juliana shonza

Juliana Daniel Shonza (born 23 April 1987) is a Tanzanian politician and member of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. She is the current Deputy Minister of Information, Culture, Arts and Sports. She is a one-term Member of Parliament having been appointed to special seat reserved for women.

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    Mwana JF, Binti Mdada Mzuri Mrembo, Juliana Shonza, leo ametokelezea sana na amechangia vizuri!. Mshuhudie kupitia Bunge Live!

    Wanabodi Baadhi ya wabunge wa Bunge la JMT ni active members wa JF, mmoja wao ni Mhe. Juliana Shonza Baada ya kuchangia hotuba ya bajeti ya TAMISEMI, leo tena Mhe. Juliana Shonza anachangia mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali. Kiukweli mwana JF huyu binti mdada ambaye pia ni mzuri na mrembo...
  2. Q

    CHADEMA ilitakiwa kufa 2014, wafuatao ni Wasaliti wakuu na Mamluki waliopandikizwa

    Hebu fikiria hawa walikuwa viongozi wakuu wa kitaifa na wajumbe kwenye mabaraza mbalimbali ya Chadema. Wilbroud Slaa aliyekuwa katibu mkuu, Zitto Kabwe (N/Katibu mkuu), Arif M/Mwenyekiti Taifa, Waild Kabouru, Vincent Mashinji, Mwigamba, Waitara, Katambi, Kafulila, Shonza, Mchage, Lowassa...
  3. leroy

    Juliana Shonza aupamba ukurasa wa UDSM

    Kutana na Juliana Shonza kwenye website ya UDSM kama alumni of the month. Hakika ana historia ndefu ya kiuweledi licha ya umri mdogo na wasifu unaoweza kuwa inspire vijana. Hongera dada. NB: Nimeambatanisha PDF ya wasifu.
  4. beth

    Juliana Shonza: Maji bado ni kilio kikubwa licha ya miradi kuwepo

    Mbunge Juliana Shonza suala la maji limeendelea kuwa kilio kikubwa cha wananchi licha ya Wizara ya Maji kupelekewa fedha nyingi huku vilio vikitoka kwenye maeneo yale yale ambayo Serikali tayari imepeleka miradi mikubwa Ameeleza hayo Bungeni wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Maji na...
Back
Top Bottom