jumuiya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na...
  2. JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam afikiria kupeleka madai Jumuiya ya Madola ya kutaka Tanzania ifutwe wanachama kutokana na kunyamazia vitendo vya utekaji na mauaji .

    Mwanasheria wa kimataifa Robert Amsterdam apanga kufikisha madai kwenye Jumuiya ya Madola ya kuitaka jumuiya hiyo kuifuta uanachama Tanzania kutokana na mambo yanoendelea nchini hususan watu kutekwa, kuteswa na kuuliwa huku serikali inoongozwa na CCM ikikaa kimya bila kuchukua hatua yoyote...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi mkutano wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC

    28 September 2024 https://m.youtube.com/watch?v=Q_op3a827-s Rais Samia mgeni rasmi mkutano wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC. Hayo yamebainishwa na makamu mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC sheikh Habibu Mbota. Mkutano huo mkubwa wa kitaifa utahudhuriwa wajumbe zaidi ya 400 wa mikoa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, inatubidi tukueleze wazi kuwa mvuto wako unazidi kushuka hapa nchini na katika Jumuiya za kimataifa

    Nalazimika kukueleza Rais wangu Mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kuwa mvuto wako unazidi kushuka, kadri siku zinavyosonga mbele. Kwa kweli Mimi nilikuwa mmojawapo niliyekuwa nakuunga mkono sana, baada ya wewe kuchukua mikoba ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, Rais John Magufuli baada ya...
  5. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya Tanzania: Haki za Binadamu zinapozingatiwa amani inaendelea kustawi katika Jamii zetu

    Katika kuelekea Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 53 wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya Tanzania, Jumuiya hiyo imesisitiza umuhimu wa kuzingatia Haki za Binadamu kama nyenzo ya kustawisha amani nchini. Akizungumza Septemba 24, 2024 ikiwa kuelekea mkutano huo ambao unatarajiwa kufanyika tarehe 27 - 29...
  6. JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi, kwa Rais Samia kuongea na mabalozi wote na jumuiya za kimataifa!

    Kwa vyovyote hawa ndugu zetu wasiotakia mema taifa letu, watakuwa wamesambaza vipeperushi vya hovyo katika jumuiya mbali mbali za kimataifa, ili mradi tu, malengo yao ovu, yatimie ikiwepo extensions za ukaazi wao wa kikimbizi huko ughaibuni, pia ikiwepo kutafuta huruma ili wamiminiwe fedha kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Wayahudi wa Arusha - Jumuiya ya B’nei Lawi nchini Tanzania

    Na Peres Parpaih (pia anajulikana kama Yehudah Amir Kahalani, jina lake la Yemeni), Moreh (mwalimu) wa Jumuiya ya B’nei Lawi nchini Tanzania Israeli iko karibu na Afrika Mashariki na ulimwengu wa Kiarabu kuliko nchi nyingine yoyote. Kwa sababu ya uhusiano huu wa kijiografia, Wayahudi katika...
  8. JamiiForums Tanzania Taliban yaja na sheria kali zaidi dhidi ya wanawake Afghanistan, jumuiya ya kimataifa yalaani vikali

    Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma...
  9. JamiiForums Tanzania Nembo Mpya ya Kigoma Region Tanzania | Jumuiya ya watu wa Kigoma

    Imeundwa August 25/ 2024 na kufanyiwa maboresho August 26-27/2024 LOGO Imeundwa na Kamati yetu ya Ubunifu kwa kushirikiana na kampuni ya Strain Org inayomilikiwa na MwanaKigoma. Imeundwa Kwa Gharama ya Tsh 110'000 + 30'000 za usajili. Nembo imeshakabishiwa BRELA kwa ajili ya usajili. NEMBO...
  10. JamiiForums Tanzania Natamani Siku kuwe na Mashindano ya Makomandoo wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ili tujue nani hasa yuko vizuri kwa Mtiti pale Kikinuka

    Kuna nchi moja nilikuwa Ninajidanganya nikidhania Wao ni bora kwa Kuwaona mara kwa mara kumbe ni Wachumba.
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa: Tumesikitishwa Wanafunzi UDSM kutakiwa kuwa na kadi ya CCM ili wasaidiwe kupata mkopo

    YAH: TAARIFA KWA UMMA. Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DUPSA) tumesikitishwa na kulaani matukio na taarifa zifuatazo. Mosi, Tangazo la Kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi Tawi la Chuo Kikuu Dar es Salaam ndugu Goodluck Evarist la kuwataka wanafunzi ambao...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa mbinu za kuepuka watu wa Jumuiya na Parokia

    Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki. Lililonileta ni kuwa nimekuwa sipendezwi na imani yoyote haswa hizi za dini naona kama uongo na ni mifumo ya watu...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki katika Mkutano wa Dunia wa Jumuiya ya Habari (WSIS), nchini Uswisi

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (MB), akiongozana na Naibu Katibu Mkuu, Nicholaus Mkapa ameongoza kikao kazi cha ujumbe wa Tanzania katika ofisi ya balozi na mwakilishi wa wakudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa kabla ya...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kenya na Rwanda kujiunga jumuiya ya NATO

    Ziara ya Rais wa Kenya William Ruto nchini Marekani imeibua jambo. Ruto kapokelewa na mwenyeji Rais Joe Biden na kuzungumzia Mengi. Biden kamuomba Ruto waanzishe ushirikiano kabambe ikiwa ni pamoja na kujiunga na NATO. Pia kuna tetesi kuwa Rais wa Rwanda atafuata mkumbo huo mwezi July mwaka...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Kijaji: Mahusiano ya kibiashara kati ya Tanzania na nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Mwaka 2023, thamani ya mauzo ya bidhaa kwenda katika Soko la Ulaya iliongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 3.836 kutoka shilingi trilioni 2.446 mwaka 2022, sawa na ongezeko la asilimia 56.8. Ongezeko hilo limechangiwa na kuongezeka kwa mauzo ya bidhaa za kilimo na viwandani kwenda katika nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya wazazi CCM Kinondoni ni mfano wa kuigwa

    JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA KINONDONI NI MFANO WA KUIGWA, MR UK -PROFIL MASAWE KATIKA SIASA KAZI MAARIFA. Na Comrade Ally Maftah Nikiwa kama mpenzi na mkereketwa wa Chama cha Mapinduzi, Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, mpenzi wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Mkutano Mkuu...
  17. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya wazazi (CCM)Kilimanjaro yapigwa pini, ni kuhusu ujenzi wa bwalo la chakula Kibo Sekondari

    Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia kupitia ofisi ya Udhibiti wa uborq wa shule Manispaa ya Moshi ,imeagiza kusitishwa mara moja ujenzi wa bwalo la chakula kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kibo. Hatua hii inakuja kufuatia malalamiko ya wazazi/walezi wa wanafunzi wa shule ya...
  18. JamiiForums Tanzania Wazee wa Jumuiya ya Ahmadiyya wakutana Dar kujadili changamoto za maadili na amani

    Viongozi wa Jumuiya ya Ahmadiyya Kusini kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara wamekutana Nchini Tanzani katika Semina ya siku mbili (Aprili 20 na 21, 2024) Nchini Tanzania na kushirikisha washiriki 120 kutoka Nchi 15. Semina hiyo imefanyia Jijini Dar es Salaam na mada kubwa iliyowakutanisha...
  19. JamiiForums Tanzania Je, Ethiopia kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki kutaharibu au kuimarisha jumuiya hiyo?

    Ethiopia inataka kujiunga na EAC? Nini madhara na faida? Je Tanzania na Kenya zitakua bado na sauti ndani ya EAC au ndio mvurugano utaongezeka?
  20. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Wazazi (CCM) Siha Imeadhimisha Wiki ya Wazazi kwa Kupanda Miti 100 Shule ya Msingi Mendai

    JUMUIYA YA WAZAZI SIHA IMEADHIMISHA WIKI YA WAZAZI KWA KUPANDA MITI ZAIDI YA 100 SHULE YA MSINGI MENDAI Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro imeadhimisha wiki ya Wazazi Wilaya ya Siha kwa kupanda miti zaidi ya 100 katika shule ya msingi ya Serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…