kagera

Kagera is one of Tanzania's 31 administrative regions. The region is located in the northwestern corner of Tanzania on the western shore of Lake Victoria. The region neighbors Uganda, Rwanda, and Burundi and lies across the lake from Kenya. The region was known as West Lake before June 1979. The regional capital is the city of Bukoba. According to the 2012 national census, the region had a population of 2,458,023, which was lower than the pre-census projection of 2,763,329. For 2002-2012, the region's 3.2 percent average annual population growth rate was tied for the third highest in the country. It was also the ninth-most densely populated region, with 97 people per square kilometer.On September 10th 2016, the region was struck by an earthquake measuring 5.9 on the moment magnitude scale.
It was the biggest earthquake to have been recorded in Tanzania.Its attempted annexation by Uganda in 1978 triggered the Uganda–Tanzania War which culminated in the overthrow of Ugandan dictator Idi Amin on April 11, 1979, at the Fall of Kampala.

View More On Wikipedia.org
  1. Kagera: Rais Samia awajengea wahaya vyuo 5 vikubwa vya VETA kikiwemo cha Burugo alichotumia TZS20bn Sasa pamoja na kupenda kingereza na Ufundi watajua

    Chini ya Rais Samia Vyuo vipya 5 vya VETA vyajengwa mkoani Kagera kikiwemo cha Burugo kilichogharimu zaidi ya TZS20bn. Rais Samia amepeleka shillingi Billioni 128 mkoani Kagera kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu, bilioni 4.1 kujenga shule mpya ya bweni kwa wasichana. Katika kipindi cha...
  2. Kwanini Hoteli, Loji na Gesti nyingi za Kagera na Magharibi ya Uganda zina Magodoro yaliyozungushia Nylons?

    Na kwanini ukitoka humo ndani (kama uliingia na Mwanamke) Wahudumu wakiona Nylons ni Kavu si tu Wanakucheka bali Wanakudharau mno? ONYO Kama unajijua huna Utani wa Kijadi na Kiutamaduni na Wahaya au Watu wa Mkoa wa Kagera (Bukoba) kama Mimi GENTAMYCINE tafadhali kaa nao mbali, kwani nawajua...
  3. Mkandarasi ahidi kukamilisha kwa wakati ujenzi wa ofisi mpya ya mkuu wa mkoa Kagera

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa ujenzi wa ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa gharama ya jumla ya shilingi bilioni 9, ambapo awamu ya kwanza imepokea shilingi bilioni 4.6. Ujenzi huo...
  4. R

    Serikali Mkoa Kagera yaanzisha Operesheni maalum kukagua Afya na Usalama wa Wanafunzi shule za serikali na binafsi

    Serikali mkoani Kagera imeanza operesheni maalumu ya kukagua na kuchunguza shule za msingi na sekondari za serikali na binafsi ili kubaini walimu wakuu na wamiliki wa shule wanaokiuka kanuni za afya na usalama wa wanafunzi. Operesheni hiyo inalenga kubaini shule zenye dosari katika miundombinu...
  5. Serikali imekatisha tamaa wakulima wa kahawa mkoa wa Kagera

    Serikali mmetufanyia dharau wakulima wa kahawa Mwaka Jana tuliuza kahawa bei ya 7000+ Kwa kilo Mwaka huu mmetoa bei elekezi ya kuanzia angalau sh 5500 Ila ajabu bei imeshuka Jana mnada bei imetoka sh 3000 na inasemekana bei utashuka zaidi Wanunuzi wengi wamesusa kununua kahawa, ikisemekana ni...
  6. R

    Wazo pana la mradi mkubwa wa kukuza uchumi kwa Serikali ya Rais Samia: Kagera ijengwe SGR Mwanza to Bukoba

    Utakuwa mradi wa fungua uchumi kanda ya Kagera....wa mizigo ya Uganda, Rwanda, Burundi to Dar es salaam Port by SGR
  7. JamiiForums Founder Maxence Melo huu nawe ni wakati wako sasa Kugombea Ubunge kwenu Kagera au njoo kwetu Mara tukupe Jimbo utuwakilishe Bungeni

    Na majimbo ambayo ukija Mkoani Mara tutakupa Ugombee ni ya Tarime Mjini, Serengeti na Mwibara kwa Watu waliopinda. Cc: Maxence Melo
  8. W

    PreGE2025 Evance Kamenge atia nia Jimbo la Misenyi, Kagera

    Kada wa chama cha mapinduzi (CCM) comrade Evance Emmanuel Kamenge amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Missenyi Kagera. Hatua hiyo inaashiria dhamira yake yakuchangia maendeleo kikamilifu kwa wana Missenyi kupitia uwakilishi Bungeni. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge...
  9. A

    DOKEZO Kuhusu kudhulumiwa pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya Muleba ajira mpya (afya) 2024

    Habari!. Fikisha kwa jamii. Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:- Degree 170k *7 Diploma 150k*7 Certificate 100k*7...
  10. Waziri wa Ulinzi na JKT afafanua malipo ya Pensheni za Maveterani wa Vita ya Kagera kuanza Julai 2025

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ametoa ufafanuzi kuwa Veterani waliopigana Vita ya Kagera wanatarajiwa kuanza kulipwa Julai 2025 na sio Julai 2026 kama alivyoeleza awali wakati alipokuwa Bungeni, Juni 23 katika Bunge la 12 Mkutano wa 19 na Kikao cha 51...
  11. PreGE2025 Anitha Bunono ndio tunaimani jipya kwa mwanamke na mtoto wa kike mkoni Kagera 2025-2030

    ANITA BUNONO NI NANI, Ni mjasiriamali mbobezi katika biashara ndogondogo kwa muda mrefu hapa mkoani Kagera, Msomi aliyebobea katika sekta ya ugavi na mnunuzi kutoka chuo cha CBE cha jiji Dar es Salaam akifanya biashara binafsi na uzoefu wa kutosha katika kuanzisha miradi kwenye mashirika kama...
  12. RC Kagera: Naagiza Wabeba Mizigo Bandari ya Bukoba walipwe, Mkurugenzi aje na fedha, asipokuja nazo nitamuweka ndani

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa ameipa siku mbili Kampuni ya IFS Consulting Limited ambayo ilipewa tenda na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ya kupakia na kushusha mizigo, kuwalipa fedha wabeba mizigo malipo yao wanayodai ya wiki Tisa katika Bandari ya Bukoba Hatua hiyo imefikiwa baada ya...
  13. Stergomena Tax: Waliopigana vita ya Kagera kuanza kulipwa pensheni kuanzia Julai 2026

    waziri wa ulinzi Stergomena Tax amesema kuanzia mwezi julai wale waliopigana vita vya kagera wataanza kulipwa pensheni ameyasema hayo akiwa bungeni leo June 23 katika bunge la 12 mkutano wa 19 na kikao cha 51. “Ninayo furaha kulitaarifu bunge lako tukufu kuwa serikali ya awamu ya sita ambayo ni...
  14. M

    Mashabiki wa Simba hawakumwelewa Ahmed Ally alipowaambia kesho ni mechi ya mwisho Simba kucheza nyumbani na Kagera Sugar, alimaanisha hivi

    Washabiki wa soka nchini ni mtihani mkubwa sana, wana uelewa mdogo sana wa mambo, juzi Ahmed Ally amewaambia washabiki wajazane na familia zao kuwaaga wachezaji kwa sababu itakuwa mechi ya mwisho kwao kucheza nyumbani, wengi wametafsiri kauli hii kuwa Simba inamaliza mechi kesho.La hasha...
  15. W

    Wahaya wameshindwaje kupaendeleza Kagera wakati wapo kwenye vyeo vya juu vya kupanga namna ya kutumia rasilimali za nchi ?

    Inashangaza !!
  16. Wananchi Mkoani Kagera wanavyonufaika na uwepo wa wadudu aina senene

    Idadi kubwa ya wakazi kutoka maeneo mbali mbali ya mkoa wa kagera wamekiri kupata fursa kubwa ya kipato kutokana na kufanya biashara ya wadudu aina ya senene. Wakizungumza katika mahojiano maalum na Kcr fm wakazi hao akiwemo Mektrida Leonard wamesema katika msimu wa senene wamekua wakipata...
  17. JTC yatembelea mto Kagera ambao ni sehemu ya mpaka wa Tanzania na Rwanda

    NGARA Leo tarehe 10 Juni 2025 Kamati ya Pamoja ya Wataalamu ya Uimarishaji Mpaka wa Tanzania na Rwanda (JTC) imetembelea eneo la mto Kagera lililopo wilayani Ngara mkoa wa Kagera ikiwa ni sehemu ya mpaka wa kimataifa. Eneo hilo la mto Kagera lililotembelewa ni sehemu ya mpaka wa kimataifa...
  18. Haya yote ni Nyerere ile sera yake “Kidumu cha Mapinduzi “. Kumbe mpaka kwenye jeshi inatumika mfano vita vya Kagera

    Ukifatilia makala ya vita vya kagera kuna video zinaonyesha wanajeshi wanataamka kidumu cha mapinduzi. Ni jambo la kujiuliza kwa nini hii sera kidumu chama cha mapinduzi hipo mpaka kwenye vyomba vya ulinzi.
  19. Hivi wanawake wa kihangaza kutoka Ngara Kagera wana tabia gani?

    Kama mada inavyojieleza Naomba kufahamishwa kinaga ubaga tabia za wanawake wa Kihangaza kutoka kule Ngara mkoani Kagera Kabla sijafanya maamuzi ya kuchukua jiko.
  20. Uwekezaji wa flem ghorofani magomeni Kagera.

    Habari wakuu. Nyumba ya Zamani inauzwa magomeni Kagera. Ipo karibu na morogoro Road au kituo cha mafuta cha oilcom. Sqm 400 Hati Safi Hakuna mgogoro wa kifamilia au kiserikali. Bei ya nyumba hii ni milion 680 📱0754693556 nipigie nikupeleke.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…