kaliua

  1. JamiiForums Tanzania Uongozi UWT Taifa Waridhishwa na Utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilaya ya Kaliua

    MWENYEKITI UWT AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO WILAYA YA KALIUA Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Mary Chatanda Ametembelea Hospital ya Wilaya ya Kaliua na kuridhishwa na Ujenzi wa Hospital hiyo ambapo ametoa wito Kwa Wananchi na Viongozi kuishi vizuri na...
  2. JamiiForums Tanzania Stendi Kuu za Mabasi Kigoma na Kaliua- Mabwana Afya wajipime

    Salaamu Wakuu: Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sote tuitikie: Kazi Iendelee! Moja kwa moja kwenye mada. Mbali na utaratibu mzuri walionao uongozi wa stendi wa kuwaelekeza utaratibu wa hapo stendi wasafiri wanaotumia eneo hilo wakati wa alfajiri; bado Bwana Afya...
  3. JamiiForums Tanzania Visima 10 vya Maji Kuchimbwa Wilaya ya Kaliua

    VISIMA 10 VYA MAJI KUCHIMBWA WILAYA YA KALIUA, KUMTUA MAMA NDOO KICHWANI Taarifa kutoka Ofisi ya Meneja RUWASA Wilaya ya Kaliua imethibitisha kuwa Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora Imepokea Mitambo ya kuchimba Visima Kumi (10) ambavyo vitasaidia kumshusha Mama Ndoo...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Jacqueline Kainja na UWT Wilaya ya Kaliua

    MBUNGE JACQUELINE KAINJA NA WANAWAKE (UWT) WILAYA YA KALIUA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew tarehe 13 Julai, 2023 ameendelea na zoezi la Ugawaji wa fedha za miradi ambapo amefanikiwa kukutana na kuwakabidhi Wajumbe Wote wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake...
  5. JamiiForums Tanzania Maji ya Ziwa Victoria kuwafikia Wananchi wa Jimbo la Kaliua

    Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi amesema kwamba neema ya Maji kutoka Ziwa Victoria sasa imewafikia wananchi wa Jimbo la Kaliua kwani Kampuni ya Megha Construction and Infrastructure Limited imeshafika Kaliua kuanza utekelezaji wa mradi Mhe. Aloyce Kwezi amesema Kampuni ya...
  6. JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Mawaziri 8 na Baraza la Mawaziri Kuhusu Ugawaji wa Maeneo Kaliua Yaheshimiwe

    MHE. MUNDE TAMBWE APIGILIA MSUMARI MAAMUZI YA TIMU YA MAWAZIRI NANE NA BARAZA LA MAWAZIRI KUHUSU UGAWAJI MAENEO KALIUA Mbunge Viti Maalum Wanawake Mhe. Munde Abdallah Tambwe amemshukuru Waziri wa Maliasili na Utalii kwa tamko lake la kusema Maamuzi ya Timu ya Mawaziri Nane (08) ya Baraza la...
  7. JamiiForums Tanzania Jacqueline Kainja akubali kasi ya maendeleo Jimbo la Kaliua

    MBUNGE JACQUELINE KAINJA AKUBALI KASI YA MAENDELEO JIMBO LA KALIUA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora Mhe. Jacqueline Kainja akiwa Kata ya Kamsekwa Wilaya ya Kaliua katika Uzinduzi wa Jukwaa la Wanawake amesema kuwa Kaliua imebadirika, siyo kama zamani kwani imepiga hatua kubwa kimaendeleo...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Aloyce Andrew Kwezi Aishauri Wizara ya Kilimo Kujenga Kiwanda cha Kuchakata Tumbaku Kaliua

    MBUNGE ALOYCE KWEZI AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUJENGA KIWANDA CHA KUCHAKATA TUMBAKU KALIUA Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Tabora Aloyce Andrew Kwezi wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo amewaomba wabunge wote kuunga mkono hoja ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyosomwa Bungeni na...
  9. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kaliua - Kazaroho Wala Kiapo cha Kumlinda Rais Samia Mbele ya DC ChuaChua

    Wananchi wa Kaliua - Kazaroho Wala Kiapo cha Kumlinda Rais Samia Mbele ya DC ChuaChua Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Mhe. Dkt. Rashid ChuaChua amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepeleka Shilingi Milioni 446 kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa Maji wa...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Kaliua Ampongeza Waziri Mkuu Juu ya Maelekezo kwa Jeshi la Polisi Kutatua Migogoro ya kwenye Hifadhi

    MBUNGE KALIUA, MHE. ALOYCE KWEZI AMPONGEZA WAZIRI MKUU KWA MAELEKEZO ALIYOYATOA BUNGENI KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI KWENYE HIFADHI Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mhe. Aloyce Andrew Kwezi amempongeza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kwa hotuba nzuri aliyoitoa leo...
  11. JamiiForums Tanzania Aloyce Kwezi: Bilioni 1.162 Kujenga Shule za Msingi 4 Jimbo la Kaliua

    Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoani Tabora, Mhe. Aloyce Kwezi ameishukuru Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Hassan Suluhu kwa kutoa fedha kiasi cha Shilingi Bilioni 1.162 kwa ajili ya ujenzi wa shule za Msingi 4 katika Jimbo la kaliua. Mhe. Kwezi amezitaja Shule hizo...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kaliua Aloyce Kwezi ampongeza Rais Samia kwa miaka miwili madarakani

    MBUNGE WA KALIUA MHE. ALOYCE KWEZI AMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MIAKA MIWILI MADARAKANI Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Tabora Mhe. ALOYCE KWEZI amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani huku akiainisha...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kaliua Ameitaka Kampuni ya CCECC Kuwapatia Vijana Ajira

    MBUNGE WA KALIUA AMEITAKA KAMPUNI YA CCECC KUWAPA VIJANA AJIRA Mbunge Jimbo la Kaliua, Tabora Mhe. ALOYCE KWEZI ameitaka kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) Inayotekeleza Mradi wa Ujenzi Reli ya KALIUA - MPANDA Kwa kiwango cha MGR kuwapatia Ajira vijana wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Kaliua, Aloyce Kwezi aahidi ndani ya miaka miwili ijayo kukamilisha Miradi ya Elimu na Afya

    Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Aloyce Kwezi ameendelea na ziara yake katika jimbo na kutembelea miradi mbalimbali ambapo ameongea na wananchi wa Kata mbalimbali wa maeneo hayo. "Ndugu zangu Wananchi wa Ukumbikakoko na Usinga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anawapenda...
  15. JamiiForums Tanzania Ziara ya Loyce Kwezi - Mbunge Jimbo la Kaliua, Tabora

    Mbunge wa Jimbo la kaliua Loyce Kwezi amendelea na ziara ya utatuzi wa kero za Wananchi Katika kijiji cha Kangeme Kata ya Zugimlole na amechangia shilingi milioni 5 kwa ajili ya upauaji wa Shule Shikizi. Akizungumza na Wananchi, Kwezi amewaeleza jinsi Serikali ya Awamu ya Sita Ilivyotoa fedha...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kaliua: Askari wa wanyama pori afariki

    Askari wa wanyama pori afariki dunia wakati akijaribu kumkimbiza jangili. Jangili huyo alikimbilia mtoni na akaaanza kuogelea ndipo askari huyo aliekuwa na wenzake nawe akaamua ajitose kimfuata mtuhumiwa. Alioogelea lakini alipofika katikati ya mto maji yalimzidi kwani kina cha maji...
  17. JamiiForums Tanzania KALIUA: Shaka awanyooshea vidole Maboss wanaonyanyasa wanawake Kingono asema akibainika tu hana Kazi

    SHAKA AKEMEA WALE WOTE WENYE VYEO WANAOHUSISHWA NA UNYANYASAJI WA KINGONO ASEMA UKIBAINIKA HUNA KAZI. === Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi waliopewa dhamana katika halmashauri mbalimbali ikiwemo ya Sikonge. Akizungumza leo...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Video ya ng'ombe, Pundamilia na Binadamu Ngorongoro itufundishe Maasai wana haki ya kuishi

    Maulid Kitenge na Mzee wa Kaliua mmefanya Kubwa sana kutetea uhai wa watoto wa Kimasai. Natambua Binadamu wabinafsi awatawaelewa na Binadamu wanafiki watawaambia na kuwadanganya kwamba Masai anatakiwa kuishi na wanyama Ngorongoro kama kivutio Cha utalii na kwamba Masai ni Moja ya factor...
  19. JamiiForums Tanzania Chama Cha Madaktari Tanzania chatoa tamko juu ya tukio la Kaliua

    Kwanini matukio haya ya udhalilishaji wa madaktari yanaendelea kutokea?? Taarifa zinazotrend mitandaoni ni kuwa DC alilazimisha mgonjwa atibiwe wakati rufaa ilishatolewa kutokana na hali ya mgonjwa. Kwanini techinical issues zinakuwa politicised?
  20. JamiiForums Tanzania Fisi aliyeuawa kwa risasi 49, wananchi wagawana nyama

    Fisi huyo aliyeua mtoto wa mwaka mmoja na nusu baada ya kuvamia nyumba katika Kijiji cha Kangeme wilayani Kaliua alijeruhi pia watu watatu ambao inaelezwa wanaendelea vizuri. Diwani wa kata ya Zugimlole, Ramadhan Balikeka amesema kuwa wananchi waligawana nyama na haelewi walienda kufanya nini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…