Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.
Nemepenyezewa taarifa na mtu mkubwa ndani ya tcra kwamba wamepewa maagizo kutoka jumba kuu kuzima mitandao tarehe 25/ 10 na kuiwasha tarehe 5/11 ili uchafuzi uweze kufanyika physically.
Lakini pia kanidokeza kwamba vyombo vya ulinzi na usalama wamekataa maagizo hayo kwa kusema yatakuwa na...
Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, ameweka historia baada ya kukubali kushindwa kwenye uchaguzi wa urais saa chache tu kabla ya Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo rasmi. Akihutubia taifa Septemba 24, 2025 Chakwera alisema: “Ni haki nikubali matokeo haya kwa heshima ya maamuzi ya wananchi na kwa...
Kabla hujawekeza muda na fedha kwenye kufungua duka la dawa, ni muhimu ujue vigezo na masharti yanayoelekezwa na Baraza la Famasi. Kukosa kuyafuata kunaweza kukugharimu muda, pesa na hata kusababisha maombi yako kukataliwa. Hapa chini tumekuletea mwongozo:
1. REJAREJA / COMMUNITY PHARMACY
Kama...
Kabla hamjaandamana hiyo tarehe 29 Oktoba waulizeni kwanza wananchi wa Zanzibar 2001 kilitokea nini kwao ?
Pia waulizeni waislam wa mwembechai kilicho watokea.
Hivyo kama unatokea kwenye maandamano ya tarehe 29 Oktoba nakuambia mapema kabisa kuwa tayari kwa matokeo yoyote.
Usiandamane kwa...
Ukiwa unajiamini bwana, raha sana. Unajua kabisa matokeo yatakayokuwa, unaweza kutamba utakavyo.
Kabla mechi haijaanza, wakati macaptain wa Simba na Yanga, Shomari Kapombe na Dickson Job wakiwa na waamuzi kuchagua upande wa kuanza, Job alimwambia mwamuzi Arajiga na Kapombe kuwa hakuna haja ya...
Watu wengi huchukizwa na ratiba za kushtukiza, hutaka kuandaliwa ili wajiandae kuhusu tukio lenyewe.(Mindset)
Nafikili na wewe ni miongoni hupendi mtu akuambie latiba ambayo haukuwa nayo kabla, Ghafla tu.
TEHAMA ya programming unaweza kujifunza kwa njia nyingi ila labda mbili hizi maarufu...
Wakuu!
Mmesikia Unabii mzito wa Mchungaji Dickson Cornel Kabigumila ambao ametoa katika ibada iliyofanyika Septemba 07, 2025, akieleza juu ya mambo yatakayojiri kabla ya Oktoba 29, 2025?
n mda sasa leo nimewakumbuka wazee wa tigoo
walikuwa wanakamata pikpik na wengine walijilimikisha kabisa mishahara vs bodaboda yaan wakifika kijiweni boda incharge anakuwa ashakusanya mafao wanawapa
haitoshi wakanza kuvamia na magari yetu Mungu fundi walifanya matukio kadhaa machafu wakapigwa...
Dereva ndiye mtu wa kwanza kufahamu kama gari imefeli breki, mtu wa pili ni kondakta na watatu ni abiria ambao mara nyingi ndio wanakuwa wahanga wa gari kufeli breki.
Baada ya dereva (Fadlu) kutokuwa na imani n kikosi chake msimu huu alimtonya kondakta (Mo) kuwa kikosi chetu ni dhaifu sana...
Habari wakuu!
Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wanaokunywa pombe kali. Wengi hudhani ni fasheni, njia ya kujiburudisha au kuondoa stress. Lakini ukweli ni kwamba pombe kali ina madhara makubwa kwa afya na maisha ya kijamii, hasa kwa vijana ambao bado wapo kwenye hatua ya kujenga maisha...
Wiki chache zilizopita Umoja wa Mataifa wametoa taarifa za vikosi vya Wanamgambo wa M23 kuua raia nchini Congo. Taarifa hiyo imefuata taarifa rasmi iliyotolewa na Kikundi kazi cha Umoja wa Mataifa kuwa Majeshi ya Rwanda yanawaunga mkono M23 na kutoa msaada wa kijeshi kwao.
Aidha miezi miwili...
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mgombea wa ubunge wa jimbo la Makambako amesema mwaka 2020/2021 hatukuwa na ruzuku ya pembejeo za kilimo, lakini ni Samia Suluhu aliyekuja na maamuzi makubwa ya kuweka pembejeo.
Ameyasema hayo katika kampeni ya Samia Suluhu...
Hili ndilo Swali wanalojiuliza watu wote Duniani.
Awali liliwekwa Tangazo hili hapa
Alipotangaza jambo hilo alijiamini nini na sasa kakimbia nini? Au naye kaogopa Mkata Swichi?
Majibu anayo mwenyewe na wanamtandao Wenzake
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani Katika Hekalu Jeusi
Kwa heshima yote isiyo na hila, nilianza kuiomba serikali tangu august 13 kuona namna ya Kumuachia Tundu Antipas Lisu. Hii ni kusema mpaka tarehe 7 septemba, zitakuwa sio chini ya siku 24 tangu nitoe ombi hilo.
Lilikuwa Ombi la heshima na...
Habarini ndugu zangu wana JF, jana nikiwa naburudika bar ukazuka mjadala wa walevi kuhusu no reforms no election
Kinachosikitisha asilimia kubwa ya wadau waliochangia hoja wanadai hizo reforms hazina msaada wowote kwa raia wa kawaida zaidi zaidi ni janja janja ya Tundu Lissu kujipatia urais...
Awali, Waislamu walikuwa wakiswali wakielekea Bayt al-Maqdis (Jerusalem). Baadaye, Qur’ān ikateremsha amri ya kubadilisha Qibla kuelekea Kaaba:
Baadaye allah aliona wanaswali wakiangalia Mbinguni na yeye hayupo huko, akaona wana angalia Jerusalem kwa Mungu wa Kiyahudi. Muhammad akapata wahyi...
Kwenu wana jamii
Jana Polepole alirudia Madai yake ya Magufuli kuuawa na pia kuwa na Tishio la kuuawa hata kabla haijatokea
Wana JamiiForums wakongwe na waliobahatika kusoma hapa JF kabla ya kifo cha Magufuli ulikuja humu uzi ulioandoka kifo cha Magufuli, ile thread iliandikwa kwa code tena...