Sijawahi kwenda kuangalia mechi ya mpira wa miguu.
Sijawahi kula nyama ya wanyama wa porini (swala, nyati, ngiri etc.).
Sijawahi kujimilikisha mpenzi ninayemzidi umri.
Sijawahi kufika Ruvuma, Njombe, Rukwa, Katavi, Kigoma, Kagera, Simiyu.
Sijawahi kuombwa wala kutoa SIM 2 (Tigo / mixx by yas)...