jua

Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Guys, Naomba anaye jua kuhusu sexual transmutation a nisaidie.

    Kama kichwa cha habari kisemavyo Nina changamoto kubwa sana kuhusu namna bora ya ku transmute sexual energy.. We all know how this energy can lead to doing greater things.. So badala ya ku indulge kwenye tendo lenyewe la sex kila muda nataka kutumia katika creativity ila sasa nikiwa in the...
  2. JamiiForums Tanzania Jua madhara ya mrundikano wa sumu kwa utumbo wako

  3. JamiiForums Tanzania Ukisikia kauli hizi, jua umekwishakufa, bado kuzikwa tu

    Habarini ndugu zangu wa thamani sana, wa jukwaa zuri za Habari na Matukio. Nimekumbuka maisha ya miaka ya nyuma mno leo, kuna journal niliwahi kusoma inayohusu maisha. Kuna kauli ukisikia watu wanasema juu yako, ni lazima ujitafakari upya.. or otherwise you're already dead. Sisemi kwa nini ila...
  4. JamiiForums Tanzania Maisha ya machimboni ni ghali sana nashangaa dogo unatoka mikoa kanda ya ziwa unakimbilia Dar

    Kule wachimbaji kuchakaza milion 30 kwa siku ni kugusa tu Maisha ya machimboni ni ghali sana nashangaa dogo unatoka mikoa kanda ya ziwa unakimbilia dar kuchoma mahindi barabarani au kuuza supu za pweza huku unaacha madini utakuwa na akili kweli? 😂 Mwisho, Geita ngwengwe ipo tumia kinga mtu wangu
  5. O

    JamiiForums Tanzania Nahitaji UV LED blacklight\taa yenye uwezo wa kuburn screen sihitaji kutumia Jua, kama itapatikana Kwa bei nafuu hapa Dar es salam au mkoani

    Nahitaji hizo taa au exposure unit kwa bei nafuu exposure unit yangu imeibiwa nb hii inatumia Kwa screen printing so kabla ya kuagiza naamini naweza kupata haraka hapa Kwetu
  6. JamiiForums Tanzania Je, Wewe Ni Overthinker? Jua Nguvu Yako Halisi

    Kama wewe ni overthinker basi una akili sana… Kama wewe ni overthinker, huenda hujui kuwa una aina fulani ya akili ambayo watu wengi hawana… Watu wengi wanapofikiria, wanaona kitu kimoja tu. Lakini wewe? Akili yako inaenda mbali zaidi. Unaweza kukaa kimya sehemu moja, lakini ndani ya kichwa...
  7. JamiiForums Tanzania PATA CAR DIAGNOSIS SCANNER JUA TATIZO LA GARI LAKO KABLA YA KWENDA GARAGE

    🚗 OBDII Scanner – Chunguza Gari Lako Kitaalamu! 🔧 Unapata shida kujua tatizo la gari lako? Suluhisho ni hii OBDII Scanner yenye uwezo wa kusoma na kufuta error codes kwa haraka na usahihi 💯 ✅ Inasoma matatizo ya engine (Check Engine) ✅ Rahisi kutumia – Plug & Play ✅ Inafaa kwa magari mengi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Nimesikiliza wimbo wa rockabye(2016) wa clean bandit sikuwai jua kumbe unaongelea Suala la Single mother

    Call it love and devotion Call it the mom's adoration (foundation) A special bond of creation, hah For all the single moms out there Going through frustration Clean Bandit, Sean-Da-Paul, Anne-Marie, sing, make them hear She works the night by the water She's gone astray, so far away from her...
  9. JamiiForums Tanzania Hakuna jipya chini ya jua: Kinachomkuta Marekani nchini Iran kiliwahi wakuta watangulizi wake

    Huwa nalipenda sana somo la historia. 1. Ukisoma historia kwa kina utafahamu ukweli kwamba hakuna jipya chini ya jua. 2. Yote unayoyafanya yalishafanywa na wenzako huko nyuma. 3. Wewe unachofanya ni kujenga juu ya msingi wa mwingine tu. 4. Wanaoamini kwamba historia ina vitu vipya ni...
  10. JamiiForums Tanzania Kifungu hiki cha Katiba kinamfanya Rais kuwa Mungu mtu, ukienda kinyume naye tu anaweza kuamua ulione jua au lah!

    Wakuu, Ibara ya 15 kwenye katiba ya Tanzaia inampa mamlaka Rais kutoa msamaha kwenye kosa LOLOTE ambalo atakutwa na hatia nalo. Anaweza kumwachia huru mtu kwa muda maalumu au moja kwa moja mtu aliyehukumiwa kuadhibiwa kwa kosa LOLOTE asitumukie adhabu yoyote au kwa kipindi fulani. Anaweza...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Unaweza kukubali utajiri wa masharti wa kuoga mara 1 tu kwa mwezi ?

    Kuna siku nikiwa nikiwa mdogo nilikuwa namsifia mzee mmoja ni tajiri lakini yupo simple, mavazi yake huwezi kumdhania ni tajiri. Nikaambiwa huyo anafuata masharti maalum ya kuoga, haruhusiwi kuoga oga akikiuka pesa zote zinapotea Swali la kizushi kwenu Tuchukulie ingekuwa kweli kama...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu Wanaume, Mwanamke akikuletea Zawadi jua ni mtego, atachukua kwako mara 2 yake

    Naam, hawa viumbe acha tu, Waliosema ishini nao kwa akili hawakukurupuka, haikumaanisha kuwa hawana akili bali upeo wao ni mkubwa sana na usipokuwaa na akili za kudeal nao, rafiki yangu umeisha. Sasa basi Mwanamke akikuletea zawadi wewe Mwanaume iwe ya sikukuu au yoyote ile, iwe fedha au zawadi...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini tairi huvimba pembeni?

    Washkaji zangu, embu tuache utani kwenye maisha yetu. Umewahi kucheki tyre ya gari yako ukakuta imetokeza "nundu" au uvimbe fulani hivi pembeni? Wengi tunasema "ah, bado inatembea," lakini ukweli ni kwamba hilo ni BOMU na unatembea nalo! Sasa, kwanini tyre inavimba hivi? (Hizi ndio sababu)...
  14. JamiiForums Tanzania Jua kali...!

    Salam alykum. Ndugu zangu katika imani. Jua kali sana. Kali mno...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Karibu ukope, jua hili kabla ya kukopa

    Ukosefu wa elimu ya kifedha unaweza kuathiri vibaya uwezo wako wa kufanya maamuzi sahihi ya kukopa, mara nyingi husababisha mzigo wa madeni usio endelevu, dhiki ya kifedha ya gharama kubwa, na ya muda mrefu.Bila uelewa mzuri wa dhana za kifedha kama vile uwiano wa riba na deni kwa mapato, watu...
  16. JamiiForums Tanzania Hekima ni kula kabla ya jua kuzama kwa afya njema

    Hii ni kweli kwa kiwango kikubwa, na siyo tu “hekima ya kale.” Kuna sababu za kibiolojia na kiafya zinazoiunga mkono. Ifuatayo ni misingi ya kisaikolojia na kiafya inayoeleza hilo: 1. Umeng’enyo wa chakula (Digestion) Mwili wa binadamu unaendeshwa na mfumo wa saa za kibaolojia (mzunguko wa...
  17. JamiiForums Tanzania Je, wajua kwanini hasa Israel imelitambua taifa la Somaliland?

    Wachambuzi: ISRAEL ILIITAMBUA SOMALILAND HIVI KARIBUNI, LAKINI NI NINI? Kwanza, ufafanuzi wa haraka: Somaliland sio Somalia. Somaliland imekuwa ikifanya kazi kama chombo tofauti, kinachojitawala tangu 1991, baada ya serikali kuu ya Somalia kuanguka. Ina historia tofauti ya kikoloni, taasisi...
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna jipya chini ya jua

    Wahenga siyo wajinga na makosa yao ni machache ukilinganisha na usahihi wao,,,,, Wahenga walisema "Hakuna jipya chini ya Jua" na hivyo ndiyo walivyo Watanzania na ndivyo itakavyokuwa siku zote. Kama ilivyokuwa kwa COV19 hivyo ndivyo itakuwa kwa hii Serikali, mtapiga kelele kuja kushituka 2030...
  19. JamiiForums Tanzania Tukio la kijiografia la jua kupotea kwa muda linakwenda kutokea 14 Disemba, 2025 na upo uwezekano wa tukio jingine kubwa kutokea

    Kwa mujibu wa juzuu ya Royal blue heating kama alivyoandika Mwandishi Hazel Montgomery inaonekana siyo katika filamu za kisayansi ila ni katika anga letu la kila siku kuwa juwa litaghubikwa na mwezi na mwanga wake utakuwa kama umezimwa.bkwa dakika kadhaa, joto la Dunia litashuka ghafla, jua...
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni kazi au mwenye connection yakazi anae jua mahali flani sikosi. Mimi ni dereva, popote nafanya kazi

    Mimi ni kijana umri miaka 26 elimu kidato cha sita 6 nimepita veta kupata basic driving, NIT kua VIP driver na ninauzoefu wakutosha kabla ya kwenda kuongeza ujuzi nabaada ya kwenda kuongeza ujuzi udereva nikazi ninayo ipenda nipo tayari kufanya kazi popote hata na mtu binafsi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…