kaburi

Kaburi is a Papuan language of the Bird's Head Peninsula of West Papua.

View More On Wikipedia.org
  1. Kijana wa Nigeria ajiuliza maswali magumu akiwazia hukumu ya kaburi

    "Kwa hiyo nikifariki malaika wawili watakuja kwenye kaburi langu na kuanza kuniuliza maswali kwa Kiarabu. Ikiwa nitashindwa kuelewa, watanitesa kijana wa kiYoruba kwa sababu tu ya kushindwa kuelewa Kiarabu kaburini? 😂"
  2. Baada ya Chadema kujimaliza yenyewe kisiasa, ni chama gani cha siasa kitafuata nyayo na kujichimbia kaburi la sahau kisiasa Tanzania?

    Maana kwasasa, Kimebaki kama kituo cha mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kikijikita zaidi katika kuchakata porojo na uzushi ambao hauwasaidii bali kuwapoteza zaidi, na kosa kubwa zaidi ni kufanya makao makuu yao kua Nairobi chini ya yule mdada mkuu wa vibaraka aliewahi...
  3. Kuna madhara gani nikigeuza kaburi

    Kama mnavyojua /ona makaburi mtu akizikwa yanakuwa yameelekezewa upande mmoja kama ni kusini kusini mashariki mashari je!kwa mfano makaburi sasa yameelekea mashariki ki marehemu wangu nikageuzia kaburi lake kusini je!kuna madhara gani?
  4. J

    Simulizi ya maisha: KABURI LA MSOMI

    KABURI LA MSOMI. Karibuni sana wapenzi wa simulizi, leo naitambulisha kwenu simulizi hii iitwayo KABURI LA MSOMI. Ndani ya simulizi hii utakutana na visa, mikasa na matukio ya maisha kwa ujumla, vimbwenga, mapenzi wivu, usaliti, chuki na mauaji. Mwandishi anakukaribisheni kutoa maoni ushauri na...
  5. 14. Tatizo la JKT si vijana waliopelekwa huko - tatizo ni taifa lililoamua kuigeuza JKT kuwa kaburi la ndoto zake lenye bendera juu

    Unajua tofauti kati ya JKT ya Mwalimu na hii ya sasa? JKT ya mwalimu ilikuwa sehemu ya kuishi, kufanya kazi, kujenga taifa, kuwa mtu huru mwenye taaluma na hadhi. JKT ya sasa ni sehemu ya kubana pumzi, kufukuza akili na kurudisha mtu kijijini akiwa amechoka zaidi kuliko alivyoingia. Na ndiyo...
  6. Mwili wa Jenista kuzikwa karibu na kaburi la Mume wake

    Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Senta B yaliyopo kijiji cha Ruanda, Halmashauri ya Mbinga mkoani Ruvuma, karibu na kaburi la mume wake, marehemu Leonard Mhagama. Mwili wa marehemu umewasili katika kijiji cha Ruanda tayari kwa...
  7. Kaburi la CCM limeandikwa: DOB 05/02/1977, DOD 29/10/2025

    Kaburi la CCM linasema tarehe ya kuzaliwa ni 05/02/1977 na tarehe ya kifo ni 29/10/2025. Leo 08/12/2025 ilikuwa 40 ya kuadhimisha kifo cha CCM. CCM imeishia kule kule vyama vingine vya aina yake kama Ba'ath Party vilipokwenda, kwenye jalala la historia.
  8. PostGE2025 Mwigulu: Mnataka tuseme idadi ya waliokufa kwani tunafanya sherehe ya vifo?

    Yaani zinatajwa kila kitu ila hakuna kutaja idadi, ilitajwa idadi ya waliokufa kwwnye mv bukoba, ajali train kule Dodoma idadi ilitajwa, japokuwa na yenyewe namba zilipikwa, leo kutaja idadi ya waliokufa kwwnye maandamano ndio inamaanisha watu wanasherekea mauaji yaliyotokea?🤣🤣 Mwigulu...
  9. S

    Baada ya taarifa ya CNN kutoka, serikali ilishwandwa nini kualika mara moja vyombo vya habari vifike kwenye eneo linalodaiwa kuwepo kaburi la pamoja?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na mpaka sasa sipati majibu kwani nilitarajia kuona serikali inaalika vyombo vya habari vya ndani na nje mara tu baada ya taarifa ile ya CNN kutoka Tukumbuke, kuzika watu wengi kwenye kaburi la pamoja, ndio tuhuma kubwa na mbaya kuliko zote iwapo itathibitika kuwa...
  10. Waliokufa kwenye Maandamano, wanataka kuwazika kwenye Kaburi ya Pamoja. Tunaomba watoto wetu tukawazike

    Haya ni malalamiko nimetumiwa na mdau. Sijathibitisha. Kama ni kweli, naomba mtuupatie miili ya watoto wetu tukawazike wenyewe kwa gharama zetu. TAARIFA MUHIMU. Serikali inaendelea kutoa miili ya wapendwa wetu waliouwawa na Vikosi vya Samia Mahospitalini na kwenda kuwazika kwenye Makaburi ya...
  11. Video ya kusikitisha ikimuonesha mchungaji akiwa ndani ya kaburi la wakristu waliouliwa na kusema wamechoka kuzika wenzao kila siku

    Mauaji ya wakristo kutokana na imani zao huko nigeria yamekithiri sana.
  12. GE2025 Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanafamilia ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipozuru katika Kijiji cha Mwitongo Butiama Mkoani Mara...
  13. Si kila mtu anapaswa kutembelea kaburi la Mwl. Nyerere,wengine ni wachafu kwa matendo

    Imekuwa ni fashion kwa wanasiasa kila anayekwenda Mara lazima aende kwenye kaburi la Nyerere. Imekuwa ni kasumba ya kwenda kujikosha ionekane kwamba wanafuata misingi ya Mwalimu. Lakini hebu niwaulize swali nyinyi mnakwenda hapo. 1. Je matendo yenu na ya Mwalimu Nyerere yanaendana? 2. Je falsafa...
  14. Je? Ungependelea uzikwe vipi? Na udongo ama ujengewe kaburi la simenti?

    Naomba kuuliza je? Haya makaburi ya kujengea uimara wake yatadumu muda gani? Mm nimeshuhudia maranyingi makaburi ya zege ila nina mashaka na uimara wa hizo zege mkumbuke kaburi ni la milele. Mm napendelea kufukia na udongo maana inaendana na uhalisia nyumba ya milele, je haya makaburi ya zege...
  15. M

    Serikali itupie macho Kaburi la shujaa Balozi,Luteni Jenerali,Silas Peter Mayunga lililopo Maswa

    Licha ya kuwa mmoja wa viongozi mashuhuri na mashujaa waliolitumikia Taifa kwa uadilifu na uzalendo wa hali ya juu, kaburi la Balozi na Luteni Jenerali mstaafu Silas Peter Mayunga limeonekana kuwa katika hali ya kusikitisha, kana kwamba limetelekezwa. Kaburi hilo lililopo katika makaburi ya...
  16. Wajumbe siyo watu wazuri wamchimbia kaburi mgombea ubunge

    GT Da hawa ndugu zangu ushamba umezidi aiseee.
  17. Kilimanjaro: Wasiojulikana wafukua kaburi la mwenye ualbino, na kuondoka na baadhi ya viungo vya mwil

    Jamii ya Kindi Juu, wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, imeingia kwenye taharuki kubwa baada ya watu wasiojulikana kufukua kaburi la Victoria Mmasi, aliyekuwa mlemavu wa ngozi (albino), na kuondoka na baadhi ya viungo vya mwili wake. Tukio hilo la kusikitisha limetokea usiku wa kuamkia Juni 21...
  18. Moshi: John Heche atembelea Kaburi la Marehemu Philemon Ndesamburo, na kuweka mashada ya maua

    Asubuhi ya leo tarehe 30 Mei 2025 Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche pamoja na ujumbe wake wakiwa Moshi kuendelea na Operesheni #NoReformsNoElection wamepata wasaa wa kutembelea kaburi la mwasisi wa Chama Marehemu Philemon Ndesamburo, na kuweka mashada ya maua kama ishara ya kutambua...
  19. Kaburi sio nyumba /wala makazi ya milele

    Habari za wakati huu. Nimeona nichangie jambo moja kuhusu msamiati wa kipagani ulioingizwa katika midomo ya baadhi ya wafuasi wa dini za kiislamu na kinaswara (kikristo) kwa kusema kuwa kaburi ni nyumba au makazi ya milele! Mara nyingi maneno haya yamekuwa yakitolewa na watangazaji...
  20. Haya yanayosadikika kuhusu Kaburi la Siri la kijiji cha Lubasazi la Bibi Ajuza ni ya kweli?

    Mwaka 1982, kijiji cha Lubasazi kilichopo Kata ya Kolero, Wilaya ya Morogoro Vijijini, kilipata msiba mzito. Mzee wa heshima kijijini hapo alifariki. Halikuwa jambo la kawaida watu walianza kusema yule Mzee hakufariki kifo cha kawaida, kuna mkono wa watu. Baada ya mazishi maisha yaliendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…