jpm

  1. baz kaiza

    Hates still never lecover. Wauza Ngada, Vyeti feki, Watumishi hewa ,Mafisadi Wafanyakazi wazembe, Matapeli. JPM aliwanyoosha

    JPM r.i.p. Ulinyoosha watumishi hewa , Wezi wa rasilimali za nchi, Mafisadi, Wauza madawa ya kulevya wenye vyeti feki , Matapeli wazee wa short cut. Hawa wote walikiona cha moto kipindi chako ndo ulituonyesha wanasiasa wengi wana bei wananunulika kama nyaya sokoni kwa hiyo wasitudanganye kama...
  2. Megalodon

    Wengi hawapendi JPM akumbukwe kwa Uzuri: lakini atabaki kuwa chaguo la watanzania wengi

    Kwa TZ, JPM was a prophet of our time , ni kama maji hata ukiyakataa utayanjwa. Kwa uharamia uliotokea 29 baada ya mwendawazimu kupewa rungu, we learned kuwa JPM was a prophet of our time. Alikuwa mtume na alimaanisha mengi kwa watanzania. Haya majambazi ya sasa yaliyoingiza ngono ...
  3. Revocatus James Ngoja

    Kati ya ukweli na ukimya, miaka mitano John Pombe Joseph Magufuli

    KATI YA UKWELI NA UKIMYA,MIAKA MITANO (5) TANGU KIFO CHA John Pombe Joseph Magufuli Magufuli, umelala ndio,Na sote tunajua hautoamka tena. Lakini historia haifi pamoja na mtu bali inaishi,inauliza na inaandika. Ni kweli hatutakusahau,sio kwa sababu ulifanya mema makubwa kiasi cha kufuta kila...
  4. Nyankurungu2020

    Tatizo lilianza baada ya wanaCCM mtandao kudhania wakimuondoa hayati JPM watafanikisha mambo yao. Hali imewageukia vibaya na wanatawala kwa tabu

    Kama ilivyokuwa kwa Burkinafaso Blaise Compaore alidhania kumuua Thomas Sankara itaKuwa neema kwake kuwa atatawala kwa kujiachia na kula mali za umma anavyotaka. Naona hapa Tanzania hali ni mbaya sana kwa wanaCCM mtandao ambao wanahusishwa kumuondoa hayati JPM ambae alionekana kuwazibia mianya...
  5. Nyankurungu2020

    Angekuwepo shujaa wa Afrika hayati JPM leo taifa letu lisingekosa kama anavyohangaika Rais Samia sababu ya kukumbatia mafisadi

    Hayati Magufuli alikuwa smart hasa kwa kusimamia pesa za umma tangu akiwa Waziri mpaka anakuwa rais. Taifa lenye utajiri na rasilimali nyingi kama Tanzania sio la kukosa pesa za kujenga viwanja vya mpira likae vikao na na nchi kama Kenya ambayo haina uwezo hata wa kudhalisha mahindi ya ugali...
  6. M

    Hizi thread za eti JPM ni chanzo cha uovu wote uliopo, ni za kishamba na kujaribu kumuosha anayepaswa kunyongwa na kupelekwa ICC

    Nyuzi zote hizi ni wale chawa washamba washamba wa mama anaupiga mwingi, na ni kikundi maalumu kinachojaribu kutaka kuangalia upepo wa watanganyika, bahati mbaya kabisa hatujaona uzi wowote unasifia kuupiga mwingi Mo 29 Nyuzi zote hizi zinalengo la kutaka kutuliza mioyo ya walioumizwa na...
  7. M

    Mbona Rais Samia hana watetezi mitandaoni kama mtangulizi wake Magufuli? Wanaojaribu kumtetea ni kama hawana mashiko

    Mitando ndio inatoa taswira ya hali halisi. Kwa mantiki hii ni kuwa bado rais Samia hakubaliki kama ilivyokuwa mtangulizi wake. Nimeona jana kuna mmoja yupo Kibaha. Anaponda watu kupinga Simbachawene kutumbuliwa. Naona kama mtu ambaye hajitambui. Kwa ufupi watu hawamkubali kabisa Rais...
  8. funaku

    Kwa mazingira haya Magufuli na Samia wanastahili nishani za kitaifa za kuilinda Tanzania!

    Yapo matukio kadhaa duniani yanayohusu vita vya kiuchumi ambayo kama mtanzania mzalendo na msomi na mwenye kufuatilia vita baridi vya kiuchumi na kikanda unaaswa na kupaswa kuyafuatilia na kuyazingatia kwa kina bila mihemuko ya kiitikadi,kimazoea au kumezeshwa propaganda . Nimeyetaja matukio...
  9. Fbn

    Utawala wa JPM umeleta matunda haya kwa kufungia maduka ya kubadilisha pesa

    Kuna kitu kinaitwa catalyst kwa kikemia sawa na mfano wa viuongo vinavyafanya haraka kuchochea kitu kiwe tayari kwa matumizi,mfano vitunguu swahumu na tangawizi kwenye mishikaki. Sasa kwa utawala uliyopita magufuri ndio chanzo ya yote haya kuanzia utekaji,kubaka uchaguzi,kuua vyama vya...
  10. ndege JOHN

    Maisha hata hayanogi tena,jamiiforum hainogi tena imepoa tuliwaambia nchi inahitaji kiongozi wakuchilimua kama JPM.

    Enzi za awamu ya tano mambo yalikuwa mchakamchaka kila siku unapata sababu ya kuishi ila siku hizi kumepoa sana hakuna wa kuchangamsha maisha, hakuna ziara za kushtukiza wala kutumbua majipu ni kama tunajilazimisha kuishi tu siku ziende.Mpaka topic za kuanzisha thread mtu unakosa. Nikiingia...
  11. Nyankurungu2020

    Hizi propaganda mnazoeneza kuwa Hayati JPM alikumbatia mafisadi ni upuuzi. Jibuni tuhuma zenu. Why DP world? Why Nepotism.?

    Msiwawafanye watanzania ni wajinga na wapuuzi. Kwa nini Dp World ambao ni waarabu wapewe kandarasi ya kuendesha bandari wakati uwezo tunao. Kama ni kupanua na kujenga angepewa mkandasi akajenga na kuweka miundombinu ya kisasa. Watanzania wakapewa utaalamu na kuendesha bandari yao. Kuhusu...
  12. K

    Hayati Magufuli kaacha legacy mbaya sana kwenye usalama wa nchi hii!

    Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha...
  13. Mhaya

    Mwinyi Awapa Wapinzani Waongoze Wizara 4, Mwinyi ndio alipaswa kuwa Rais wa Tz baada ya JPM

    JPM alifanya makosa kumteua SSH kama mgombea mwenza. Mwinyi alifaha sana kuwa Rais wa TZ, jamaa yuko smart pia hana mihemuko na anaonekana kuwa na upendo kwa kila mtu. Mimi ni mkristo ila huyu ofisaaa alitufaha sana kama Rais wa Jamhuri. Kwanza anaga skendo za kijinga pili kanyooka kama rula...
  14. Abraham Lincolnn

    Heri ya siku ya kuzaliwa Mwamba JPM Tupo hapa kusherehekea siku yako ya kuzaliwa

  15. Carlos The Jackal

    Nakukumbusha PAUL MAKONDA (BASHITE ), Ulipotupwa nje na JPM, ulikesha kwa MAKADINALI , TEC kulinda Uhai wako, Leo unawadharau TEC, siku inakuja !!

    Wadharau sana Watanzania uwezavyo!. Nakumbuka ulikua unalia mpaka unatoa Makamasi !!. Wadharau TEC uwezavyo , Mapdre wananusurika Kuuwawa, wanafatiliwa kuuwawa, wanafanyiwa Dharau na kejeli za Kila aina !!. Paul Makonda Sasa unafurahia Maisha, Bwana Bashiteee , Kijana wa mtandao ,Kijana wa wa...
  16. The Supreme Conqueror

    Tarehe 29 Oktoba ni kumbukizi ya kuzaliwa Hayati JPM na ndiyo siku ya uchaguzi mwaka huu huku wananchi wakidai kuandama kupinga uchaguzi huo

    Wakuu kuna mambo nayaona kuelekea Oktoba 29 mwaka huu isiyo ya kawaida kabisa katika nchii tangu kizazi cha uhuru. Tarehe hii 29 Oktoba imebeba historia nzito sana kwa Taifa la Tanzania,inahusisha mambo makuu matatu ya kuogofya 1.Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani. 2. Kumbukizi ya...
  17. The Dictator

    JPM pamoja na madhaifu yake mengi, alikuwa kivutio cha wengi sana kwenye hotuba zake

    Hii ilikuwa nyenzo yenye nguvu sana aliyowahi kuwa nayo. Watu walivutiwa kumsikiliza kwa kuwa pamoja na kuwa alikuwa mkali,, bado alikuwa na mizaha na vichekesho vingi katikati ya hotuba zake. Ilivutia wananchi wamsikilize kwa makini kwa sababu huwezi kujua ni wakati gani ataongea vitu vituko...
  18. chiembe

    Kamba za Polepole: Kama Membe alipatikana na hatia za kupanga kumuua Magufuli, kwanini hakushtakiwa kwa kosa la jinai, akafukuzwa tu CCM?

    Pole pole anadai membe alipatikana na tuhuma hizo nzito, tena dhidi ya JPM ambaye alikuwa hafikiri mara mbili. Eti kwamba alipanga kumuua, imagine upange kumuua JPM, ajue halafu akufukuze tu CCM akuache mtaani wakati Ben Saanae aliuliza tu kuhusu PhD pole pole akamuondoa juu ya uso wa nchi Pole...
  19. chiembe

    Kumbukizi: Lissu alikuwa mtu wa kwanza kutoa taarifa za kifo cha JPM, alisema alifariki kwa Corona

    Naweka kumbukimbu kwa wale wanaolishwa mapumba na Hafre kwamba hata kiongozi Mkuu wa chadema alisema JPM alikufa kifo cha ugonjwa wa corona na si vinginevyo. Corona huwapiga zaidi watu wenye matatizo ya moyo
  20. chiembe

    Mwaka 1990, gazeti la Daily News liliweka tangazo/habari ya Magufuli kuomba asaidiwe matibabu ya moyo enzi anasoma Chuo Kikuu Dar es salaam

    Ni ugonjwa huu ambao hatimaye ulitangazwa kuchukua uhai wake. Cc: hafre
Back
Top Bottom