kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa

    Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa. Kama mtu anaweza kutoa rushwa kama hivi ili achaguliwe inamaana yeye ni rushwa rushwa tu kwenye maisha yake anaweza kupokea rushwa pia anaweza kuuza rasilimali za nchi. "Mimi sitaki rushwa na ninapinga kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea kati ya Serikali ya Chama tawala ,vyombo vya ulinzi,dola na mfumo kuna siri au tukio zito sana tulitarajie kabla ya Agosti 3.

    Wakuu natumai mnaendelea vyema.kwa wale wanaofuatilia matukio mbalimbali ya kisiasa na kijamii nchini mnakubaliana nami kwamba kuna mambo hayako sawa kabisa. Kuna matukio ya wazi mfano kutovunjwa kwa Bunge,mvutano wa Vyombo vya ulinzi na Taasisi za kidini(shambulio la kitima,kufungiwa kanisa la...
  3. JamiiForums Tanzania Huu wimbo umfikie Raisi Samia sikiliza hadi mwisho Kuna watu walimwona Kabla.

    GT Sanaa ilikuwa zamani siyo sasa wanashindana kutingisha makalio tu hawana ubunivu wowote. Kwa wimbo huu nadhani Prof J alimwona Samia ndotoni anakuja yanayotendeka sasa ni yaleyale 100% kwenye wimbo huu. Kiufupi watawala kuanzia awamu ya tano hadi sasa wana dhambi nyingi sana japo...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Mapema hata kabla majina matatu hayajarudi wanaCCM wameonyesha mpasuko mkubwa

    Kauli hizi zimetawala Tanzania nima. Jina la huyu lisiporudi mimi nitakuwa upande wa fulani. Jina la huyu lisiporudi mimi sipigi kura. Jina langu lisiporudi mimi ninazila. Mpasuko mkubwa sana mapemaaa
  5. JamiiForums Tanzania Amir Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga Cha Iran kabla ya kuangamizwa alisema anatamani kumuua Trump na wenzake

    Amir Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga cha Walinzi wa Mapinduzi ya Irani (ambaye aliangamizwa katika shambulizi la ufunguzi wa Operesheni ya "Simba Anayeinuka"), alisema katika mahojiano ya 2023 ya TV: "Tunatamani kuwaua Trump, Mike Pompeo (aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje katika...
  6. JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri kabla sijachimba shimo la choo la kisasa?

    Mambo vipi wakuu, Nipeni ushauri nimefikia hatua ya kujenga karo la choo. Je ni Shimo lipi linafaa kwenye ardhi ya Udongo wa kichanga (SAND SOIL) kati ya Lile la kisasa lisilojaa ama yaja yetu ya kawaida. Kuna Uzi humu (MODERATORS NAOMBA MUUSHUKIZE) Ulikua inaongelea hasara za mashimo ya...
  7. JamiiForums Tanzania Je, Mpango wa Kumuua Tundu Lissu kwa Sumu Ukiwa Kizuizini Ni Dalili ya Taifa Lenye Hofu ya Ukweli na Kukwama Kisaikolojia Kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025?

    Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, kuna taarifa za kijasusi zinazoibua hofu kuhusu mpango wa kumuwekea sumu Tundu Lissu akiwa kizuizini. Swali kuu ni: tunapoingia uchaguzi mkuu wa 2025, je, hii ndiyo lugha ya kisiasa tunayoruhusu kama taifa? Kama msomi wa saikolojia ya siasa, jaribio la...
  8. JamiiForums Tanzania Nakusihi ukipanda gari unaposafiri tanguliza jiwe kwenye gari kabla ya kupanda kafara kubwa zinatolowa kwa kasi mno mwezi huu hadi wa 10 mwishoni

    Nakusihi ukipanda gari unaposafiri tanguliza jiwe kwenye gari kabla ya kupanda kafara kubwa zinatolowa kwa kasi mno mwezi huu hadi wa 10 mwishoni na kama huna ulazima wa kusafiri tulia nyumbani. Asili huponya Asili Ina sili. Mazarau hasili hufa kikatili😂😂😂🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️
  9. JamiiForums Tanzania Akipatikana na Hatia, Hukumu ya Kunyongwa Mtuhumiwa Lissu itekelezwe kabla ya Oktoba 2025 kabla ya KUTIKI

    Mahakama iharakishe Hukumu dhidi ya Lissu ili akipata na Hatua Anyongwe Hadi Kufa kabla ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025
  10. L

    JamiiForums Tanzania Haya ni mambo matatu ya kuzingatia kabla ya Kufungua Kampuni

    Kampuni ni model ya biashara inayopendwa sana na ambayo infant ni rahisi sana ku scale. Lakini Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla hujafanya maamuzi ya kufungua Kampuni; 1. Capital Mtaji una play part kubwa sana ya Kampuni, ni lazima ujue unahitaji kuandika ni capital kiasi gani utaanza...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ewe CEO wa kampuni hakikisha unafanya haya kabla ya tarehe 30/6/2025 kuepuka faini ya TZS 300,000

    • Kulingana na Kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Kodi ya Mapato ya mwaka 2004, pamoja na kifungu cha 39 na 48 ya Sheria ya Usimamizi wa Kodi ya mwaka 2015, kila kampuni iliyosajiliwa, biashara ya ubia, na biashara binafsi yenye mauzo ya kuanzia TZS milioni 100 kwa mwaka, inatakiwa kuandaa na...
  12. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu prenuptial agreement au mkataba wa ndoa kabla ya kuoana?

    Wakuu kwenye pita pita zangu nimekutana na hii kitu inayoitwa prenup, ila nimeona nikama ina sound good. Hivi kwa sheria za bongo hii kitu vipi ninaweza kuifanya au sheria hairuhusu?? Wanasheria wa jf mje mtuambie.. Nilivyoielewa kwa ufupi... Prenup ni kifupi cha neno la Kiingereza...
  13. JamiiForums Tanzania Makachero wa jf tukutane hapa. Je Rusia kua na taarifa za mashambulizi ya marekani uko Iran. Ni kudorola kwa ufanisi wa FBI na CIA?

    Bila kubeza ubora wa idara za ki usalama za Rusia toka kipindi cha Coldwar, ikasemekana KGB ndo shirika tishio kwa intelengnce kwa kipindi icho ikafatiwa na wana wa malkia MI6 , CIA walikua wanapata taarifa kutoka kwao, na japo kwa ishikiano wote ila bado walikua wana salimu amri kwa ubora wa...
  14. JamiiForums Tanzania Pensheni ya Wabunge ilipwe Leo kabla ya Bunge kuvunjwa

    1. Pensheni ya Wabunge kwa 'utumishi' wao wa Miaka 5 ilipwe Siku ya kuvunja bunge kupitia akaunti za benki kabla ya parapanda ili kila mtu apambane kivyake na kuwaza vingine. 2. Mambo ya kujazishana mifomu na kufuatilia Hazina sio. **Wabunge wa COVID 19 nao wanalamba mamilioni kimasikhara...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Huu Hapa Ukweli Mchungu Kuhusu MAFANIKIO Unaopaswa Ku-ufahama Mapema Sana Kabla Hata ya Kufikisha Miaka 25. Wengi Hujutia Sana Kwa Kuchelewa Kuufahama

    Ukweli Mchungu ni Kwamba.... Kila kitu kinachotokea kwenye maisha yako kina mzizi mmoja: NAMBA. Na cha kushangaza zaidi? Namba hazidanganyi. Hazisahau. Hazisamehi. Kipato chako ni namba Matumizi yako ni namba Akaunti yako ya benki ni namba Uwekezaji wako ni namba. Na hata kufeli kwako —...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa wabunge wote kabla ya kuelekea majimboni mnakumbushwa kuja kuoga dawa kuondoa nuksi na kukatwa jina mwezi huu ni mgumu sana sana

    Mimi kama mganguzi napenda tu kuweka mambo sawa! Mwezi huu ndio utakutana na wagonjwa wengi wenye sukari na presha ! Mwezi wa kujidhalilisha ndio huu ! Na Mimi Sasa nimefungua dirisha kuanzia Leo kutakuwa na huduma ya kuoga dawa kabla hujarudi jimboni na hujakutana na wajumbe wenye roho mbaya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Haikuwa halali Zanzibar kuanza kutangaza kusogeza mbele kuvunjwa Baraza la Wawakilishi kabla ya Samia kusogeza mbele kuvunjwa kwa Bunge hadi August

    Nchi hii bwana inaendeshwa kinyume sana, yaani vurugu tupu. Sasa Raisi wa Zanzibar anatangaza kusogeza mbele kuvunjwa kwa Baraza la Wawakilishi kabla ya Raisi wa Tanzania Samia kutangaza kusogezwa mbele kuvunjwa kwa Bunge hadi August. Hivi nani hasa ni Raisi wa Tanzania hapa, au ipi ni mamlaka...
  18. 4

    JamiiForums Tanzania Nyie machawa ,mbumbu je mwajua Samia kabla ya kuwa mkuu wa wanchi amenya kazi na mh lissu

    Wana jf anani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake. Nipo na swali nyie machawa hasa mjiangushao juu ya majukwaa kwa mamziki ya kijinga, tz imekua na wanamziki wengi sana ,mpaka sasa hakuna mwanamziki hapa tz amevunja record yao kwa tunzi labda maokoto tu. Sasa sikilia Samia na...
  19. JamiiForums Tanzania Drone za Mwisho kurushwa na Iran asubuhi kabla ya usitishaji wa Vita hatimae za karibia kufika Israel zadunguliwa

    28m ago Israel claims intercepting drones ‘apparently from Iran’ Live Update From the Liveblog of Tuesday, June 24, 2025 IDF downs 2 drones likely launched from Iran before ceasefire By Emanuel Fabian Today, 11:24 pm Two drones launched from Iran at Israel were intercepted by the Israeli...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Je upo ushahidi Nyerere aliwasaliti Waislamu, Je yapo makubaliano yeyote ya maandishi waliyoingia baina yao kabla ya uhuru

    Wenye ilimu karibuni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…