junior

  1. M

    Wazazi wa kisasa msijisahau kwenye Malezi, hawa kina junior wamekuwa mizigo hawawezi hata kujioshea vyombo ni mizigo, ni kero kubwa wakiwa ugenini

    Sijui ni nani aliwadanganya baadhi ya wazazi, hasa wale waliotoka kwenye familia duni, kwamba mara tu wakipata vijisenti basi watoto wao hawapaswi tena kufanya majukumu ya kujitegemea wala ya nyumbani. Watoto wakila waache vyombo kwenye sinki house girl ataosha watoto wakitoka shule watupe...
  2. A

    BADALA YA KUIPUUZA KAGAME CUP, KWANINI SIMBA, AZAM NA YANGA WASINGEPELEKA JUNIOR SQUADS...HII INGEKUWA PRE-SEASON TOSHA KWAO

    Naona wazi Simba, Yanga na Azam wamechagua kuipuuza hii michuano tajwa, tena hii ni mara ya pili mfululizo... Kama hoja ni zawadi zinazotolewa kuwa ni ndogo, mbona wakialikwa kushiriki Mapinduzi cup ni lazima waende iwe mvua iwe jua tena katikati ya ligi...Je ina maana SMZ wanaweka mzigo mkubwa...
  3. Ni kweli Bob Junior yuko hoi na kakosa pesa za matibabu?

    Nimeona huko instagram Giggy money anatangaza kuwa Bob junior yuko hoi kiafya na kakosa pesa za matibabu,na wasanii wenzake wamemtenga? Je hizi taarifa ni za kweli?
  4. Kurudi kwa JR Junior East Africa radio kunaenda kumzima Rich msafi

    Baada ya JR junior kurudi east africa radio baada ya kutoka Times fm, ni wazi nyota ya rich msafi inaenda kuzima, nimefuatilia vipindi kadhaa kwa sasa JR junior ndo anatawala kipindi, kwenye interview za wasanii, JR ndo anaongoza kwa kuuliza maswali mengi, Rich msafi amebaki kama msindikizaji
  5. A

    FT: Tuisila Kisinda, Waziri Junior 2-3 Msuva huko Iraq

    Leo kwenye ligi ya nchini iraq ku likuwa na mechi iliyowakutanisha ndugu kutoka nchi moja, nao ni Waziri Junior Shentembo, akiwa timu moja na Tuisila kisinda wote wanaichezea timu ya Al minaa Sc iliyokutana na Al talaba anayochezea Simon Msuva.. Matokeo: Al minaa 2- 3 Al talaba. Kisinda...
  6. Mashabiki wamkataa Vinicius Junior

    Mashabiki kadhaa wa klabu ya Real Madrid wameonesha nia ya kutomtaka mshambuliaji wa klabu hiyo raia wa Brazil vinicius junior, baada ya kumrushia maneno katika mtandao wa kijamii. Vinicius junior kwa msimu ulio malizika hakuwa na makali kama misimu kadhaa nyuma, alidrop kidogo inawezekana ni...
  7. Iran ni mtoto wa kambo na Israel ni junior

    Hii vita ukiweka mambo ya udini na kushirikisha akili Kwa undani utagundua mambo mengi ambayo yanampa aueni Israel na wakati mgumu Iran katika kushambuliana na kubwa zaidi ni hili. Ukiangalia jiografia ya haya mataifa mawili utapata jibu kuwa ISRAEL kupitia msaada kutoka Kwa washirika wake hasa...
  8. G

    Ajira: Junior software developer

    Role Overview Gilgal Tech is seeking a passionate and talented Junior Software Developer to join our growing team. The ideal candidate will specialize in Python and web development (or full-stack development). Candidates with a background in graphic design will have an added advantage...
  9. Ayobami junior: HIFADHI hili jina kichwani

    Takribani miezi 10 ama 11 hivi nilikuwa sijagusa mpira, siku hiyo mwili wangu unatamani mpira kuliko chochote, hata ule mchezo wa mguu bara mguu pwani siutamani kama ambavyo nimeamka na tamaa ya kucheza mpira, akili yangu haiwazi mengine kikamilifu ni mpira tu, kila mara najiona kama uwanjani...
  10. E

    Naomba mwongozo ya interview ya Junior Safety officer

    Habari ya muda huu, Mimi ni recent graduate wa Bachelor degree, nilituma CV ya kuomba position ya Junior Safety Officer....na hatimaye leo jioni nimepigiwa simu kuwa kesho nifike kwa ajili ya interview. Naomba muongozo na vitu vya kuzingatia maana ndio interview yangu ya kwanza. Natanguliza...
  11. Hivi nyie Uongozi wa Simba SC mna Akili sawa sawa Kweli? Sasa Waziri Junior 'Shentemba' wa nini Simba SC yetu?

    Yaani huyo Mchezaji hata kwa Timu yangu niiyokuwa nikiifundisha Kawe ( wakati bado Sijahama ) asingeweza kupata Namba kwani nilikuwa na Kijana Mmoja matata niliyempavchika Jina la Mayele sasa nimemuuza 'Kisela' klabu moja akaanze kucheza Timu yao ya Vijana ila najua kwa Kipaji chake Msimu ujao...
  12. G

    Ukichunguza sana utagundua kuwa Dully Sykes, Abby skills, Mr. Blue,, Ali kiba, Diamond wote ni familia moja kimuziki

    Maana wote wametoka kimuziki Gerezani kariakoo Abby skills kwao mtaa wa kipata Queen Doreen dada yake Mondi anatokea mitaa hiyohiyo aliwahi kuwa video vixen wa kazi ya Abby Skills na Mr Blue - Mimi Na Wewe pia kuimba na Ally Kiba, Baadae akamleta Diamond mitaa hio kwa Bob junior ambae kwao...
  13. Mwakarobo Junior kuzinduliwa rasmi April 5 huko Pretoria

    Tayari tunaye Mwakarobo senior mzoefu nguli wa kutinga robo fainali kwa miaka mitano kisha anapaki bus. 🐸🐸 kaibuka kutoka huko matopeni jangwani na kuanza kukimbizana na wakali wa CAFCL na uzinduzi wake wa kuwa Mwakarobo jr utafanyika rasmi April 5 huko Pretoria. Hii ni heshima kwa nchi yetu...
  14. 4

    Kwako Rais wa Zanzibar Mwinyi Jr, nipo na jambo langu na wewe

    Wakuu, andiko hili ni fupi sana na nimatumaini yangu Mungu anabariki popote mlipo. Leo nipo na ujumbe kwa Rais wa Zanzibar, na kabla ya ujumbe, kwanza nimpe pole kwa kuondokewa na baba mzazi, ambaye kwetu sisi Watanzania tunamtambua kama baba wa pili wa nchi hii. Pia, nimtakie mfungo mtukufu...
  15. Junior Non-Key Expert for Communication at DAI March, 2024

    For Project: Technical Assistance for support implementation of Green and Smart Cities SASA programme in Tanzania The consultancy contract for Technical Assistance (TA) supports the implementation of the Green and Smart Cities SASA programme. Among the objectives of the Green and Smart Cities...
  16. La Liga is investigating after Vinicius Junior was called a monkey

    La Liga is investigating after vinicius junior was called a monkey by a child during Valencia - Real Madrid yesterday. === According to The Athletic, a video on social media, posted by ESPN Brazil, allegedly showed a young person using racist language towards the Madrid star - who scored...
  17. Junior Human Resource Business partner at CCBRT February, 2024

    Position: Junior Human Resource Business partner Ref: 2024-02 Your role Under the guidance and direct supervision of the Head of Human Resources, the junior Human Resources Business Partner (HRBP) is responsible for the effective delivery of HR services using the HR Business Partnering approach...
  18. Kama mambo yenyewe ndio haya dada wa kazi wanahaki ya kuwatesa kina Junior

    Kwakweli mabosi hasa wanawake wanashindwa kabisa kuthamini mchango wa hao watu muhimu sana na nguzo kubwa kwenye familia ya baba kazini na mama kazini kurudi jioni. Wanawake wengi mmekuwa na roho mbaya hadi kwa watu wanawatunzia wanenu kutwa nzima na kwa mantiki nasema wakuwatesa wakina junior...
  19. Benki ya CRDB kuwazawadia Sh. Milioni 15.4 ya Ada ya Shule wateja kupitia Akaunti ya Junior Jumbo

    Meneja Mwandamizi wa Mauzo Benki ya CRDB, Muhumuliza Buberwa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya “Timiza Ndoto yake na Junior Jumbo” yenye lengo la kutoa elimu ya fedha kwa watoto na kuwahamasisha wazazi/ walezi juu ya umuhimu wa kuwawekea watoto wao akiba ambapo...
  20. Taa za sanamu maarufu "kristo mkombozi" zazimwa saa moja kumsupport vinicius junior

    Hapo jana taa za Sanamu Maarufu la “Kristu Mkombozi”(christ the redeemer) lililopo Rio de Janeiro huko Brazil zilizimwa kwa Muda wa Saa Moja hapo Jana ili kuonesha Mshikamano wa Watu wa Brazil na Mchezaji Vinicius Jr aliyefanyiwa Vitendo vya Ubaguzi huko Spain. Pia wachezaji mbalimbali kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…