Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini Seleman Bungara 'Bwege' ameandika kwenye mitandao ya kijamii na kueleza kuwa masikitiko yake ya kutomuona Zitto Kabwe, Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT-Wazalendo.
"Tunajua Tundu Lissu ni rafiki yako wa karibu sana alipopigwa risasi 16 ulisafiri kwenda Kenya...
Kipindi kile CHADEMA ilikuwa na nguvu kiasi cha kukaribia kuchukua dola. Dk Slaa alikubalika sana watu walitaka ukombozi.
Lakini Zitto Kabwe akatumiwa kuisaliti Cdm akawa anapewa pesa kwenye magunia ili awahonge wanachama makini wa CHADEMA Warudi CCM.
Hakustahili kabisa kupewa nafasi kuongea...
Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali kesi ya madai ya matusi iliyokuwa ikimkabili Kiongozi wa Chama Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, iliyofunguliwa na Harbinder Singh Sethi wa kampuni ya Pan Africa Power Solutions Ltd (PAP).
Pia soma > Zitto Kabwe afunguliwa kesi na Harbinder Singh...
Yaani Comedian kama Baba Levo anaingia Bungeni kwenda kufanya maamuzi makubwa kwa ajili ya taifa letu!
Zitto Kabwe pamoja na kujifanya mnafiki mwenye udini na anayejali tumbo lake wamekataa kumpa hat ubunge wa mchongo!
This CCM hapana
wadau kwema..?
Eh bwana kun mwenyeji yeyote wa maeneo nliyotaja hapo kwenye kichwa Cha habari?
Vip Kuna fursa zozote maeneo hayo ..iwe kilimo ama uvuvi ama biashara nyinginezo?
Ntashukuru kama ntapata mpambanaji aliyeko maeneo ya kongo pia.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema moja ya ahadi zake ni kitetea Watu wa Kigoma ambao wamekuwa wakipata usumbufu katika suala la Uraia wao.
Zitto ambaye ni Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo amesema hayo Jumapili Oktoba 12, 2025...
Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, leo Jumapili Oktoba 12, 2025 anafanya Mkutano Mkubwa wa Kampeni katika Uwanja wa Community Center.
https://www.youtube.com/live/FfJn75bEH7Y?si=XT0o3ke-vz7q0bIs...
Sitii neno.
Naleta kama ilivyo.
Najua Zitto Kabwa yumo humu.
Huenda atatuelezea dhamira na nia yake ni nini.
Je, namna hii hajawa bonge la kupe tena la kujipeleka?
Je, imekuwaje akamuacha Mpina na kumpigia kampeni mama yake?
Je, amelishwa kitu?
Namna hii, ACT Wazenguaji itashindwa kuwa...
https://www.youtube.com/watch?v=vjOkard2ik0
Mwanasiasa mkongwe Zitto Z. Kabwe ameanza mchakato wa kampeni za kuwania Ubunge, leo Jumamosi tarehe 6 mwezi wa 9, 2025 anazindua kampeni Mkoani Kigoma.
CCM ni chama chenye mizizi na matawi makubwa sana , nadhani kuna wana CCM wengi wako nje ya CCM kimkakati na tutawaona ndani ya Bunge lijalo .
Saa ya ukombozi imekaribia ila ukweli ni kwamba safari bado ni ngumu sana .
Tuendelee kuomba Mungu aingilie kati .
#free TL
Naomba qualification/CV zao.
Bila Shaka kwenye Elimu na Uzoefu wa siasa, ZITTO atakuwa anamzidi Baba LEVO.
Sifa zingine:
Baba LEVO ni CHAWA
ZITTO ni mnafiki na opportunist.
Akiwa Zanzibar' kumtambulisha Mgombea Urais wa Chama chake Luhaga Mpina, Kiongozi wa zamani.wa ACT wazalendo ZItto Kabwe amejiapiza kwamba kama Luhaga Mpina atashinda kwenye Uchaguzi huo, kama atatangazwa au kama hatatangazwa, atakuwa Rais.
Amesema vivyo hivyo kwa wagombea Ubunge na Udiwani...
Bwana Zitto tangu akiwa chadema amekuwa akipata ufadhili wa kifedha wa Rostam. Uswahiba wao umeendelea zaidi hata wakati wa sakata la fedha za ESCROW ambapo zitto alikuwa upande wa Standard Chartered Hongkon yenye uhusiano na Rostam.
JPM hakumpenda zitto maana alimjua ipasavyo vile vile...
Akizungumza katika mapokezi ya Wagombea wa nafasi ya urais Pemba leo Agosti 10, 2025 Kiongozi wa zamani wa ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa Mgombea wa nafasi ya urais ambaye ni Luhaga Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais.
Katika siasa kitu kinachoitwa Msimamo ni muhimu.
Najaribu kuangalia walichokuwa wanapambania akina Mrema TLP Lipumba na Mbowe bado sikioni.
Hivyo naona na Polepole anapita njia zilezile.
Anabomoa nyumba aliyoijenga mwenyewe na kusema haifai na wala tusiwaamini mafundi walioijenga.
Salama Wakuu, sasa nimeamini adui namba moja wa demokrasia na siasa za vyama vya upinzania ni Freeman Mbowe. Wanachama wa CDM wameteswa na wengine kuuwawa na kupotezwa kumbe FAM anajua na anaangalia tu na kengeza lake, katili sana mtu huyu. Hana tofauti na Zito ila yeye kachangamka kuliko Zito...
Kamanda Silo lazima alipe fadhili kwa alioe .teua na hapo ndio pagumu kwa Zitto Kabwe.
Simuoni akitoboa Kigoma na itakuwa ndio mwisho kabisa wa siasa zake, atakuwa na optional moja tu, ya kuwa kama Mrema.
Hata wale wenzake wa ACT sioni Jimbo la wao kushinda labda kule Pemba.
Huyo mweshimiwa mtajwa hapo juu alikua so vocal kupinga utekaji ,ukandamizaji democrasia wakati wa utawala wa rais Magufuli na yuko kimya sana bila ukosoaji wa yanayo endelea sasa Tanzania.
Alisikika mara moja Kijana wake Nondo alipotekwa ,kuteswa , lakini yupo kimyya kabla na baada ya hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.