kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo mwanaume unatakiwa uvijue kabla havijakuua

    Mwanaume hukuzaliwa kuwa mtumwa wa tamaa ya mwili wako Lakini usipozinduka mapema, tabia zako sio tu zitakuua bali zitakuzika ukiwa hai. Wengi wa wanaume hawaharibiwi na maadui zao....bali na tabia zao... Zifuatazo ni tabia, uraibu na fikra ambazo zinawaua wanaume kimya kimya 1. Ngono (sex)...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Laptop Gani Inafaa Kwa Kazi Yako? Usinunue Kabla Hujasoma Haya Mambo 7 Muhimu!

    Laptop Gani Inafaa Kwa Kazi Yako? Usinunue Kabla Hujasoma Haya Mambo 7 Muhimu! Kama unavyonunua mashine kwa mgodi au mtambo kwa kiwanda, laptop pia ni zana ya uzalishaji. Si mapambo. Lakini watu wengi hununua kwa pupa—wanaangalia muonekano au bei ya chini—halafu baada ya wiki mbili wanaanza...
  3. JamiiForums Tanzania Weka utabiri wa top four yako kabla ya ligi hazijaanza kutimua vumbi

    Ligi kuu nchini Tanzania inatarajiwa kutimua vumbi mwezi september ambapo atakuwa anatafutwa bingwa mpya ya NBC premire league kabla ya ligi kuanza nimeona isiwe na shaka nije na moja ya top four yangu kabla ya ligi kuanza kutimua vumbi ..licha ya hivyo hii pia nimetabiri top four kwa baadhi ya...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi!

    Wanabodi, Jana nilipandisha bandiko hili humu jukwaani Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini Leo hilo jambo, limetokea kweli GE2025 - Rais Samia atengua uteuzi wa Humphrey Polepole...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Usifungue Kampuni Mpya kabla Hujapitia hii Checklist

    Umiliki wa Kampuni unatakiwa kua very transparent, sababu una deal na serikali, una deal na Wafanyabiashara wenzio, una deal na wakopeshaji, una deal na wateja, na wafanyakazi pia. Sasa Hii ni checklist ya mambo muhimu ya kuangalia kabla hujafungua Kampuni; 1. Malengo ya Kampuni Inabidi ujue...
  6. JamiiForums Tanzania Tayari huyu mpenzi wangu kaniahidi kunizalia mtoto kabla ya uchaguzi mkuu wa ndani wa CCM mwaka 2027

    Wakuu ninaandika huu uzi nikiwa na furaha isiyoelezeka. Habari inahusu huyu mpenzi wangu niliyemtolea taarifa kwenye huu uzi; Taarifa kwa Umma: Nimezama kwenye penzi la single mama Baada ya majadiliano ya kina huyu bibie kaahidi Mungu akipenda kunipatia mtoto kabla ya uchaguzi mkuu wa ndani wa...
  7. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Azam fanyeni utafiti kabla kuongea kitu

    Jana nilikuwa namuangalia Patric Nyembela, mtangazaji wa azam akimuhoji Ahmed Ally, kwenye night gala ya Chan. Kwenye mahojiano hayo, alifanya rejea kwamba kuna mtu mmoja huko Iraq alikuwa na kauli ya vituko sana, na akamtaja mtu huyo kuwa ni Chemical Ally, sio sahihi. Chemical Ally alikuwa ni...
  8. JamiiForums Tanzania Huu Hapa Ukweli Mchungu Kuhusiana na Maisha Unaopaswa kuujua mapema Kabla Hata ya kufikisha miaka 18

    Ukweli ni Kwamba MAISHA NI KUPANGA NA KUPANGA NI KUCHAGUA Na cha kusikitisha ni kwamba… KILA SIKU UNACHAGUA — hata bila kujua. Kila jambo unalofanya ni uchaguzi: – Unapochagua kulala badala ya kusoma... – Unapochagua kula bata badala ya kuwekeza... – Unapochagua kulalamika badala ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nyie Wajasiriamali zaidi ya 1,400 mnakumbuka mlivyopanga biashara zenu chini kabla ya Rais Samia hajatoa TZS27bn za ujenzi wa soko kuu la Mwanza?

    Rais Samia ametumia TZS26,61bn kujenga Soko Kuu Mwanza linalochukua wafanyabiashara 1,400 na maduka 500, maegesho ya magari zaidi ya 190 kwa Pamoja. Madhumuni ya Rais Samia ni kuongeza mapato ya ndani kwa halmashauri pamoja na kuhamasisha shughuli mbalimbali za kibiashara Ukanda Mzima wa ziwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tumeshampata!’ – Yombo Vituka Yamlilia Fulgence Lwiza Kabla ya Kura za CCM"

    "Tumeshampata!’ – Yombo Vituka Yamlilia Fulgence Lwiza Kabla ya Kura za CCM" Na Mwandishi Wetu – Dar es Salaam Kata ya Yombo Vituka, Wilaya ya Temeke, imeingia katika hekaheka za uchaguzi wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku jina la mgombea mmoja likianza kung’ara kabla hata ya kura...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa watia nia wa CCM wanaogawa pesa kabla majina hayajarudi wana uhakika gani?

    Wanagawa pesa kama njugu bila hata ya aibu. Wana uhakika gani kama majina yao yatarudi? Na hizi pesa wanazogawa wamezipata wapi? Kwa nini Takukuru haiwachukulii hatua?
  12. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Ni ngumu kujenga Demokrasia kwenye nchi masikini

    Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila anasema, Akirejelea Utafiti unaosema kwenye nchi ambazo watu wake wanakipato chini ya DOLA 1,000 Kwa mwaka zinaweza kuishi kidemokrasia si zaidi ya Miaka 10 tu na baadae kuangukia kwenye Tawala nyingine zisizo za...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Swali la Kikatiba na Kisheria: Chadema wanataka Reforms kabla ya Uchaguzi Mkuu, pendekezo au takwa hili wamelifikisha mamlaka ipi ili lifanyiwe kazi?

    Nimekuwa nikijiuliza swali kuhusu madai ya Chadema ya Reforms katika taratibu na kanuni za uchaguzi Mkuu, ila hadi sasa sijaelewa ikiwa haya madai ni tamko tu la Chadema kama chama, au tamko la Mwenyekiti Lissu, au labda limewasilishwa rasmi katika mamlaka fulani ili lifanyiwe kazi. Ningeomba...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Akina dada kumpa Ex wako penzi siku moja kabla ya harusi huwa mnafikiria nini?

    Inashangaza sana mdada anakuwa na mtu wake kwa muda mrefu lakini hamuoi na wala hana mpango wa kumuoa. Lakini anakuja kupata mtu wa kumuoa cha ajabu kabla ya harusi anakwenda kumpa penzi na anagongwa kana kwamba sio mchumba wa mtu. Hii inashangaza sana.
  15. JamiiForums Tanzania Mpaka muda huu REFORMS kabla ya UCHAGUZI/ELECTION zina hitajika kuanzia ndani ya vyama vya siasa mpaka kitaifa

    WAKUUU nimeona kuahirishwa kwa kikao cha masisiemu leo. Kiukweli nimefurahia sana sana sio kwa kidogo bali kwa wingi sana. Kama ndani ya chama chao wameanza kumkataa live live basi wale wazee wa NO REFORMS NO ELECTION zidisheni mashambulizi kila kona kila idara kwa kila mtanzania wa bara na...
  16. JamiiForums Tanzania Kabla hujapewa chako, tumikia cha mtu mwingine kana kwamba ni chako

    Ujasiriamali si jina la kampuni, si cheo au mtaji mkubwa unaoonekana kwa macho. Ujasiriamali ni mtazamo wa moyo, ni tabia ya akili, ni mabadiliko ya roho ndani ya mwili wa mtu aliyeko kazini lakini anayefikiri na kutenda kama mmiliki. Kuna watu wanatembea kazini kila asubuhi kama watalii kwenye...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Ili tufikie malengo ya dira ya taifa kabla ya muda tarajiwa inabidi kupunguza Pato la wanasiasa wapewe wataalamu wa kada mahususi

    Nimeisikiliza dira ya taifa ya kuelekea 2050 japo naona haijatutendea haki kwani imetukadiria kwa udogo lkn kama hatutakuwa serious tunaweza tusitoboe. Jambo muhimu ninalopendekeza ili kufikia malengo hayo kwa haraka lazima tupunguze maslahi kwenye siasa na tuweke hayo maslahi kwa wataalamu na...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa ninavyokujua GB 64 hapo Karume kabla ya hii Press yako yenye Ukweli mahala fulani ulianza kwanza kupiga kile Kitu chako cha hapo Shaurimoyo

    GB 64 Sisi Masela Wenzako tumeshabadilika na Kukua sasa mbona Wewe bado tu Usela uko damuni? Nimecheka sana japo umesema Ukweli!!!
  19. JamiiForums Tanzania Wilson Oruma: MO anataka 67bl zitambulike kama ni deni analoidai Simba kabla hajatoa hela za usajili msimu huu

    "Kwa taarifa zilizonazo Kutoka ndani tajiri anafanya Pressing sana huko. Anataka Kabla hajatoa Pesa ya Usajili Msimu huu Kwanza ile Bilion 67 irekodiwe na itambulike rasmi Kama ni Mkopo anaidai Simba Sports Baada ya hapo waje Kwenye Pesa ya usajili ambayo ameahidi Juzi Kwamba atafanya Usajili...
  20. V

    JamiiForums Tanzania Survey ni muhimu sana kabla hujachimba kisima cha kisasa

    Kama unahitaji kuchimba kisima cha kisasa chenye matokeo chanya usichimbe bila kufanya survey Faida ya survey ✅itakupa uhakika wa kupata maji na yapo umbali gani kwa mita ✅utajua gharama halisi za uchimbaji Hasara za kutokufanya survey ✅kukosa maji au kupata maji machache yasiyokizi matakwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…