Inasikitisha na inahudhunisha sana Askofu mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), ndugu Alex Malasusa, ameligeuza kanisa hili pendwa kuwa kama jumuiya ya CCM. Wakati alipokuwa kwenye nafasi ya uaskofu mkuu kwa mara ya kwanza, Askofu huyu ambaye ni kada maarufu wa CCM...