, Bill Clinton, n.k wakiwa wamepunga mkono wenye vidole viwili vilivyonyooshwa ambayo ni lugha ya alama(sign language) ya Marekani ya "i love you"/ nawapenda/nakupenda wao wanawafundisha...
  19. Allen Kilewella

    Uchaguzi wa Marekani ndiyo huamua hatima ya Dunia

    Zikiwa zimebakia siku mbili ili uchaguzi wa Marekani ufanyike, Dunia nzima imeshika pumzi ikitafakari nini kitatokea Marekani. Dunia nzima imegawanyika makundi mawili. Kundi la kwanza ni lile linalotaka Donald Trump ashinde na kundi jingine linalotamani Kamala Harris ashinde. Pande zote mbili...
  20. G

    Kamala Harris ndiye Rais wa Marekani 2024. Mashine za kura zimedukuliwa, Maharamia watapiga kura

    Rais anachaguliwa kwenye kura na kwa hali ilivyo computer zinazotumika kupiha kura zimeonyesha kuwa na hirilafu inayompa kura nyingi zaidi Kamala, uwezekano mkubwa zaidi Kamala Harris awe rais wa 47 wa Marekani. Ikumbukwe hata uchaguzi wa 2020 kuna hitilafu zilitokea kwenye computer za kupiga...
Back
Top Bottom