kali

  1. Nunua gari kali, jenga ghorofa

    Hayo ni maneno ya mwanangu, akitaka ninunue gari kali, means hajaridhika na nilililonalo. Matokeo ya kidato cha pili yametoka na amefaulu kidogo nikaona nimtembeze mjini kuangalia vitu mbali mbali. Mtoto wangu akataka tuende Mlimani City, kama mnavyojua jana pale Mlimani kulikuwa na watu wazito...
  2. Kwa mara ya kwanza hivi karibuni ukienda upande wa photos hautokuta uzi wa warembo wa kali ukitrend namba 1 kama zamani.

    Hii shift sio ya kawaida, There is a depeer meaning.
  3. Mene, mene, tekeli, na peresi: Somo kali kwa siasa za Tanzania

    Katika historia ya Tanzania, uongozi umejengwa juu ya misingi ya amani, umoja wa kitaifa, na heshima ya mamlaka ya dola. Hata hivyo, kama ilivyo kwa mataifa mengine, kauli ya “Mene, Mene, Tekeli, na Peresi” (Danieli 5) inabaki kuwa kioo cha kutafakari mwenendo wa siasa zetu. Ni ujumbe wa...
  4. KERO Kimara Mwisho asubuhi kuna Foleni kali isiyotembea Dar nzima ikasome!

    Hizi semi zimekuwa kero mara dufu. Kulikuwa na trafiki mmoja pale Mbezi Mwisho anazuia haya malori hadi saa 3 au saa 4 ndio anayaachia sasa sijui wamemtoa. Sasa hivi vyuma havitembei. Hapa kuna nyororo imeanzia Kimara Mwisho hadi Suka. Bila kucontrol hizi lori hata mkijenga barabara 5 kila...
  5. M

    Zipi ngoma zako kali 2025?

    Mwaka 2025 ulijaa burudani ya muziki wa viwango vya juu kutoka kila kona ya dunia. Bongo Flava imeendelea kubeba utambulisho wa Afrika Mashariki, Afrobeat ikizidi kutawala majukwaa ya kimataifa, Gospel ikigusa mioyo kwa ujumbe wa matumaini, huku Hip Hop ikiendelea kuwa sauti ya kizazi. Nyimbo...
  6. Itikadi kali wamjia juu salah kuwatakia watu Krismasi njema

    Watu wa ovyo dunia hii kuwahi kutokea, bado wanaishi stone age 👇👇
  7. Huu ndio msimu ambao bwana covax ataenda kutafuta vifungu ili atuhakikshie kuwa Yesu alikuwa ni mpalestina na itikadi kali

    Mimi sio nabii ili kabla ya tarehe 31 mtaona majaabu😄😄 Red black dosho12 Vincenzo Jr secretarybird Moisemusajiografii hamis77
  8. M

    Waislam wenye itikadi kali waua na kujeruhi wayahudi waliokuwa wakisherehekea sikukuu jijini Sydney-Australia

    Tarehe 14 Desemba 2025, inaripotiwa kutokea shambulio la kigaidi katika jiji la Sydney, Australia. Kwa mujibu wa taarifa zinazosambaa, washambuliaji waliwasili katika fukwe za Bondi Beach na kufyatua risasi kwa watu wa jamii ya Kiyahudi waliokuwa wakisherehekea Hanukkah, sikukuu ya kidini ya...
  9. Kwanini wapambania haki Mitandaoni wana lugha Kali sana na matusi kwa wengine?

    Chunguza kuanzia Jf , X , IG na kwengineko ni watu ambao hawana uvumilivu na lugha nzuri katika majadiliano una weza ukaandika mada mtu anakuja na matusi moja kwa moja sasa usiombee mpishane mitizamo katika hoja unaambulia matusi au wanakublock. Mimi binafsi naona mtu anayekimbilia matusi kwa...
  10. L

    Hotuba ya Rais Samia ilijaa unyenyekevu na hisia kali sana. Imeonesha kuwa alistahili kukalia kiti cha Urais

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Ameonyesha Kuumizwa sana na Kifo cha Marehemu Jenista Mhagama Aliye tangulia mbele za Haki kwa kifo cha Ghafla kilichotokea siku chache zilizopita. Rais wetu ametoa hotuba yake kwa namna ya kipekee sana ,namna iliyogusa Mioyo ya watu wengi sana waliokuwa...
  11. Hakuna umeme, hakuna maji na joto kali. Hii mande si mchezo

    TANESCO NA DAWASCO SIJUI DAWASA MTAUA WATU. Kama bi shosti kaamua kutesa watanganyika basi hii yenyewe.
  12. Wazee wa Mapikipiki: Kati ya Yamaha R1, Honda CBR1000RR na BMW S100RR ipi kali kwa muonekano na performance?

    Tukiacha specifications za kwenye makaratasi, kati ya hizi chuma tatu ipi kali? Yamaha YZF R1 Honda CBR1000RR Firebrade BMW S1000RR Zote cc998, zote speed na acc kali sana.
  13. L

    Katoa onyo kali kwa cabinet na CCM: Rais anawekwa na Mungu, msianze kampeni. Ni mpango wake kusimika mtu wake 2030

    Kwa wale walioshindwa ku stomach spichi yote ya Samia jana wakamzima katikati, Rais kaongelea 2030, from nowhere! Kaanza mbio za 2030 wakati watu hatujamaliza ma mauaji ya Oct 29, wala yeye hajui hatima yake na ICC, na Gen Z, na EU, au na wanamgambo wowote waliouliwa watoto na wake zao...
  14. Leo inabidi wazungu walinde kwa silaha maduka ya msimu wa Christmas kuhofia radicals wa itikadi kali

  15. Tukishachukua Nchi, Kifo Cha Hayati Magufuli kitachunguzwa, Wahusika wa Mauaji hayo Kuchukuliwa Hatua Kali za Kisheria !!Hakuna Cha Msamaha hapa !!

    Yaan nyinyi kama mlimteka Polepole mkadhani ndio mmezima Jinsi zenu, kimewalamba !!!!. Jiandaeni !! Sisi tumeamua kuisafisha Nchi hii kuanzia Mizizi yake !!.
  16. H

    Tujiepushe na Udini, Ukanda, Ukabila na Itikadi Kali za Kisiasa* 🇹🇿

    Udini, ukanda, ukabila na siasa za chuki havina mustakabali mzuri kwa taifa letu. Hizi ni sumu zinazotutenganisha kama Watanzania, na kama hatutazikemea mapema, zinaweza kuligawa taifa, kuharibu mshikamano na kuvuruga maendeleo yetu ya pamoja. Kwa nini tunapaswa kuviepuka: ✅ Udini unavunja...
  17. Kama ndugu yako ni askari mwambia tarehe #D9 asiingie mitaani kujaribu kuzuia watanzania wenye hasira kali yasije yaka mkuta

    Kama ndugu yako ni askari mwambia tarehe #D9 asiingie mitaani kujaribu kuzuia watanzania wenye hasira kali yasije yaka mkuta. Waliopo kwenye vituo vya polisi vilivyopo mitaani wachunge sana. watanzania hawatokubali damu iliyomwagika iende bure.
  18. H

    PostGE2025 Kutokana na ukatili mkubwa unaodaiwa kufanywa na Wazanzibari kwa Watanganyika, Sheria kali ziwekwe kudhibiti uingiaji wa Wazanzibari Tanganyika

    Kila mahali wapo mashuhuda waliowaona na kuwasikia wauaji wakisema wazi kuwa eti walikuwa wanafanya hayo mauaji kulipiza kisadi kwa Watanganyika, kwa sababu polisi wa Tanganyika waliwaua Wazanzibari miaka ya huko nyuma. Kama hali ni hiyo, na kama hawa watu wana chuki za kisasi kwa Watanganyika...
  19. Saa Kali ya Kiume—Quality ya Juu, Bei Poa”

    MINI FOCUS – Saa ya kiwango cha juu yenye two-tone stainless steel, muundo wa kifahari na tarehe iliyojengewa ndani. Muonekano mtulivu, premium, na wa kuaminika kwa matumizi ya kila siku. Inapatikana sasa. Delivery kote nchini.” Bei ni TZ’s 85,000/- tu Wasiliana Nasi WhatsApp Au Tupigie...
  20. Ogopa sana hii connection inayoendana sambamba kuleta machafuko na taharuki duniani. "UKOMNONISTI-MLENGWA WA KUSHOTO-ITIKADI KALI"

    Kila muoneaji na mkandamizaji hapa duniani ni rafiki mkubwa wa china na urusi na analindwa kimaslahi na wao. Kila machafuko yanayotokea dunia kwa asilimia kubwa yanafadhiria na syndicates za kutoka mashariki ya kati. Liberals sasa Wameona vitabu vya kishoga vimepigwa marafuku, sasa wameanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…