kali

  1. JamiiForums Tanzania Wakuu vigae vya kuezekea Zanzibar ni nafuu? Huku bara bei kali sana 40,000?!

    Yaani kigae kimoja 40,000? Kwamba nikihitaji vigae 2,000 nalipa almost 80,000,000?! Nilitaka nimshauri huyu jamaa aagize China ila nikaona kwanini aende mbali. Mwenye kufahamu Zanzibar bei ya kigae cha bati sand coated bei gani.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dharura mtoto 2yr anajoto kali sana mwili mzima amechemka sana

    Msaada bint yangu ana umri wa miaka2 usiku huu mda huu kapata joto kali sana mwili mzima kachemka haswaa .hapa nimefanya kumpa panadol nakumpaka vitunguu swaumu mwili mzima Msaada wenu wakuu wa tiba ya dharura kushusha joto uku tukisubiria kukuche kumuwahisha hospital
  3. JamiiForums Tanzania Pikipiki kali na imara sana 2026 ni Haojue express na Tvs 125

    Kama unahitaji pikipiki kwa usafiri binafsi au kubeba abiria chukua Haojue Express Plus au TVS 125 Na ukihitaji pikipiki ya kubebea mizigo shambani chukua Haojue 125 Mninga utafurahia usafiri wako, nimependekeza hizo kwasababu zifuatazo 1. Ni rahisi kuuza hata ukiwa umeitumia kwa mda mrefu 2...
  4. JamiiForums Tanzania Zungu apigwa onyo kali kwa kukiuka maadili kuhusu tukio la uchelewaji wa ndege ya ATCL Mwanza - Dar

    JAB YAMPA ΟΝΥΟ ΚALI MWANDISHI KWA KUKIUKA MAADILI Dar es Salaam, 23 Januari, 2026 Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), kwa mujibu wa mamlaka iliyopewa chini ya Sheria ya Huduma za Habari, Sura ya 229 na kanuni zake, imempa ONYO KALI Mwandishi wa Habari, Bw. Kelvin Justine Raphael...
  5. JamiiForums Tanzania Jua kali...!

    Salam alykum. Ndugu zangu katika imani. Jua kali sana. Kali mno...
  6. JamiiForums Tanzania IPE NYUMBA YAKO MUONEKANO WA KISASA KWA LANDSCAPE KALI KUTOKA KWETU 0624004650

    IPE NYUMBA YAKO MUONEKANO WA KISASA KWA LANDSCAPE KALI KUTOKA KWETU 0624004650 HAPA TUMEHUSIKA FROM DESIGN IDEAS PERGOLA AND OUTDOOR LOUNGE POOL CONSTRUCTION TUPIGIE UPATE KAZI BORA
  7. JamiiForums Tanzania Sasa naelewa kwanini UAE wamepiga marufuku harakati za itikadi kali nchini mwao, kuanzia misikitini hadi mitaani. Hii imepelekea nchi kufaidi amani

    Hata siku moja hauwezi kuona dubai imeingilia mgogoro wowote hapo mashariki ya kati. Hata siku moja hauwezi kuona maandamano ya kuunga mkono palestina na hamas nchini mwao Hata siku moja hauwezi kuona dubai inaendekeza itikadi na sera za MUSLIM BROTHERHOOD zilizoleta maafa mashariki ya kati...
  8. JamiiForums Tanzania Sweden na Finland sasa hivi kuna njaa kali, msijisumbue kutamani kuja

    Maisha sasa hivi Sweden na Finland kwa wahamiaji (Foreigners) ni magumu sana kupita maelezo. Kuna njaa kali sana na hii serikali zao zinafanya maksudi kwa kubana na kukaza ili tu kuzuia wahamiaji. Kazi za kubeba box zimekuwa ngumu hata za kufagia tu zimekuwa za kugombania na siyo full time...
  9. JamiiForums Tanzania VIDEO: Wamama wakikristu wakilia kwa uchungu baada ya ndugu na jamaa zao 177 kutekwa na kikundi cha itikadi kali huko kaskazini mwa nigeria

  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna harufu mbaya na kali katika Soko / Machinjio ya Kuku Shekilango (Dar es Salaam)

    Ukipita barabarani maeneo ya Shekilango unakutana na harufu kali sana ya uozo inayotoka machinjio ya kuku yaliyopo ndani ya Soko la Shekilango. Hivi Manispaa husika Ubungo / Kinondoni wameshindwa kudhibiti hali hii? Afya za walaji wanaoenda kununua na kuchinjiwa kitoweo cha kuku ikoje? HAPO...
  11. JamiiForums Tanzania Nunua gari kali, jenga ghorofa

    Hayo ni maneno ya mwanangu, akitaka ninunue gari kali, means hajaridhika na nilililonalo. Matokeo ya kidato cha pili yametoka na amefaulu kidogo nikaona nimtembeze mjini kuangalia vitu mbali mbali. Mtoto wangu akataka tuende Mlimani City, kama mnavyojua jana pale Mlimani kulikuwa na watu wazito...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza hivi karibuni ukienda upande wa photos hautokuta uzi wa warembo wa kali ukitrend namba 1 kama zamani.

    Hii shift sio ya kawaida, There is a depeer meaning.
  13. JamiiForums Tanzania Mene, mene, tekeli, na peresi: Somo kali kwa siasa za Tanzania

    Katika historia ya Tanzania, uongozi umejengwa juu ya misingi ya amani, umoja wa kitaifa, na heshima ya mamlaka ya dola. Hata hivyo, kama ilivyo kwa mataifa mengine, kauli ya “Mene, Mene, Tekeli, na Peresi” (Danieli 5) inabaki kuwa kioo cha kutafakari mwenendo wa siasa zetu. Ni ujumbe wa...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Kimara Mwisho asubuhi kuna Foleni kali isiyotembea Dar nzima ikasome!

    Hizi semi zimekuwa kero mara dufu. Kulikuwa na trafiki mmoja pale Mbezi Mwisho anazuia haya malori hadi saa 3 au saa 4 ndio anayaachia sasa sijui wamemtoa. Sasa hivi vyuma havitembei. Hapa kuna nyororo imeanzia Kimara Mwisho hadi Suka. Bila kucontrol hizi lori hata mkijenga barabara 5 kila...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Zipi ngoma zako kali 2025?

    Mwaka 2025 ulijaa burudani ya muziki wa viwango vya juu kutoka kila kona ya dunia. Bongo Flava imeendelea kubeba utambulisho wa Afrika Mashariki, Afrobeat ikizidi kutawala majukwaa ya kimataifa, Gospel ikigusa mioyo kwa ujumbe wa matumaini, huku Hip Hop ikiendelea kuwa sauti ya kizazi. Nyimbo...
  16. JamiiForums Tanzania Itikadi kali wamjia juu salah kuwatakia watu Krismasi njema

    Watu wa ovyo dunia hii kuwahi kutokea, bado wanaishi stone age 👇👇
  17. JamiiForums Tanzania Huu ndio msimu ambao bwana covax ataenda kutafuta vifungu ili atuhakikshie kuwa Yesu alikuwa ni mpalestina na itikadi kali

    Mimi sio nabii ili kabla ya tarehe 31 mtaona majaabu😄😄 Red black dosho12 Vincenzo Jr secretarybird Moisemusajiografii hamis77
  18. M

    JamiiForums Tanzania Waislam wenye itikadi kali waua na kujeruhi wayahudi waliokuwa wakisherehekea sikukuu jijini Sydney-Australia

    Tarehe 14 Desemba 2025, inaripotiwa kutokea shambulio la kigaidi katika jiji la Sydney, Australia. Kwa mujibu wa taarifa zinazosambaa, washambuliaji waliwasili katika fukwe za Bondi Beach na kufyatua risasi kwa watu wa jamii ya Kiyahudi waliokuwa wakisherehekea Hanukkah, sikukuu ya kidini ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini wapambania haki Mitandaoni wana lugha Kali sana na matusi kwa wengine?

    Chunguza kuanzia Jf , X , IG na kwengineko ni watu ambao hawana uvumilivu na lugha nzuri katika majadiliano una weza ukaandika mada mtu anakuja na matusi moja kwa moja sasa usiombee mpishane mitizamo katika hoja unaambulia matusi au wanakublock. Mimi binafsi naona mtu anayekimbilia matusi kwa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ilijaa unyenyekevu na hisia kali sana. Imeonesha kuwa alistahili kukalia kiti cha Urais

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Ameonyesha Kuumizwa sana na Kifo cha Marehemu Jenista Mhagama Aliye tangulia mbele za Haki kwa kifo cha Ghafla kilichotokea siku chache zilizopita. Rais wetu ametoa hotuba yake kwa namna ya kipekee sana ,namna iliyogusa Mioyo ya watu wengi sana waliokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…