Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (born February 24, 1956) is a Tanzanian lawyer who currently serves as the country's Minister for Constitution and Legal Affairs since April 2021 appointed by President Samia Suluhu. He was a Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation appointed by President John Pombe Magufuli since 2020 to 2021.
Hawa viongozi wetu wanalitia aibu Taifa sana. Hivi hawakujua kabisa kwamba kabla Papa hajaonana nao tayari alikuwa na full CV zao?
Ama ni katika kujikombakomba ili muonekane hamna tatizo na Katoliki na mmepata elimu zenu kwenye taasisi zao!
Halafu hawa mapicha picha ya kuchanganya mchanga na...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Leo tarehe 19 Desemba, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo kwa pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Palamagamba Kabudi walikutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya...
Kabuni amesema anmshukuru sana rais samia kwani amekuwa mfariji mkuu wa Taifa wakati anafungua bunge kwa kulilia maisha ya watanzania ambao wamefiki "Bila hatia"
Pamoja na kumsifia Mwigulu akisema ni mara tatu hii anamsikia akiongea kilio cha maisha ya watanzania walioondoka "ambao hawana...
Profesa Palamagamba Kabudi aliwa kusema, "Ninawaogopa sana watanganyika kuliko wazanzibari, kwa sababu wazanzibari mambo yao yoote yapo mezani, watanganyika wameyashika moyoni watu wa namna hiyo wakija kugeuka ni wabaya"
Tuombe mahojiano kati ya Prof Lumumba na Prof Kabudi kuhusu demokrasia na katiba. wote ndiyo wabobeaji wa sheria wa EA ingawa mmoja ni chawa na mtoa macho mkubwa. Hii itasaidi tujue tunaenda wapi kwa hoja.
https://youtu.be/QLp9ydc6K3I?si=ipvBzt3KHGEhw2sj
Ukinzisha biashara ya kuuza maji na kuyaita uhayani water utauza sana
Najiuliza Proffesa Kabudi alirogwa na nani?
Yaani anamfananisha Samia na Nyerere kama ulivyomfananisha Magu na Mungu na baadae Mungu kukuonesha hafananishwi akamtwaa.
Wananchi ni wazalendo
Wachezaji ni wazalendo zaidi
Viongozi ni wazalendo kiasi
Sasa:-
Mpira ni uwekezaji, tena wa muda mrefu - ili tupate ushindi.
Leo goli la mguu limegoma;
Goli la kichwa limegoma;
Goli la mkono nalo limegoma!
Watanzania wanaumia!
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akifungua Mafunzo ya Waandishi wa Habari na Utangazaji Kanda ya Nyanda za Juu Kusini kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 tarehe 18 Agosti 2025 katika Ukumbi wa City Garden, jijini Mbeya
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Paramagamba Mwaluko Kabudi amelazimika kuingilia kati sakata la uchaguzi mkuu wa TFF baada ya Naibu Waziri wake Hamis Mwinjuma "MwanaFA" kushindwa kuyafanyia kazi mapendekezo ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT).
Taarifa kutoka Wizara ya...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba akionyesha Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card) kinachotolewa na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB mbele ya mgeni Rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Mpango wakati wa...
Majuzi niliposikia kuna wasanii wanaojulikana kushambuliwa na vitu mbalimbali jukwaani baada ya kutamka "Mitano tena", na nikakumbuka mada hii aiyoitoa Prof Kabudi kwa vijana pale Nkurumah hall UDSM.
Jee CCM imesubiri hadi wengi ndio mabovu ya nchi ndio yajadiliwe na haya yanatokea?
Jee watawala...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amemtangaza rasmi Bw. Rashid Mijuza kuwa Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya kumhamisha na kumpeleka Makao Makuu ya Wizara hiyo aliyekuwa Meneja wa Uwanja huo Bw. Malinde Mahona ambaye atakuwa msimamizi wa...
"...Mheshimiwa Mwenyekiti namuuliza kaka yangu Kabudi mheshimiwa waziri, na nilikuona kutokana na mgogoro uliopo kwenye timu zetu hizi kubwa mbili nilikuona ulitoka saa nne usiku kwenye kikao lakini baada ya kutoka mle shaaa, mpaka leo hatujajua kilichotokea kule, natanguliza maneno haya ili...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema Rais Samia ameweka mazingira wezeshi kwa Wasanii nchini kwa kuwapa mitaji ya kuboresha kazi zao ambapo katika uongozi wake amefufua mfuko wa Utamaduni na Sanaa uliokuwa umekufa kwa zaidi ya miaka 10 na kipindi...
"Nawaonea wivu kwasababu sisi tulikuwa tunatuma habari kwa simu. Baadaye zikaja teknolojia nyingine. Ninyi mmepiga hatua lakini hata nyie msilemazwe na kufubaa na teknolojia, hata hii akili mnemba imeundwa na binadamu na inachukua maudhui kutoka kwa watu.
Nawashukuru wadau wote na mliotoka nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.